KISA CHA MAITI ILIVYOGOMA KUELEKEZWA QIBLA WAKATI WAKUZIKWA | SHEIKH HASHIM RUSAGANYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq Рік тому +8

    SHUKRAN SANA 🙏 YAA RAHMAN TUJAALIE TUSIMAMISHE SWALA MPAKA MAUTI YETU AMIIN 🤲 TUJAALIE MWISHO MWEMA WA MAUTI AMIIN

  • @ffed1876
    @ffed1876 Рік тому +5

    Mola atupe khusnil khatima atunusuru na adhabu za kaburini na atujaalie tuwe watu wema kwa kufanya ibada Ameen shukran sheikh kwa ukumbusho.

  • @TimzTimm
    @TimzTimm Рік тому +2

    Pamoja sheikh rusaganya

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +4

    Hii ni mtihali yarabu mungu atunusuru na shida hizo siku ya kiama ni mtihani na siku ya kufaa na kaburi ni yauwalah😮

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 Рік тому +3

    Mwenyezi Mungu akuzidishie umri kwa mawaidha mazitoo yenye kuhutaji mazingatio.Allah atuongoze katika kufanya swala zetu kwa mazingatio .

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Рік тому +3

    Allahu Akbar,ya rabi tunusuru waja wako

  • @AaSs-sn8fc
    @AaSs-sn8fc Рік тому +3

    Shukran sheikh Allah atuepushe na adhabu za kabri Inshaallah

  • @mariamhamisi3909
    @mariamhamisi3909 Рік тому +3

    Allah atujaaalie husuniiiil khaaatima

  • @SalmaSalumu-kp1zw
    @SalmaSalumu-kp1zw Рік тому +2

    Innallilah wainnailaihi raji una

  • @AliSalimu-o3y
    @AliSalimu-o3y Рік тому +2

    Allah atuhifadh

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 Рік тому +3

    Yarby mwenyexi mungu tuongoze kwenye swala na utupe mwisho mwema

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 5 місяців тому

    Asante kwa ukumbusho,nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @fatumakissoky2504
    @fatumakissoky2504 Рік тому +2

    SUBHANALLAH

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 Рік тому +3

    Insha'Allah mungu atuongoze kwa kila jema ,aitikie swala zetu na dua zetu, atujalie Maisha mema na mwisho mwema, Amiin

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 Рік тому +3

    Tupe mwisho mwema Yaa Allah

  • @jamilaaljabry8325
    @jamilaaljabry8325 8 місяців тому

    Alla atupe.mwisho mwema.

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 Рік тому +2

    Yaarabi tupe mwisho mwema

  • @AliSalimu-o3y
    @AliSalimu-o3y Рік тому +1

    😂😂😂

  • @PaulWanjigiAlpineHighSchool
    @PaulWanjigiAlpineHighSchool 6 місяців тому +1

    Mafunnzo yak onion mazuri