Uchunguzi wa Mercy Keino

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2013
  • Gavana wa kaunti ya Kiambu William Kabogo leo amefika mahakamani ili kutoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi Mercy Keino. Kabogo alipinga madai ya awali kuwa alimzaba kofi Keino,kabla ya Keino kuondoka katika nyumba moja kwenye mtaa wa Westlands. Na kama anavyotuarifu Victor Wetende uchunguzi kuhusiana na kifo cha Keino bado unaendelea huku takriban mashahidi 20 wakitarajiwa kufika mahakamani kutoa ushahidi.

КОМЕНТАРІ • 1