Friji upo vzr sana right wachambuzi wote wangekua wakweli kama ww hakika tungefika mbali sana na soka letu tatzo la yanga imezoea kubebwa kwenye ligi yetu na kutoa bahasha pamoja kununua marefa
Na hicho ndicho kinachowaghalimu Yanga,toka GSM adhamini vilabu 6 ushindi wa Yanga ni rahisi kutoka hizo timu 6 na inawaghalimu kwenye mshindano ya kimataifa, na kubebwa na marefa,kunaidhoofisha Yanga,Simba wanapambana kwa jasho la damu kwenye kila mechi na ndio maana wamekomaa kimichezo,leo wanafanya vzr kimataifa,Unachokipanda ndicho unachokivuna poleni Yanga.
Waambie GSM aendelee kuzamini timu zote zinazo shiriki ligi kuu na aendelee kuhonga hizo timu ziwaaachie Yanga washinde kilaini, Simba tutashinda mechi zetu hatq mkiwapa bonasi wapinzani tunaocheza nao.
Na ndiyo kilichowakuta kimataifa😂😂😂😂😂 waendleee tu Ligi za Ndani kuwapa Vibahasha wakina Kayoko na kuendelea kudhamini Kila timu halafu Yanga wakose Ushindani Kisha wafike CAF wakutane na Wanaume 😅😅😅😅
FRIJ BOVU UNAKERA WACHA YANGA WAFURAHIE LIGI KUU WAZIDI KUJIITA MABINGWA WA KIHISTIRIA ,ILA SIMBA WAMETOKA HUKO HATAKI HIYO SIFA SIMBA WANAFOCUS KIMATAIFA ZAIDI NA IKO SIKU WATALETA KOMBE LA CAF 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Makocha marefa na viongozi wanaomiliki timu...na wana mapenzi ya yanga..wasizani wana wakomesha simba niwaambie tu wanajididimiza wenyewe shimono😅😅😅GSM..ongeza kuzamini timu zote😅😅
Kaka fridge bovu nakupa hii chukua itakusaidia mbele ya safari 😂 "SIKU SIMBA AKIVUKA ROBO KWENDA NUSU KWENYE MASHINDANO YOYOTE YA AFRIKA BASI NDO MSIMU HUO KOMBE LA AFRIKA LINATUA KWENYE ARDHI YA MAMA SAMIA"
Friji bovu wewe ni kiboko ya wanafiki,Yanga wote ni wanafiki hawataki kumweleza ukweli GSM,watafanikiwa kwenye ligi Kwa sababu ya zile bonasi za timu 7 za GSM. Kimataifa hakuna hilo,ni nginjanginja. MTAKOMA UBISHI,sie mnyama tunadundundu tu.
Friji bovu we ni msema kweli uko vizuri
God is good
Fridge Bovu 🎉🎉🎉🎉🎉
Friji upo vzr sana right wachambuzi wote wangekua wakweli kama ww hakika tungefika mbali sana na soka letu tatzo la yanga imezoea kubebwa kwenye ligi yetu na kutoa bahasha pamoja kununua marefa
Fridge bovu ni machine yaku ongea ukweli bonge la chambuzi.
Mchambuzi wangu Bora mda wowote
Ninakukubali sana Mimi simba
upo sahihi kabisa kaka
Bora mseme nyinyi
Dodoma Jiji mpaka kipa namba moja akawekwa kando,sijui alikuwa hakukubaliana na maelekezo😅
Na hicho ndicho kinachowaghalimu Yanga,toka GSM adhamini vilabu 6 ushindi wa Yanga ni rahisi kutoka hizo timu 6 na inawaghalimu kwenye mshindano ya kimataifa, na kubebwa na marefa,kunaidhoofisha Yanga,Simba wanapambana kwa jasho la damu kwenye kila mechi na ndio maana wamekomaa kimichezo,leo wanafanya vzr kimataifa,Unachokipanda ndicho unachokivuna poleni Yanga.
Waambie GSM aendelee kuzamini timu zote zinazo shiriki ligi kuu na aendelee kuhonga hizo timu ziwaaachie Yanga washinde kilaini, Simba tutashinda mechi zetu hatq mkiwapa bonasi wapinzani tunaocheza nao.
Ni kweli ligi ni dhaifu kwa yanga,sababu ya biashara zinazofanywa na utopolo na timu nyingine swala la udhamini liangaliwe
Na ndiyo kilichowakuta kimataifa😂😂😂😂😂 waendleee tu Ligi za Ndani kuwapa Vibahasha wakina Kayoko na kuendelea kudhamini Kila timu halafu Yanga wakose Ushindani Kisha wafike CAF wakutane na Wanaume 😅😅😅😅
FRIJ BOVU UNAKERA WACHA YANGA WAFURAHIE LIGI KUU WAZIDI KUJIITA MABINGWA WA KIHISTIRIA ,ILA SIMBA WAMETOKA HUKO HATAKI HIYO SIFA SIMBA WANAFOCUS KIMATAIFA ZAIDI NA IKO SIKU WATALETA KOMBE LA CAF 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
nakubar san kaka mngu aendelee kukup uhai
Makocha marefa na viongozi wanaomiliki timu...na wana mapenzi ya yanga..wasizani wana wakomesha simba niwaambie tu wanajididimiza wenyewe shimono😅😅😅GSM..ongeza kuzamini timu zote😅😅
HAPO NDO KUNASHIDA
Kweli fitina yako bahati yangu😂
Pascal unaccounted ni kweli kabisa. Undhamini wa timu nyingi kwa mtu mmoja hilo ndiyo tatizo la kudhoofisha league yetu
Lazima aseme hivyo maana timuzote alizocheza sizakununuliwa angekua simba akutane na kimbembe akute simu imeahidiwa hela akimfunga simba sio zakununua
GSM aendeleee tu matokeo wanayaona na bado
Sio kila mtu anaujasiri wa kusema ukweli cocha rama ni mkweli
Maxime ni yanga Lia Lia minziro ni yanga wategemea nini
Huu ni Ukweli ambao mashabiki wa Yanga wanatakiwa kuujua
Side kasema ukweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo GSM kalaisisha Ligi ili yanga kupata mtelemko kasema kweli wamuache cocher jmn🤣🤣🤣
HILI NDOO FRIJI BOVU SASA
Apo sasa kaka friji omeongea neno
😂😂😂 kocha kafungwa anacheka 😂😂 haya maajabu yapo Tanzania tu
Maana yake timu zote zinazodhaminiwa "GBM" zinakuwa dhaifu zinapocheza na Yanga. Ligi yetu ndo maana imeharibiwa 😢
Waache wabweteke ivo ivo watastuka baadae
Tayari tabora kawekewa mil 50 za bonasi
Said Ramadhan Msema kweli wa Utopolo 😂
ILA SISI MASHABIKI HATUTAKA KUAMBIWA UKWELI LAKINI HIKI KITU NDO KINATUKWAMISHA YANGA TUNAENDA KUCHEZA NATIMU AMBAZO ZINAZAMINIWA NA GSM HILI NITATIZO
Kaka fridge bovu nakupa hii chukua itakusaidia mbele ya safari 😂 "SIKU SIMBA AKIVUKA ROBO KWENDA NUSU KWENYE MASHINDANO YOYOTE YA AFRIKA BASI NDO MSIMU HUO KOMBE LA AFRIKA LINATUA KWENYE ARDHI YA MAMA SAMIA"
Nmekusoma friza. Yan simba inapata matokeo kwa mbinde
Lakini mbona alikuwa anashangilia!
Semeni ukweli game za yanga na simba huwa Zina mkazo tofauti.
Hayo ndio madhara yake
Hapo tumepata majibu
Friji bovu wewe ni kiboko ya wanafiki,Yanga wote ni wanafiki hawataki kumweleza ukweli GSM,watafanikiwa kwenye ligi Kwa sababu ya zile bonasi za timu 7 za GSM. Kimataifa hakuna hilo,ni nginjanginja. MTAKOMA UBISHI,sie mnyama tunadundundu tu.
Rudi shule man. Umechukua statement ya mwalimu out of context