Agape Gospel Band - Amefanya Mengi Yesu (Live Music Teaser)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Wimbo #AMEFANYA MENGI YESU ni Wimbo uliobeba moyo wa Shukrani , nimengi sana ambayo BWANA amefanya katika maisha yetu , Kuna wakati wengi wetu tulikua tunalia lakin Leo Bwana ameyafuta machozi yetu, tulikua tunapitia situation ngumu sana katika maisha lakini Leo BWANA amefanya jambo jipya.
    Unapo imba wimbo huu japokua bado unalia AMini kwamba yupo Mungu anafanya yupo Mungu anaefuta machozi ya watoto wake. Usichoke Amini katika Yeye anaefariji
    Main keys : Innocent Nelson
    Second keys : Michael lowkeys
    Guitarist : Kaz Benjamin
    Bassist : JP kazire
    Drummer : B ngowi
    Back ground Vocals
    SOPRANO :
    Joslyne Bryson
    Neema Mlay
    ALTO :
    Jonas Moshi
    Hannah Joseph
    TENOR :
    Justin
    Pascal Guveti
    This song mixed and Mastered by Baraka ngowi
    Sound engineer MJWAUKI
    Venue: The Reality of Christ church
    Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili
    #AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

КОМЕНТАРІ • 3

  • @Africa-123
    @Africa-123 9 місяців тому

    Good music

  • @graceandrew6718
    @graceandrew6718 Рік тому

    Ni kweli atuna cha kumlipa Mungu

  • @YandraSantana-y2v
    @YandraSantana-y2v 7 місяців тому

    Translate legends in portugueses or english please. i'm brazilian 🇧🇷 but i can understand In english. 😃