HANS RAFAEL: KOCHA RAMOVIC ANAKOSEWA/ ANALALAMIKA KUWA LIGI HAINA USHINDANI KAMA KIMATAIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 114

  • @HonestMahuwi
    @HonestMahuwi 11 днів тому +2

    In football (soccer), intensity refers to the level of energy, effort, and focus displayed by players during a game or training session. It reflects how hard and fast players are working, both physically and mentally, in various aspects of the game.
    Key Aspects of Intensity in Football:
    1. Physical Intensity:
    • The speed of sprints, constant movement, and pressing opponents.
    • The strength and commitment in tackles, duels, and aerial challenges.
    • High endurance to maintain performance levels throughout the game.
    2. Mental Intensity:
    • Staying focused and sharp for 90+ minutes.
    • Making quick decisions under pressure.
    • Maintaining discipline in tactics and positioning.
    3. Game Situations:
    • High-intensity pressing: Aggressively closing down opponents to regain possession quickly.
    • Fast transitions: Quickly moving from defense to attack or vice versa.
    • High-tempo passing: Rapid ball movement to create opportunities and unsettle the opposition.
    Coaches often emphasize intensity because it can determine the effectiveness of a team’s play, their ability to dominate the game, and their resilience in tough situations.

  • @SaidiSheria
    @SaidiSheria 10 днів тому

    Uko vizuri sana kaka

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 11 днів тому +2

    Nampenda ❤ hance 😍🥰

  • @IsabelaConstantino-y2s
    @IsabelaConstantino-y2s 10 днів тому

    Kweri kabisaaa

  • @FrankMtwale-g3q
    @FrankMtwale-g3q 11 днів тому +4

    Na sisi wabongo si hatutakagi ukweli😂😂

  • @ShabaniMarande
    @ShabaniMarande 11 днів тому

    Kwenye radio atuwapati???

  • @mohamedmchopa2254
    @mohamedmchopa2254 11 днів тому +1

    League inaharibiwa na MIXX BY YAS

  • @HassanKibandulo
    @HassanKibandulo 10 днів тому

    Ubora hakuna n hautakuwepo.mtuu moja ana miliki Tim kibao nakuziudumia kwamchongo.nakocha namkubari kaongea ivyo kwakuwa kanunuliwa zile mechi alizoshinda nyokeni acheni kung'ata maneno

  • @CastoNoel
    @CastoNoel 11 днів тому +1

    Nyinyi amueleweki ile andadogi ya simba iko wapi?

  • @tanzaniakwanzamaadili5083
    @tanzaniakwanzamaadili5083 11 днів тому +6

    Ligi ya Sudan ikoje Athenian umbea went simba mbona mechi zake zote Zina intensity, utopolo walikuwa wanashinda kwa mipango na fadhila za udhamin ,

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani 11 днів тому

      Tatua kwanza uwezo wako wa kufikiri kisha andika tena

    • @SaidSalum-km9eq
      @SaidSalum-km9eq 10 днів тому +1

      punguza mapenz binafsi nyie ndo mnafanya tanzania tuonekane hatuna akili kumbe ni wachache tu ndo hamna akili

    • @IsabelaConstantino-y2s
      @IsabelaConstantino-y2s 10 днів тому

      Waliwahi kuchukua nn

    • @IsabelaConstantino-y2s
      @IsabelaConstantino-y2s 10 днів тому

      ​@@LumumbaFarhanikuongea ukwerii

  • @kwelizabibiliaonline
    @kwelizabibiliaonline 10 днів тому

    Wachambuzi mjitahidi kufafanua maana ya NENO then ndo mtoe uchambuzi coz haitoshi tu kusema intensity intensity, ndomaan kubishana kumekuwa kwingi

  • @innocentselerin965
    @innocentselerin965 11 днів тому +2

    Product ya ligi kuu ni mbaya na mbovu. Simba na yanga nao nguvu nyingi sana nje ya uwanja inarudisha ligi nyuma

  • @hafidhiabdullah3172
    @hafidhiabdullah3172 11 днів тому +2

    Kwani uongo ligi mbovu haina mvuto sijakiona kipya kwenye ligi

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 11 днів тому

      Kwasababu yanga mnanunua mechi za ligi😂😂😂😂

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 11 днів тому

    Madhara ya TIGO PESA NDANI YA LIGI 🎉🎉

  • @jitubayavanny2490
    @jitubayavanny2490 9 днів тому

    Sasa kama Azam Simba kakutana nazo anazungumzia intensity ipi

  • @geraldmlayda9313
    @geraldmlayda9313 11 днів тому

    Simba anacheza ligi gan

  • @mgendihdellicy6210
    @mgendihdellicy6210 11 днів тому

    sasa si wamenunua mechi iyo intensity inatoka wapi

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 11 днів тому +1

    Sasa GSM imedhamini timu zaidi ya 2 Ina maana Yanga Ina uhakika wa points za Asante Boss

    • @kadyuwegeyetv5310
      @kadyuwegeyetv5310 11 днів тому

      Ndio na ndio maana hata zile tano ilikuwa Asante boss

  • @vintz338
    @vintz338 11 днів тому +1

    Iigi dhaifu bhana, hv timu kama ken gold kweli ndo unacheza nayo ni uongo kabisa lig dhaifu hii wala sio bora

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 11 днів тому

    Udhamini wa GSM kwa timu zaidi ya 7 kwenye ligi kuu haiwezi kumpa kocha #intensity anayoitaka. Hiyo ni kabla ya kuwataja marefa kama Ramadhani Kayoko na wachezaji wasaliti kama Inoga, Chamaz, Aisha, Kennedie, etc

  • @athanasius7921
    @athanasius7921 11 днів тому

    Kwani walifungwaji na tabora??

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 11 днів тому +1

    Kocha wa Yanga yuko sahihi muache uboya. Leo hii kuna timu ya Afrika Kusini imeingia robo fainali shirikisho sijawahi kuisikia kabisa. Lakini kutokana na timu nyingi kuwa bora ndio maana hata timu ya mwisho unakuta iko strong.

    • @bugalirecords4862
      @bugalirecords4862 10 днів тому

      Naunga mkono hoja kocha kaona bahasha nyingi hadi wachezaji wakuwa hawana ushindan wa number kwenye kikosi had wanafeli kimataifa

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 10 днів тому

      ​@@bugalirecords4862ovyooooooo,mmekariri bahasha,toa nawewe kama ni rahisi kolo wewe mvunja viti fc,dunduka fc,wachawi wa kuwasha moto kwenye viwanja vya watu fc,matoa lugha chafu fc ndo maana mnapigwa vibao

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 11 днів тому

    Kwann huwa mafanya uchambuzi kwa ligi mbovu na kwann haya yaje baada ya yanga kufungwa?

  • @LarryLukas-oz9sk
    @LarryLukas-oz9sk 11 днів тому +1

    Amefundisha south timu ndogo kapigika na kina kaizer mamelody na Orlando sasa kaj timu ina wachezaji wazuri ligi sio ngumu ndo anamaanisha hichoo

  • @SaidiSheria
    @SaidiSheria 10 днів тому

    Ligi mbovu sio sili

  • @shabaninayopa-nw9cf
    @shabaninayopa-nw9cf 11 днів тому

    Hayo ni matokeo ya Tigo pesa ya GSM kutaka kuwafurahsha mashabk wa nyuma mwko huku anapga not taratb

  • @gilberthpeter2450
    @gilberthpeter2450 10 днів тому

    Mnapoteza mda sana semen kwel udhamini wa gsm unatuharibia yanga

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 10 днів тому

      Wavunja viti hamjui mnakurupuka tu hamjui kitu bora mkae kimya tu madunduka

  • @mgendihdellicy6210
    @mgendihdellicy6210 11 днів тому

    Iko wazi kwamba hizo zimazotajwa ni ligi kubwa ukilinganisha na yetu,.. that's why intesity ni kubwa,ingekuwa ligi yetu ni bora zaidi ya hizo afu intesity ikawa ndogo ndo lingekuwa tatizo,bado tunatambaa asilazimishe tusimamae na kutembea,.point ni kwamba tunataka kuona ubora wake huyo kocha,aache maneno mengi yasiyohusiana nakufeli kwake, intesity intesity ndo manini,si yanga ni timu bora sasa ashinde mechi zote za ligi sasa

  • @husseinshariff2285
    @husseinshariff2285 11 днів тому

    Sasa hao yanga wakikutana na tim ngumu itakayowapa challenge msimu unaofuata wanainunua....unategemea intensity itatokea wapi kama unavinunua vilabu vinavyokupa changamoto

  • @masoudkombo5004
    @masoudkombo5004 11 днів тому

    Mnaongea pumba Kwaiyo Kama team zikicheza na dodoma jiji Zina uhakika wa kuchkua point Basi wasiende uwanjani

  • @HdhdhdhdhJdhdhd-o6c
    @HdhdhdhdhJdhdhd-o6c 10 днів тому

    ligi yetu ni Bora ila kocha sio Bora kudadadeki

  • @pascojm6816
    @pascojm6816 11 днів тому

    Ligi ya Tanzania ni mbovu, timu ni mbili tu Simba na Yanga

  • @kombadenis2906
    @kombadenis2906 11 днів тому

    Acheni kuficha

  • @kastorjoseph-f3n
    @kastorjoseph-f3n 9 днів тому

    Hakuna kitu @hans ongeeni ukweli GSM kaharibu ligi na nyie wachambuzi mnatudanganya sanA na mnauharibu mpira wetu hivi kwa mechi ya dodoma vs yanga mzunguko wa kwanza unataka ushindani utoke wapi hapo

  • @brownngwazi5295
    @brownngwazi5295 8 днів тому

    Umeona simba vs mashujaa, simba vs singida, simba vs jkt labda yanga ndo wanalegezewa ila simba tunakamiwa mguu wa shingo mguu wa riho

  • @saxprince10
    @saxprince10 11 днів тому +2

    Ligi mbovu Azam kukamia Yanga tyu timu zingine hoiiiii

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 11 днів тому

    Tulienda south tukabeba kikombe, ligi ya mabingwa mamelodi tulimfunga kwao refa kawabeba.mpaka wandishi wa habari walilaani Hilo tukio.na hicho ndicho kilichomleta yanga kwa kuamini ni timu kubwa zaidi itampa CV.labda kunajambo jingine ndani ya yanga na Gsm na matawi yake.kubebana shida ipo hapo.

  • @kombadenis2906
    @kombadenis2906 11 днів тому

    Yanga wakitaka intensity GSM inabidi aache udhamini timu sita ndio atapata huo ubora

  • @mussaomarystambuli
    @mussaomarystambuli 11 днів тому

    acheni kuropoka mtu kaleta hoja mjibuni kwa hoja acheni kupotosha watu

  • @erickprotace9463
    @erickprotace9463 11 днів тому

    Shida simba ikicheza timu inawekewa hela ligi kuu lkn yanga hapana mech inakuwa rahisi, hivyo ushindani hamna

  • @DenisGodwin-uu6zz
    @DenisGodwin-uu6zz 9 днів тому

    Timu inaishia robo kila msimu inajiita kubwa,mnajinasibu ndio mafanikio makubwa🤣🤣🤣maana yake ligi yenu mbovu.Yanga kufika fainali shirikisho ilikuwa maajabu🙆maana yake ligi dhaifu.Azamu katolewa round ya kwamza CCL tena akiwa na ushindi wa nyumba✍️maana yake ligi bovu,.

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 11 днів тому

    Huyu kocha anamatatizo yake tu , kwani alipokuwa anashinda mbona hakusema hivyoo??

  • @damasgabriel6249
    @damasgabriel6249 11 днів тому

    Kama league ya Algeria Ina ushindani Mkuu wa kwanini Simba ambayo Iko kwenye league dhaifu iliifunga cs Constantine?

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 11 днів тому

    Kuna neno kasema ukifananisha na ligi za wezetu kwani Kuna kosa

  • @nizobeatz90
    @nizobeatz90 11 днів тому

    😢umezamini timu 7 ss utapataje ugumu

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 11 днів тому +1

    kwer kocha yuko sahihi tatizo wabongo ujuaji mwingi na elimu zetu za ngumbalu enzi lile mtu unaingia dalasani hutafuti majibu ya mtihani unakuta kwenye mtihani A b c d ivi hapo hata ukifaulu utajita wewe msomi ndo haya sasa

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 11 днів тому

    Toka hapa, hii mechi ya mwisho ya Mc Alger, siwalitoka kukutana na Al Hilal kamoja na Tp Mazembe nazo azina ushindani

  • @HenryKimaro
    @HenryKimaro 9 днів тому

    Ukweli gani ? Mbona Timu yake ilipoishinda TP Mazembe na Al Ahaly hakuyasrma hayo ? Hizo Nchi mnazozitaja na hizo Timu zimewekeza kwa uwezo wao wa kiuchumi lkn hakuzifanyi ziwe zinashinda kila mchezo ht km zina intensity Bocco alisema kweli wengi wenu ni wachambuzi mbuzi mbuzi uchwara

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 11 днів тому +2

    Simba ikimfunga namungo hiyo sawa, ila yanga ikimfunga namungo bahasha? Je yanga akimfunga simba ni bahasha?.

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 11 днів тому

    leo hii ligi imeshakuwa haina ushindani kwakuwa timu yenu imeshatoka

  • @RockyMbwana
    @RockyMbwana 10 днів тому

    Unadhamin timu 9 unatak ukikutana nao wataacha kukuachia

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 11 днів тому +1

    Ligi haina ushindani kwerii sababu GSM kaharibu kusajiri team nyngi kuitafutia Yanga ubingwa wa ligi kuu

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 11 днів тому

    Wanaofanya ligi isiwe bora ni hao yanga wenu wanaodhamini vilabu kumi nyie ndiyo mnatetea ujinga wa mtu kudhamini timu 8 wakati huo mmeshatolewa ndiyo mnatafuta sababu timu yenu ni mbovu

  • @LeonidasStephano
    @LeonidasStephano 11 днів тому

    ligi haiwezekani kuwa na mudhamini mmoja akadhamin timu 6 ikawa na ushindani watu walizungumza mapema hili

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 11 днів тому

    Kocha kakosea na kajifichie hapo
    Ila sii ligi tuu inayoamua matokeo ya uwanjani bali ni vitu vingi mno huenda uwezo ama elimu yake ndogo

  • @AnthonyDcosta-f3q
    @AnthonyDcosta-f3q 11 днів тому

    MSIOGOPE KUSEMA UKWELI TATIZO NI TEAM ZINAZODHAMINIWA NA KAMPUNI MMOJA AMBALO NDO TATIZO KUBWA SANA

  • @majaliwamusa9411
    @majaliwamusa9411 11 днів тому +1

    rigiya simbanayanga2

  • @FeristaMhagama
    @FeristaMhagama 11 днів тому

    Waongo wacha mbuzi mba wavuruga wtu benders fuata upepo

  • @josephmpagike2481
    @josephmpagike2481 11 днів тому

    Hawa wachambuzi wanajaribu kumtetea yanga na kuwahamisha mashabiki wa yanga kwenye mjadala wa yanga kufeli champion reage binafsi sioni kama Kuna kunamjadala kuhusiana na ubora wa hizo ligi za inchi alizozitaja lakini hiyo kauli imekuja wakati gani

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 11 днів тому

    Waache kununua mechi ili wapate intesity kutoka kwa wapinzani.😂

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 11 днів тому

    Simba akimfunga Singida simba nakuwa amecheza mechi sawa na ligi ya morocco yanga akicheza na singida ni sawa amecheza na ligi ya Tanzania hiyo ndiyo tofauti yake yanga wanashinda kutokana na boss wao anavyopenda ndiyo maana hata marefa wenu ndiyo sababu ya yanga kuwa hovyo kwa kuamini marefa wanaweza kuwasaidia kufika wanakotaka

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 11 днів тому

    Anacheza na Dodoma jiji wanapewa bahasa anaona tim nzuri anakuja kimataifa hakuna kitu.

  • @Drezeqsweya
    @Drezeqsweya 11 днів тому

    Hata hao waarabu walikuwa hawafk kwa yanga!...
    Kimbinu coach kafeli tu..,huyo coach South league...
    So hakukuwa na challenges hizo?, or viwango vya wachezaji wetu esp wa nje hawana viwango?

  • @StanfordLangford
    @StanfordLangford 11 днів тому

    Broo hata maana ya intensity hujui umefeli form 4chalafu unashauri watu wenye akili timaru kama wewe unajua kweli chukka timu uchukue hata kikombe cha chai....huyu Hans Rafael me nayeye tupewe mtihani wowowte wa form ii au iv nikimputa zaidi ya marks 5 tuu namlipa mtuu una f7 unaelekeza watuù

  • @amosmakabara3024
    @amosmakabara3024 11 днів тому

    PAUL MKAI naomba wachambuzi wako watuambie kitambulisho cha mpira wa Tanzania labda kipo halafu mm tu ndo sijakiona ramovich yupo sahihi ila siyo kicha sahihi cha yeye kujificha

  • @SaneMwezi
    @SaneMwezi 11 днів тому

    Hizo ni kelele tu atengeneze timu kwani hao SA na misiri walio dominate nitimu ngapi hizo ni porojo tupu kwani yanga alifikeje fainali acheni u Swahili ligi yetu ni bora kwa sehemu yetu sio mbovu kiivyo acheni kelele na Kenya watasemaje?

  • @ellynkwama8603
    @ellynkwama8603 11 днів тому

    Wachambuzi wa bongo wanachekesha,wamekazania neno intensity ka vile kwenye lugha ya kiswahili hakuna neno lenye tafsiri yake.

  • @gisdenga7740
    @gisdenga7740 11 днів тому

    Acha uwongo angalia game za yanga na wasiovaa GSM pumzi wanayopelekewa lakini simba kila game kama final

  • @hakimundabila7940
    @hakimundabila7940 11 днів тому

    Hiyo intensity inakosekana kwa yanga tu ambao kuna namna nadhani. Mechi zote za simba ni za high intensity why yanga tu ndo akose intensity?

  • @silvanusbarnaba9496
    @silvanusbarnaba9496 11 днів тому

    Una akili Rafael si hivyo tuu hata marefa wetu angalia vipenga na faulo zisizo na maana zimejaa na hivi ndivyo inafanya timu zetu zipate shida

  • @alamamedia
    @alamamedia 11 днів тому

    Simba ameitoa timu ya kutoka ligi gani?

  • @nicholauscharles74
    @nicholauscharles74 11 днів тому

    Hiki ni kichaka tu cha kujifichia, ubora wa timu unachangia kwa kiasi kikubwa sana

  • @JumaMgweno
    @JumaMgweno 11 днів тому

    Hamna hoja ya msingi upumbavu tuuuuuuuu

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 11 днів тому

    Hata hao Simba na yanga ni wazinguaji t ,mnataka timu ziwe na ushindani wakt timu zikiwa katika ubora hizo timu zenu zinasema kma zinakamiwa sasa mnategemea izo timu zinawezaje kucheza mnavotaka nyinyi

  • @shabanmusa5040
    @shabanmusa5040 11 днів тому

    Wachambuzi wasiojua soka wapo crown media mnaongozwa na matukio 😂😂pumbav zenu,tp mazembe kacheza final club world cup na ligi yao haina ushindan mkubwa

  • @sadikingonyani8124
    @sadikingonyani8124 11 днів тому

    Udhamini wa GSM unachangia kuizoofisha Yanga, timu nyingi zinawadekeza timu ya Yanga

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 11 днів тому +1

    ACHENI KUFICHA FICHA SIMBA NDIO ANAKUTANA NA MECHI NGUMU KULIKO YANGA NAMNA DODOMA ALIVYO CHEZA NA YANGA NI TOFAUTI NA DODOMA NA SIMBA NA NDO MAANA SIMBA ANAFANYA VIZURI KULIKO YANGA KIMATAIFA

  • @YayayaJimmy-x8j
    @YayayaJimmy-x8j 11 днів тому

    Hans ligi ya south Africa msimu uliopita mamelod imefungwa mechi moja tu na rhulan akawa analalamika kila tim inayokutana na mamelod inapaki bas.hamna ligi dunia tim zote zikawa na uwezo sawa,nikuulize domoma Jiji,mashujaa, JKT,cost .zilivyocheza na simba mech ulizionaje?

  • @majaliwamusa9411
    @majaliwamusa9411 11 днів тому

    kochayuko sawa hirigi janjamwingi

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 10 днів тому

    Waache kudhamini mtu mmoja kudhamini timu zaidi ya moja wewe mtu unaeyempa msaada atakupinga

  • @shabanmusa5040
    @shabanmusa5040 11 днів тому

    Hawa machawa juzi tu walisema mc alger underdog kwa yanga wamebadilika tena njaa mby sana😂😂

  • @seifmketo2421
    @seifmketo2421 11 днів тому

    Kwani nyie hiyo kauli kwann hakutoa alipoifunga Mazembe au alipomfunga Ibenge mnachambua nn nyie mbona km vishandu

  • @JumaMgweno
    @JumaMgweno 11 днів тому

    Yan wachambuzi kabisa mnaongea kama kijiwe cha bangi CIONI HOJA YA MSINGI HAPO KAPOTOKA FALA SAIDI

  • @Jafari-t3x
    @Jafari-t3x 11 днів тому

    Sio sababu yanga kutolewa lakn

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi 11 днів тому

    Mkiambiwa.ligi.dhaifu.mnatakiwa.muelewe..ukiondoa.simba.na.yanga.ni.timu.gani.nyingine.iljowai.kufika.japo.robo.fainali.michuano.ya.caf..walianza.namungo.wakaja.biashara.kmc..coast.azam..wote.wamefeli..hilo.ndo.jibu.kuwa.ligi.yetu.dhaifu

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 11 днів тому

    MWALIMU RAMA AMEGUNDUA MCHEZO MCHAFU WA KÙPATA MATOKEO KWA VIONGOZI WA TIMU YAKE. 😂

  • @trevor_simon_15
    @trevor_simon_15 11 днів тому +1

    Awaambie kina injinia waache kumnunulia mechi kwenye ligi ili ashinde kiurahisi. Sisi simba tunapata mechi ngumu kila siku maana timu tunazokuwa tunacheza nazo zinakuwa zimeahidiwa hela ili ziifunge simba

  • @StanfordLangford
    @StanfordLangford 11 днів тому

    Daraja lapili ya Algeria unajua timu gani Geoff....don't be like that dumb broo you are too smart for that nonsense

  • @HOMEFRESHEXPORT
    @HOMEFRESHEXPORT 11 днів тому +2

    UKWELI NI KWAMBA GSM ANANUNUA GAME HALAFU TEAM YAKE.YAKOSA USHINDANI WA HAKI..ZILE SANAA na Dodoma mexime apanga wasiocheza ili yanga ashinde utapata USHINDANI gani?

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 11 днів тому

    Nyie Wote Mnao Lalamika Gsm Kudhamini Timu zaid Ya Moja Ni Waambieee Tuuu Hamjielewi Mtakuwaaa Mazombieeee Nyie Au Matahiraaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dalalimwalimufurnitures
    @dalalimwalimufurnitures 11 днів тому +1

    Kwahiyo simba yeye anacheza ligi gani mbona qnashinda, lakini yanga kutolewa basi ligi haina ushindani? Wangefuzu haya yote yasingekuwepo, yeye akubali tu kuwa amefeli kimbinu aache kujitetea

  • @masoudkombo5004
    @masoudkombo5004 11 днів тому

    Mnaongea pumba Kwaiyo Kama team zikicheza na dodoma jiji Zina uhakika wa kuchkua point Basi wasiende uwanjani