TAZAMA DHAHABU IKICHOMWA KIWANDANI GEITA GOLD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 2 роки тому +2

    R. I. P. Jembe letu. Mwenyezi mungu akueke mahali pema amiin.

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 2 роки тому +2

    Ni nzuri kwa kweli

  • @MosiSkwara-lb8sg
    @MosiSkwara-lb8sg Рік тому

    Kazi zinapatikana

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 2 роки тому +2

    Huu ndio uwekezaji, unaona mchango wake kiuchumi. Serikali itoe fursa nyingi kwa viwanda vya aina hii tuondokane na utoroshaji wa madini.

  • @kennedymaster2000
    @kennedymaster2000 7 місяців тому

    Watu wa nnje ndo wameshikilia sehemu za thamani.

  • @livingstonetemu1423
    @livingstonetemu1423 2 роки тому +2

    Asa mbn Kuna wazungu Bhan 😛

    • @geofreykato3976
      @geofreykato3976 2 роки тому

      Hiyo siyo Geita Gold. Itakuwa Mwanza kwenye kiwanda cha gold refinery

    • @kennedymaster2000
      @kennedymaster2000 7 місяців тому

      Hata mm nimeshangaa

    • @masanjaseni4438
      @masanjaseni4438 Місяць тому

      Sasa kama wao ndo wanafanya uwekezaji sis tupo bize na tozo mnategemea nin

  • @kennedymaster2000
    @kennedymaster2000 7 місяців тому

    Watu wanje ndo wanaoparate mali zetu mambo ya ajabu kabisa