TAAMKO LA SERIKALI SAKATA LA HOSPITAL MNAZI MMOJA "MAMA MJAMZITO KUFA NA MTOTO WAKE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

КОМЕНТАРІ • 106

  • @salumamour932
    @salumamour932 Рік тому +5

    Mnazimmoja madr wamezidi dharau yapo matukio meng ukiachia hilo sema watu wanashukuru mungu tu

  • @abdulbasittv9849
    @abdulbasittv9849 Рік тому +3

    😢😢😢😢 mhe Mazurii ukishindwa kuitendea haki jiuzulu wamama wanaumia

  • @asmaali2911
    @asmaali2911 Рік тому +6

    Hebu njooni wete Pemba hukuu kumeozaa zaid ya hiyo mnazi mojaa ......

    • @AboubakarSheha
      @AboubakarSheha Рік тому

      Hjmb asm , upo wete sehem gn?

    • @shadyaseif8685
      @shadyaseif8685 Рік тому

      Kweli Da Asma ni wajeuri wauaji wauaji hawana ubinaadamu utu haupo ni sawa na wanyama mwitu hamuogopi Mungu hawajui kesho hukumu watakwenda kuulizwa dhulma roho za watu utafikiria sio waislamu wenzetu awarehemu wote waliotangulia mbele ya haki Allah awape malipo mema waliokua wakifanya kazi kwa moyo bila kujali MASLAHI miaka hii kila leo mishahara wameongezwa lkn wanakosa utu hii ni malezi ya wazazi wao maadili bora kwa kizazi chetu hichi ni shida

    • @MaryamAbdi-sq2jx
      @MaryamAbdi-sq2jx Рік тому

      Ni kweli moyo wa huruma sasa umetoweka manesi wamebaki fashion t. Sadakta mdogo wangu.elimu kubwa kichwa kitupu

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 Рік тому +1

    Muamuzi wa haki ni Mungu peke yake. Mmewasimamisha kazi mara Moja je mliwasikiliza upaNde wa pili kabla hamjatoa maamuzi? Je huyo mama alipofika hospitali alikuwa anableed, je mnajua alibleed masaa mangapi kabla hajafika hospitali? Je huyo mtoto tumboni alikuwa hai kabla hajafika hospitali? Je hao wauguzi na madaktariwalikuwa wangapi? Na wagonjwa walikuwa wangapi? Kwa vile mama alibleed je hakupata huduma yeyote kabla hajafariki? Kwa upaNde wa damu ilikuwepo ya kutosha? Je hao jamaa hawakumchelewesja kumpeleka hospitali walichukua masaa ngapi?

  • @yushalforever7216
    @yushalforever7216 Рік тому +4

    Haya Yakizungumziwa kila mmoja atoe yaliyo moyoni mwake. Naona madaktari 98% watasimamishwa kazi. Ushauri . Serikali iweke cctv kila eneo la hospitali maana binaadamu wa sasa hawafanyi kazi kwa ajili ya Allah badala yake hufanya kazi kwa ajili ya binadamu. Kwa hiyo cctv wataieheshimu na kujituma na kuwa wanyenyekevu na wastaarabu

    • @zainabjuma9168
      @zainabjuma9168 Рік тому

      Asilimia sio 98 wote nje, mwisho tunaamua kuzalia majumbani au kuacha kuzaa kabisa Sasa sijui itakuwaje? Nchi itakuwa na mazee matupu kwa uzembe wao.😡😡😡

  • @asmaali2911
    @asmaali2911 Рік тому +1

    Ila ikiwa uongozi ni madhubuti na unausimamiaji mzuri basi na huku chini wangenyookaa

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 Рік тому +2

    kwani spitali au machinjioni,hamna spitali zanzibar

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali 16 днів тому

    Inna lillah wainna ilàih

  • @Youngteo394
    @Youngteo394 Рік тому

    Mimi niliwah kuenda spital ya mnazi mmoja nilifika km mida ya saa 4 asubuh nilikuja kuondoka saa 10 kwa uzembe wa doctor chumba na 1 asa kufika pale nimandikisha jina langu vizur nikaenda kupanga foleni sasa kweny foleni ilikuwa haiendi asa doctor anahudumia wangonjwa wa wili then mlango wa mbele anaufunga sisi tunasema anamchunguza mgonywa kumbe wale watu wametokea mlango wa nyuma halfu yule doctor na yeye yupo mlango wa nyuma anapiga story na mlinzi haku hajuwi km kuna wangonywa wanahitaji huduma yeye anapiga story na mlinzi akimaliza anafungua mlango wa mbele anaruhusu mgonywa mimi nimemshuhudia kwa macho yangu

  • @barakashamte1206
    @barakashamte1206 Рік тому

    Wahusika ni wahalifu kesi wapewe Polisi maramoja ACT Wazalendo lenu hulo

  • @FabianFabian-ud6ko
    @FabianFabian-ud6ko Рік тому

    Dah kweli mnaz moj madokita wanazarau mie mke wng kajifunguwa Kwa upresh kachomwa shidano kawa na dondaa mwezi huo Kila siku aend kusafishwa kwnn wanafany hiv mie naomba watolew wot waje madokita wa mnje uko

  • @MaryamAbdi-sq2jx
    @MaryamAbdi-sq2jx Рік тому

    Viongoz i wa afya ki maadili wapunguze kushindana suti tu wafanye ziara za kushtukiza mawodini huenda ikasaidia then pawe na active supervision.

  • @mustafaismail7333
    @mustafaismail7333 Рік тому +2

    Wamezoe kuwanyanyasa wanyonge

    • @khalefhamad7243
      @khalefhamad7243 Рік тому

      Madaktari wa Mnazi mmoja Hospital wengi wao wana dharau yaani hawajali wagonjwa wana dharau za kupitiliza ndo maana yakawa yanatokea hayo alafu kila siku kesi izo kwa izo hawakomi wameshazowea kuuwa watu na wanajuwa hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa na Serikali ndo maana wakawa wanaendelea kufanya ukatili kama huo kwa kweli inasikitisha sana😭😓😭😭😭

  • @madamaisha1641
    @madamaisha1641 Рік тому +1

    Hawana sifa wenye sifa hawapewi ajira.kama huna mkubwa huajiriwi wanapelekana wenyewe kwa wenyewe japo hawana sifa.ndo maana wanafanya huo ukorofi.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Maneno mengi ya nini serikali imlipe na wahusika wafukuzwe kazi na wakose haki zao zote wauwaji hao

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

    Mm napenda doctar wa kiume wana huruma sana mna taji lenu mbinguni lakini baadhi ya maners puuuu hapana

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

    Zanzibar huko jamani madocta dunia bila akina mama haiwezekani

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому +1

    Labda niseme km nitasikika, haya matatizo yanachangiwa na serikali. Wafanyakaz kidogo wauguzi wanafanyakaz km watumwa, na mshahara mdogo pia watu wanafanyakaz kwa pesa tu nawala hawazipati hawafanyikaz kwamoyo. Wagonjwa wengi wafanyakaz kidogo mtu unapopata mgonjwa change changamoto km iyo kwavile umechoka unasubir mwenzio akusaidie, wakati huohuo unamsubir mwenzio mgonjwa anateketea.

    • @zuwenahassan3461
      @zuwenahassan3461 Рік тому

      Nilikua naitafuta hii comment ,hatimae nimeiona naunga mkono hoja ,100% Serekali ongezeni watendaji ,naamini sio uzembe wao na serekali inachangia.

    • @zuwenahassan3461
      @zuwenahassan3461 Рік тому

      Mheshimiwa Rais Hussein Ali Mwinyi,tunaomba ufanye kikao na madaktari pia kama ulivyofanya kikao cha walim,na wadau wa elimu.Ili kuondoa changamoto za madaktari wetu na ma nesi

  • @muuminsaid-bd6cm
    @muuminsaid-bd6cm 6 місяців тому

    Mm wamemua mjoma yangu mnazi mmoja pia na mama angu wanazarau mafala hao

  • @safiamazrui6021
    @safiamazrui6021 Рік тому +1

    Tunaomba serikali ichukuwe serious issue hii na kuweka sheria mpya kwenye mahospitali kwa kutreat wagonjwa inavyotakiwa....cause uzembe kama huu umeshatokea mara nyingi sana tuu...na wanafungiwa macho . Baadhi ya madktari na manasi wako tough sana na jeuri nyingi kwa kutowa huduma kwa wagonjwa. Tunaomba walohusika kwa tukio hili wachukuliwe hatuwa kali sana ..ili mchezo huu uwe kikomo.

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 Рік тому +2

    Mnazimmoja washenzi sana mm niliwambia nataka kupush nurse njoo majibu yao sitokaa nisahau mmbwa ao nikapush nikiwa mwenyewe km si nurse mmoja kupita njia mwanangu nninge mpoteza washenzi tu

    • @alhamod5597
      @alhamod5597 Рік тому

      Wewe ivo mm mtoto amesha toa kichwa wananambia niondoke kwenye icho kitanda niende leba weee sina ham 😢😢

    • @rahmamohamed6912
      @rahmamohamed6912 Рік тому

      We acha tu me nakumbuka mwembeladu hospital namwambia doctor najiskia kusukuma ananiambia we unajuaje akaja mtoto ashaanza kutoka kwa haraka akavaa glove mkono mmoja na pia ikabidi ampokee mtoto kwa ile ile kanga nilokua nimevaa na pia mtoto wangu akala uchafu baada wiki kadhaa tu mtoto aliumwa mpk nikasema poo

  • @coolclips619
    @coolclips619 Рік тому

    Apo hakifanywi kitu
    Wanaongea t

  • @Youngteo394
    @Youngteo394 Рік тому

    Km mm nawafukuza ma doctor wote wazembe wa zembe

  • @shafiiomarali6984
    @shafiiomarali6984 Рік тому

    Mhe shimiwa wote hawa wawajibike?

  • @mwanabarakahassanmrisho5810

    Wasimamishwe au wafukuzwe

  • @Youngteo394
    @Youngteo394 Рік тому

    Halafu ujaweza kuenda mspital ya mnazi mmoja asubuh sana wallah unarud jioni kwa madharau na kipuri cha ma doctor na km huna mwenyej mpitali iyo utakufa huku unajiona mwenyew

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому +1

    Inasikitisha sana , ndomaana watu wanaenda private wanasema et mnaz wauwaji jmn, na ukienda private alafu upewe rufaa yakwenda mnaz utakoma wauguzi wanavo kutolewa maneno. Niwajeuri balaa

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Sasa yupo kazi uyo muhudumu mpaka Leo inatakiwa akamatwe Mara moja

  • @yussufjego4817
    @yussufjego4817 Рік тому +2

    Kumamazenu hawafai kufanya kazi tena ao 😢usenge wa hali ya juu na umezoeleka hakuna hatua moja itakayochukiliw

    • @aliamour4970
      @aliamour4970 Рік тому

      Hawafai kabisa hao sio madaktari ni wanamaskani wamepitishwa tu kuja kumaliza roho za watu wafukuzwe mara moja

    • @aliamour4970
      @aliamour4970 Рік тому

      Wanaharamu mijeuri wakosa huruma hao

    • @aliamour4970
      @aliamour4970 Рік тому

      Nawewe waziri wa afya lau unngekua unapita mahospitalini kwa kushtukiza ungejionea mengi lakini munakaa maofisini mwenu kama mabwana wakubwa nchi haiongozwi hivyo

  • @zainabjuma9168
    @zainabjuma9168 Рік тому

    Ukimpeleka MZAZI wako mnazimmoja wakitoka salama wote wawili tunashukuru,na huo mango wenu wakuwaachia madaktari na wauguzi unazidi kutia. Madhaka Bora tuwe tunaruhudiwa.mimi mwanangu uzazi wa kwanza mtoto mkubwa karibia kl 5 anaachiwa asukume mwenyewe,😳 wakati mm mama ake kilo hizo siziwezi mwisho wasiku tutaogopa kuzaa hapo ndipo serekali itakapokuwa na vizee vingi kuliko VIJANA.

  • @mahamoudduchi3318
    @mahamoudduchi3318 Рік тому +1

    Dah hii Habari niliisikiliza kwa makini kwenye kipindi cha mawio mtu anaomba msaada wa doctor anakataliwa anamwaga damu mlinzi anamsaidia mama mjamzito kufika wodini hayamuhusu. Hivi Hawa wanaubanaadamu wa Aina gani kumamazao nguruwe weusi Hawa sio kusimamishwa fukuza kazi mbwa Hao waje waungane na tusio na kazi Huku mitaani halafu waiyone kazi Huku mitaani.

  • @goodluckndagile9381
    @goodluckndagile9381 Рік тому

    Hata hospital ya kigamboni mambo hayahaya, inaonekana wakunga hawana wito tena rushwa ndo kipaumbele, uwajibikaji haupo tena na nidhamu serikalini hamna.

  • @yushalforever7216
    @yushalforever7216 Рік тому

    Me mara nyingi huwa najiuliza ivi Hawa madaktari wao huwa hawaumwi? Hawazai? Au Ni kibri tu? Kwakweli serikali minatakiwa kuzifatilia kwa karibu sana hospitali. Msiwe mbele kuwaongezea mishahara tu wakati hawana UTENDAJI KAZINI. Anaestahiki kuongezwa mshahara zaid ni huyu mwalim wa maandaliz, msingi na sekondari ndie mwenye shida zaid katika kazi yake

  • @hassanmassud7198
    @hassanmassud7198 Рік тому

    Hao hawafai kufanya kazi katika wizara ya AFYA wapelekeni wizara ya kilimo

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 Рік тому

    Ndio waugizi wa mahospitali ya serekali wana dharau sana MBWA madaktari

  • @suleimanissa1019
    @suleimanissa1019 Рік тому +1

    Bora tuzalishwe na madokta wa kiume wanawake nyodo nyingi tunaumia ss kina mama wanaume kidogo wanahuruma

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 Рік тому

      Uzalishwe na dokta wa kiume wewe ni mwanamke coz jina lako ni Suleiman Issa mbona husomeki fafanua wewe ni m'ke au m'mme ?

    • @shadyaseif8685
      @shadyaseif8685 Рік тому

      Kweli ni bora wasome midwife wamaume sasa kwa wingi kwani kunatofauti gani mbona daktari wanaume wapo nawatibu wanawake

    • @shadyaseif8685
      @shadyaseif8685 Рік тому

      Wanatibiwa na wanaume

  • @salmameja-bw2kw
    @salmameja-bw2kw Рік тому

    Washenzi i tyu huna glove,umeshindwa kuwaambia wenye gonjwa basi wakanunue ,unaondoka nakujikalia kimyaa,na hali uliiona ya mgonjwa 😢aata jaman kumsaidia mwenziio mpaka serikali ikuwezeshe kwelii.hapanaa kwa kwwl timuaa mazurui

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 Рік тому

    Dr.Mwinyi oyeeh !
    Wana ccm hata damu zao hzichezi msubiri 2025 tawajuwa hapo pembeni Yahoo Hospital

  • @iddikhamis8454
    @iddikhamis8454 Рік тому

    Sio hao tu wanaokufa. Kuna watu wengi wanaokufa hapo hospital ya mnazi mmoja tena kwa uzembe. Maana nakumbuka mara 2 watu walitaka kuwaondosha wagonjwa hao ili kuwapeleka hospitali nyengine nje ya Zanzibar hatimae hawakupewa ruhusa. Kilichotokea wagonjwa wakafariki. Serikali msing'ang'anie tu mambo ambayo hamuyawezi. Hussussn matibabu bado hamjayaweza.

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 Рік тому +1

    Uhai wa kila 1 kati yetu ni muhim sana,ila ukifuatilia hasa kwa umakini hawa wahudumu wa afya wana changamoto zao tena kubwa sana,na Chanzo kikuu ni hawa viongozi wa serikal na wizara ya afya,watu hawalipwi stahiki zao miezi na miezi,shortage kubwa ya wafanyakazi,over time na mambo mengi tu,wahudum wa afya wanajitahid sana sana ila serikal ndio inawarejesha nyuma.

    • @ssdd647
      @ssdd647 Рік тому

      Kwa hiyo ndo wauweee au unaongea nini weeee ile ni roho ikitoka haipatikani ila pesa ukikosa leo utapata kesho wacha tuu niendelee kuzaa spital za private maana baadhi ya wauguzi wajinga sanaa tena nasa washenzi

    • @abdulbandidu119
      @abdulbandidu119 Рік тому

      @@ssdd647 kuna sehem hapo nimeandikia waue, ?
      Huko private unakoenda wafanyakazi ni hao hao wa mnazi 1

    • @ssdd647
      @ssdd647 Рік тому

      @@abdulbandidu119 hata km wa mmazi mmoja sikatai ila kule wanatamani human vizuri kwa sbb kile wanacho kitaka unatoa wakisema laki saba bs utatoa hiyo hiyo

    • @abdulbandidu119
      @abdulbandidu119 Рік тому

      @@ssdd647 kwan hakuna wanaokufa huko private ?
      Kifo kikiandikwa kinahitaj sababu tu,kwan wangap wanapatiwa huduma hapo mnazi 1 na hutoa pongezi na hongera,linapokuja suala la mipango ya Mungu kwa madaktari wengi wetu tumekua wepesi kuwahukumu hawa watu,ilhalo siku zote ndio wanatupambania uhai wetu

    • @ssdd647
      @ssdd647 Рік тому

      @@abdulbandidu119 hatupingi hiyo kila nafsi itaonja umauti na km tunavyo juwa kifo ni mlango bs hapana shaka ila kila kifo kina sababu zake na hata km angepata huduma inavyo stahiki km ilikuwa siku ishafika bs angekufa tuu ila tunazungumza uzembe na dharau mm mama yangu nilimpeleka hospital alikuwa anaumwa na jicho ila alikuwa anaumwa kabisa bs wallah doctor anamwambia kwa ukali hemu nyanyua uso juu unajidekeza tuu kiukweli roho iliniuma nilitamani nimvamie bikabaki nalia tuuu kikubwa nikasema alhamdulillah na tukaomba tranfaa tukenda dar

  • @salmameja-bw2kw
    @salmameja-bw2kw Рік тому

    Ndio watuuwe kwa sababu ya changamoto ya serikali,ile kazi yao n wito,kila sehemu ya kazi ina changamoto zake hakuna sehemu ,

  • @didamani1419
    @didamani1419 Рік тому

    Yko mengi mengii mnazi mmoj sehem ya wazazii pamoj na muembe ladu hatari

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby1710 Рік тому

    Ile hosptal inaitwa nenda ufe ety nililazwa nikamshuhudia mtu anakufa ety kisa kaja pale kalazwa Hana ndugu wakumsimamia madocter wabaya sn hasa waserekali ttzo nnchi hii inatawala zulma

  • @suleimanissa1019
    @suleimanissa1019 Рік тому

    Hospital sote ndo hivyo hivyo wanasisitiza muzalie hospital lķn mambo yao ndo hivyo mie nilienda kujifunguwa sptal ya muembe radu sisahau maneno yao wanayotoa na kunikalipia hawana ruha nzur kabsa

  • @hijrafarid1593
    @hijrafarid1593 Рік тому

    Wamezowea hao ujeuri ndo kazi yao wajinga sana sio tuu kusimamishwa mheshimiwa mazrui fukuza kabisa

  • @mwalimumuhidini1544
    @mwalimumuhidini1544 Рік тому

    Nilishangaa Kama sikosei mwaka Jana au juzi katika maadhimisho ya siku ya wazazi mmoja Kati ya madokta alishukuru kwa mwaka huo wamefariki wazazi Mia tatu na kitu tu yaani Kila siku alifariki mzazi uzembe uzembe uzembe😂😂😂😂😂😂

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb Рік тому

    Mheshimiwa nasor mazurui ni vema huyu mtu kumpa fidia na kufanywa jambo la kumbukumbuku ya tukio hili

  • @tayt4086
    @tayt4086 Рік тому

    Tatzo lenu la siasa linatiweka pabaya secta ya afya znz, wapisheni wasomi waongozee siasa weken kweny vikao vya karata

  • @floraaidan7201
    @floraaidan7201 Рік тому

    Jamani wauguzi punguzeni maringo kazini watu tunanyanyasika sana hospital afukuzwe na afungwe maisha

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb Рік тому

    Mheshimiwa nassor mazurui nafikiri ni halki yake kulipwa fidia na serikali hailingani lakini at least muoneshe something au kuwasomesha watoto wake kama wapo ni unyama mkubwa umefanyika hapo

  • @yesibob3742
    @yesibob3742 Рік тому

    Ndomana inapewa majina mabaya,mnazi mmoja. sababu ya watu kama hawa.,serekali ,seria msumeno.

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 Рік тому

    Huko hakuna madokta ni wanamaskani waliopewa kazi bila kusomea kazi yenyewe ndio mulivotaka yatawadhuru wenyewe

  • @jumajuma3337
    @jumajuma3337 Рік тому

    wagonjwa wengi wahudumu ni wachache

  • @madamaisha1641
    @madamaisha1641 Рік тому

    Na hospital ya kivunge wakachunguzwe zinatokea kesi kama hizo, wajeuri sana.hawana imani ukienda kujifungua hususani kwa operation,wakimaliza tu kukufanyia wanakuzarau mpaka bsi

  • @suleimanissa1019
    @suleimanissa1019 Рік тому

    Wengine unaogopa kupeba mimba kwa ruha za madokta unaenda hospital unaumwa na uchungu hawapokei mikoba yako wakaweka sehemu inayostahik wanakwambia ubebe mwenyewe wakati uchungu umekushika ukienda kuchekiwa mpira utandike mwenyewe wakat mtu hajiwez kila mtu na uchungu wake tunatufanya kama wafungwa wakweli sisahau

    • @rahmamohamed6912
      @rahmamohamed6912 Рік тому

      Mwenzangu kweli mm tangu nilipozaa mwanangu wa pili mpk leo mwaka wa 13 saivi sina ata ham kwa uzembe wao na dharau zao

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 Рік тому

    Iyo spitli bora upelekwe kaburini unapoa kuliko apoo

  • @chambiboy5586
    @chambiboy5586 Рік тому

    Wanaringa sana awo wanajiona wao ndo wao wazembe sana wafukuzwe kazi asa awo maana hawafai kwa jamii wanatoka makwao ilimdara waonekane kuwa wanaenda hospital ila washenzi sana wakifika wachezee simu ifike mda w kula wakale bas inasikitisha kwa kweli me jana nimesikiliz taarifa kwenye redio kuwa securty ndo alomsaidia uyo mama kuingia ndan anafika ndan dactari anamwambia securty iyo ndo kazi yako ndo nn wanafanya eti sio haki kwa kweli na mungu atawalipa awo maana kifo wamesababisha wao

  • @idrissajaku282
    @idrissajaku282 Рік тому

    Mbona kawaida kwaapo mnazimoja.kaziyao kuangalia tv tu

  • @jumajuma3337
    @jumajuma3337 Рік тому

    sawa lakini tukumbuke pia kuana qalar

  • @fauziyaomar7090
    @fauziyaomar7090 Рік тому

    Sawasawa

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln Рік тому

    Tatizo kubwa madokta wanaofanya kazi spitali za Serikali asilimia wote wanadharau.. sekta ambayo haitaki masihara na dharau ni sekta ya afya

  • @noffalsalim
    @noffalsalim Рік тому

    Sisi hatuna hospital ,tuna mabanda tu .xaiv hatuna maodoctor dharau tele.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому +1

      Ndiyo maana wenzetu wahindi wanaenda nje ya nchi awataki tharau za kipumbafu

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Рік тому

    Hamna uwezo loloteeee mmeoza haswaa, shez

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 Рік тому

    Sad sad news machozi yananitoka sina la kusema.mmungu ampe subira mume msiba mkubwa sanaaaa. Naaaaaaammmmmmmmmm.hatua zi hukukiwe.

  • @BestBest-rx3sb
    @BestBest-rx3sb Рік тому

    Mheshimiwa nassor mazurui nafikiri ni halki yake kulipwa fidia na serikali hailingani lakini at least muoneshe something au kuwasomesha watoto wake kama wapo ni unyama mkubwa umefanyika hapo

  • @yushalforever7216
    @yushalforever7216 Рік тому

    Mnazi mmoja sio peke yao. Takriban ni Hospitali zote za serikali ya Mapinduzi kuna baadhi ya madaktari wana viburi. Baya zaidi majukumu yao wanawaachia ma Odal na huyo odal na yeye anajiona ndio daktari bingwa na yeye jeuri. Mimi yalinifika chake chake hospital. Nusura nijifungue mlangoni . Kila nikiingia labour wananiambia bado kafanye zoezi. Tena anaeniambia hivyo ni odal

    • @salemkambuteh1409
      @salemkambuteh1409 Рік тому

      Naomba nisaidie jina la odal Kama hutojali

    • @yushalforever7216
      @yushalforever7216 Рік тому

      ​@@salemkambuteh1409 haina haja tena maana inakaribia miaka 4 sasa, since 2019. Me nilitaka kumshtaki ila nimeona haina haja Allah yupo

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 Рік тому

    Nahawo hafukuzwimtu yatangeuzwahayo kazizao kufichiana maovu kutatengenezwa repot yauwongo itolewe weye waziri hilosuwala ulishulikie uhakikishe wanafukuzwakazi iliwapate kunjifuza nakuajibika kwenye kazizao mana wanajeuri vibaya hiyo spitall i wanaifanya kama njengo la babazao

    • @shadyaseif8685
      @shadyaseif8685 Рік тому

      Kweli hawafai kuitwa wauguzi wamepoteza sifa za Yule muuguzi wa mwanzo Bibi .......

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb Рік тому

    Huu ni uuaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ama ingelikua ni nchi za wenye utu hawa na wauwaji hukumu yao inaamuliwa mahakamani bila pendeleo ni nani au ni mtoto wanani tufanye kazi kwa uaminifu na sifa zote

    • @himidmkuya7381
      @himidmkuya7381 Рік тому

      hawa madokta wa mnazi mmoja baadhi maringo mengi hii sio marayao ya kwanza watuu wanawaonea muhalituu

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 Рік тому

    Wasomi hawapewi kazi , wanapewa kazi wajinga kama hao kwa sababu eti ccm na bado

    • @zuwenahassan3461
      @zuwenahassan3461 Рік тому

      Hata wasomi wakipewa kazi wakikuta kazi overloaded watakua wakali pia .

  • @abshirkhamis9038
    @abshirkhamis9038 Рік тому

    Wizara Zote zinazoongozwa na ACT, ndivo zilivo hivo. Mnashindwa kuongoza wizara mbili tu mje muweze kuongoza Nchi?

    • @ssdd647
      @ssdd647 Рік тому

      Subhana llah wewe mjinga tena mjinga sanaa wala hujielewi maskini uko kwenye siasa tuu haya twambie uo unyama umeanza leo hapo mnazi mmoja nakuonea huruma

    • @khamisjuma2947
      @khamisjuma2947 Рік тому

      Nyie ccm mpo mwaka wa sitini huu hata barabara pemba hamjajenga hata moja zaidi ya chuki na ujinga mlionao

    • @khamisjuma2947
      @khamisjuma2947 Рік тому

      Hiyo ni ile mijitu mipumbavu iloajiriwa enzi zilee za kile kibabu cha mafumbo

    • @ssdd647
      @ssdd647 Рік тому

      @@khamisjuma2947 wallah kwan barabara tuu hatujaona chamaana hata kimoja labda njaaa