HILI NDILO HEKALU LA SULEMANI, part 1. Hekalu lilikuwaje? by Mwl: Vincent Mwakisyala.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Namba zetu za huduma ni +255 753114222, kazi yetu ni kufundisha watu elimu sahihi ya Mungu katika kweli yake.
    Mwl. Vincent Mwakisyala

КОМЕНТАРІ • 13

  • @josephjosephat4792
    @josephjosephat4792 2 місяці тому

    Atujui tu hekalu n la kila Mtu moyon mwake hekalu ni Mungu ndani yetu . Miili yetu imefanyika kuwa hekalu. Hivi vingine ni properties tu basi. Kikubwa n tuelewe kwamba hekalu n mungu ndani yetu napo then vita hizi na migogoro haitokuepo Tena. Amin.

  • @HaruniGhasper
    @HaruniGhasper 4 місяці тому +1

    Tupo pamoja mwalim.

  • @AbegaLarge-tk3rc
    @AbegaLarge-tk3rc 2 місяці тому

    Mwalimu naomba andiko linalosema kuani alipokuwa akingia mahali patakatifu papatakatifu alikuwa na fungwa kamba kwani Mimi sijaona ilo andiko napili ikiwa alikuwa nafingwa kamba ili akifa mule Dani sasa Nini igesababisha afe mle ndani na ikiwa ni dhambi ambayo igesababisa afe ule utakaso aliokuwa naufanya kabla ajahingia ulikuwa na mahana Gani basi naomba ayo majibu tafazali mwalimu kazi njema

    • @JacksonNyangi-i8j
      @JacksonNyangi-i8j Місяць тому

      Hili somo ndiyo kwanza tunalianza, leo tunaangazia hekalu kwa maana ya ramani yake, na mazingira yake. Masomo yajayo tutaangalia mipaka yake, matumizi yake, na aina za ibada zake.
      Afu tutaangalia kubomolewa kwake na kurejeshwa au kujengwa kwake upya, na lilipo sanduku la agano lililopotea. Baadaye tutaangalia kubomolewa tena na kuanzishwa kwa msikiti wa Al Aqsa na DOME of the Rock, baadaye tutamaliza na mpango wa Hekalu la tatu na je unabii unasemaje na mipango ipoje?
      Usikose vipindi hivi hapa hapa kwa chanel yetu, shere kwa wengine ili tuwe wengi. Mungu akubariki sana.

  • @RockyMaganga
    @RockyMaganga 3 місяці тому

    Jambo mtumishi wa mungu ebu nitumiye bamba Yako ya wathsap ninayo maulizio kidogo mimi ni rocky maganga niko drc Congo

  • @user-ur9hw2kk2c
    @user-ur9hw2kk2c 4 місяці тому +1

    Asante mwalimu

  • @ALLYZAHOLO-gr9py
    @ALLYZAHOLO-gr9py 4 місяці тому +1

    Nani amenzisha Ibada ya kuchanya wanawake na wanaume sehemu moja

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 місяці тому

    👊✌👍

  • @simchimbasj5641
    @simchimbasj5641 4 місяці тому

    Je hilo hekaru, lilijengwa na suleimani wakati akiwa na wake wengi?
    Au wakati amewaacha na kubaki nammoja?maana alisema haya yote nisawa nakujilisha upepo.

  • @jaysilgangtz2583
    @jaysilgangtz2583 3 місяці тому

    Waliwezaje kuliteka ilosanduku maana ukiligusatu unakufa?

  • @magesamatiku7506
    @magesamatiku7506 4 місяці тому +1

    Je hilo hekalu ni mali halali ya Wyahudi,Wakristo au Waislam?
    Maana kila kukicha kunazuka mgogoro ya ya dini ipi inayomiliki hekalu hilo

    • @mwlvincentmwakisyala
      @mwlvincentmwakisyala  4 місяці тому +1