Vifungua kinywa vizuri vya kula wakati wa asubuhi vinasaidia kuwa na afya nzuri( breakfast ideas)
Вставка
- Опубліковано 9 сер 2020
- Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine💕💕
Kwenye hii video nimeshare breakfast ideas mbali mbali ambazo unaweza kufanya na wewe zina kusaidia 💕💕🥗🥑🥒
Contact me on:
Instagram: bariki.k
Email address for sponsorship or business: bariki. Karoli@gmail.com
This was much needed Thank you so much for making this video!!! I am also a Tanzanian UA-camr living in Australia!! I love your channel!! 💕💕
Lovely to talk by u against it IRS most principal ly H
Asante dada iko sawa sana
Asante Bariki 😋🥰
Asante Ika kwa kuangalia 💕
@@barikikaroli6088 hujambo binti nimatatizo ya michirizi nini dawa yake
Ha...!!
Mdogo wangu smody tena....?!😂😂
Shukran
Thanks a lot Sir msdam it's most honestly H
Nimependa Sana Smoothie na Uji 😋 yani vyote viko vizuri Sana na vyenye afya nzuri nimevipenda. Asante Sana kwa kushare nasi tushindwe tu wenyewe
Asante Dada
Asanteee
Baliki nimekumisii sana
One of my inspiration sister...nimejifunza vingi...miezi 6 iliyopita kipindi najifunza ya kufungua channel yangu...nilipita kwako ukanisaidia..🥰🥰
💕💕👏🏽
Consequently bto talk by u under it urs most sincere ly U
Nakupenda bure mamy.zidi kutuelimisha
asante bariki nimeipenda video hii😍😘💕💖
Asante dear 💕
Asante dear😍😍😍😍
Asante na wewe pia
Asante Bariki
💕
Ahsante sana Mpz Mungu Akubariki Sana Sana, 😘😘😘 na Nilikumiss... Siku Utufanyie na Dinner
Asante sana dear Sawa nitafanya
Chiar kwa kiswail my
Nilikumc jamn dada 😘😘😘
Hata mimi 💕💕
Mimi huwa natumiya mkate wa mboga kwa sasa asante nakupenda mamy
Okay na wenyewe ni mzuri
Bariki tunakaribia 100k am rootinv for you
Yesss sooon nakaza buti thank you
Asante Sana natamani niwe karibu na wewe Mimi sina muda kuandaa ila nimependa Sana 😍😍
Asante dear ila Jaribu maana kuna vitu havichukui muda
🙏🏻
😍🔥
eh.. natafuta menu for me for loss weight ila i cant almost everything on that list with my dumb allergies
Jamani Pole una allergies Za nini?
@@barikikaroli6088 specifically eggs and i love eggs
so every now and then i eat then i want to murder myself after lol
Asant baric ivyo mie huw napiksana ila mvivu wa kula na najitahid ushaur nifanye nin au nile vyakula gani ili niweze kunip nguvu ya kula na nijae mwili maan ni kyembamba san naitaji nibust kidog
Ningekushauli uwe unatengeneza smoothie
Angalia hiyo smoothie hapo chini inasaidia kuongeza mwili 💕👇🏽
ua-cam.com/video/wMytx1Aq6wc/v-deo.html
@@barikikaroli6088 saw nitafanya ivyo kipenzi
Tafadhali unaeza paka Nazi kwenye uso?
Nadhani mimi sijawai kufanya hivyo
Hayo majani hata letus waweza weka? Au mchicha?
Kwa huku Tanzania
Sijawai kujaribu dear