Wallah roho yaniuma sana kuona wenzetu wapo katika mitihani waliyo pewa na Allah ila naumia zaid kuona wanao tupa chakula subhanallah naumia sana naomba tujitaidi kuwakumbuka walio chini yetu Inshallah
Maa Shaa Allah Alfattah Mwenyez Mungu anawaona na In Shaa Allah Mwenyez Mungu akulpen kla la kheikh nyny munafanya jambo kubwa kutokana na mazngra 2lionayo
Masha Allah Masha Allah tabaraka Allah. ALLAHU AKBAR . ALHAMDULILLAH. Hali ya ndugu zetu inasikitisha Wallahi! ALLAH AWAPE UJIRA MZITO HAPA DUNIANI NA NA KESHO AKHERA KWA REHMA ZAKE YA RABBI. #ALFATAH
Allah awajalie watokee wadhamin wasaidie kujenga nyumba zao au tunauomba uongozi wa al fatah uwahudumikie kuwajengea nyumba zao hao wezee wetu wasio jiweza hasanten sana allah akulipen kila lenye kher
Subhanallah sehem kama hiz ndio za kusaidia sio unapita mjini wakati vyakula vinamwagwa saa 11 au zaid mtu hajajua atakula nn inauma sana ikiwa ww ikifika saa 10 kushamaliza kupika futar zote ulozikusudia kumbe wenzetu mpaka usiku unaingia hajajua nini atakula wallah namuomba Allah awape nguvu awatilie barka na ham ya kutoa wale wote wanaokusudia kufanikisha jambo hili wanaochangia kwa hali yyt ile ikiwa muislamu anapata furaha kwa kumsaidia chakula ndani ya mwenzi wa ramadhani sijui ww allah kakuandalia furaha gani siku ya mwisho tutoweni hata shiling 100 kuwasaidia wenzetu Allah atufanyie wepesi
Ninalowaomba tusimaliziet tu comment ikawa imetosha tuchangieni chochote mtu alichonacho kuipa nguvu Alfattah. Waislamu tujue matajir wengi wao husaidia mijini kwa mambo mbali mbali ila sehem kama hizo kufika kwao ni ngumu sana mm nikuombe tu kama ukikusudia kutoa kuchangi tafadhli ukiiona tu tekeleza uksema nitatoa baadae unaweza ukasahau au ukapuuza Allah atufanyie wepes
Wallah Mungu niepushe nisije kukufuru kwani bd hujanifikisha maisha hayo jmn kuna Waislam wenzetu wanaishi maisha Magumu Eee Mola wangu tunakushukuru waja wako
Wallah roho yaniuma sana kuona wenzetu wapo katika mitihani waliyo pewa na Allah ila naumia zaid kuona wanao tupa chakula subhanallah naumia sana naomba tujitaidi kuwakumbuka walio chini yetu Inshallah
Mashallah mashallah fatabarakallah Allah awalipeni na wazidishien zaidi yahayo mnaotende kwa sadaka
Al fatah mungu awafanyie wepesi ktk ugawaji wa riski hizo
Mungu ni mwema jmn mungu atawalipa malipo makumbwa inshallah
Maa Shaa Allah Alfattah Mwenyez Mungu anawaona na In Shaa Allah Mwenyez Mungu akulpen kla la kheikh nyny munafanya jambo kubwa kutokana na mazngra 2lionayo
Masha Allah Mwenyezi MUNGU akujalie Kheri nyingi aheikh Salim (HUD HUD)
😢😢😢😢allah awape maisha mema baada ya dhiki hiki ya duniani
Allah awatie nguvu shekhe Rashi Na Alfatah kwa Ujumla
Subhannah llah mungu awazidishie. wallah wana mitihani migumu lakini mola atawasahilishia.Allah kareem
Ma shaa Allah barakalahu ....SubhanaaAllah walahy mtu hajala nyama for 6 years Ama kweli tusisahau neemah tulionayo.... may Allah reward you Alfatah
Masha Allah Masha Allah tabaraka Allah.
ALLAHU AKBAR .
ALHAMDULILLAH.
Hali ya ndugu zetu inasikitisha Wallahi!
ALLAH AWAPE UJIRA MZITO HAPA DUNIANI NA NA KESHO AKHERA KWA REHMA ZAKE YA RABBI. #ALFATAH
Mwenyenzi mungu awabarili sana tena mno
Subhanallah mashallah allah awalipee kwa mulicho kitowaa
subhanallah mpk saa 11 znbr haipatikan kula. afu serikali inajigamba
😭😭😓alhamdulilah Ramzan qareem Allah awap nguvu
Subhanallah mpka chozii
Dah! Nimeipenda hii mwenyezi mungu awazidishie inshaallah.
Mwenyezi mungu,,,awaongezee zaidi insha Allah
allah awajalie awape nguvu zaid muwe namoyo muweze kuwasaidia weng zaid Inshaallah Amina Amina
Jamani wapi hii allah awafanyie wepesi
Nimejisikia furah sana km mwislam kuona waislm wenzangu wanapata futari.Allah nijalie na mm siku moja niweze kusaidia jamii
Masha Allah
jazakallahu kheir my Muslim members kwa kuwasaidia waislam wenzetu in shaa Allah Mungu awape neema zaidi na kuwafanyia wepesi katika shughli zenu
Duh jamani Mungu mkubwa habana aaestahik kuabudiwa ispokua yeye Allah subhanawwataala Roho inaumaaa wallah Allah atuwezeshe na sisi tuweze kutoa
Amiiin YAARABB
Mashalha mwenyezimungu awazidishie kila lakher
Amini inshaalha
Maishallay mungu awajalie awape kila laheri popote mlipo
Mashaallah.barak llah fiq mwenyezimung awalipen fiidunia waliaghera inshaallah
Amiin Amiin Amiin Allahumma Amiin Allah atawalipeni ujira ulio mwema
Yani inahuzunisha nimecomment huku nimstopisha video
Maashaallah
Hadi huruma Allah awaongoze nyote mliochangia
Kweli allah awafanyie wepesi ndugu zetu wa kiislam
Mashaallah Allah Barikfii
Mungu akulipeni heri innshaallah
Allah azidi kuwafanyia wepesi kwenye hili
Mashaallah mashaallah mungu awazidishie iman. 😂😗
MashaAllah
Mashaallah kila lakheri
Mashaallah mwenyezimungu awalipe kwa hili
Ngongereni ila sio vizuri kuwa mwirika kamera kam mwawazalilisha cjapenda
Maa shaa Allah
Allah awajaalie kila la kheir Al fatah
Mungu awalipe zaidi ya cha mlichotoa,,
Masha Allah ❤️❤️❤️may Allah help you lot for helping these people 🙏🙏🙏
Mashaallah mungu awalipe kheir wakichafua na wasambazaji pia 👐👐
Allah ndio mlipaji
Mungu awabariki
Marshall mungu awabark
Mashallah
Allah awajalie watokee wadhamin wasaidie kujenga nyumba zao au tunauomba uongozi wa al fatah uwahudumikie kuwajengea nyumba zao hao wezee wetu wasio jiweza hasanten sana allah akulipen kila lenye kher
allah akubarikeni alfatah
Jazakalkher mubarikiwe inshaallah 🙏 🙏 🙏
Mungu awazidi kuwabariki
Subhanallah sehem kama hiz ndio za kusaidia sio unapita mjini wakati vyakula vinamwagwa saa 11 au zaid mtu hajajua atakula nn inauma sana ikiwa ww ikifika saa 10 kushamaliza kupika futar zote ulozikusudia kumbe wenzetu mpaka usiku unaingia hajajua nini atakula wallah namuomba Allah awape nguvu awatilie barka na ham ya kutoa wale wote wanaokusudia kufanikisha jambo hili wanaochangia kwa hali yyt ile ikiwa muislamu anapata furaha kwa kumsaidia chakula ndani ya mwenzi wa ramadhani sijui ww allah kakuandalia furaha gani siku ya mwisho tutoweni hata shiling 100 kuwasaidia wenzetu Allah atufanyie wepesi
Haji Khamis mashallah ni kwel kabisa
kweli dah nataman nikatembe tu jaman huku mjini watu wana sema znzbr hakuna anaelala na njaa leo hii kumbe watu wanalala najaa dah Allah akbar😢
Mashallah Allah awalipe
Mashallah Allah awalipeni
Great
Alfatah mungu awape imani hata miezi mingine
Subuhanallah Allah awazidishie imani
Allahumma amiin
Mashaallah
Hawa jamaa mimi nawakubali sana ALLAH awwaepushe na ria
jazzakallahu kheir Allah awalipee ujira wenu watu wanaali ngumu jamaniii
maashallah Ya Allah walipe ujira ulo mwemaaa
Allah namm nijalie uwezo niweze kusaidia amiin
ALLAH awazidishie insha allah
😭jmni kutoa ni moyo mungu atujalie niwenye kukunjua mikono yetu
Mungu awabarikie mzidi kusaidia wengi
Mashaa-Allah🙏🏾
mungu awajaalishe
Maashaa Allah.
Hakika tunapata mazingatio makubw.
Inshaaallah Allah awazidishie na apokee dyua zenu
Maa shaa Allah Allah atakulipeni hivi ndio inavotakiwa na krb n ckukuu pia msiwasahau na cjui shamba gni hii?
Daar jaman mungu awabaraki
Allah awalipeni kher nyt mliojitolea ktk kuwasaidia wanyonge
Masha Allah, Allah awalipe kheri
mwenyezi mungu awaripe mazuri nimimi namuomba anipe kipato namimi niweze kutoa sadaka kama hii
Na pia haijakatazwa kutowa ukaonekana unawaamsha na wengine waliokuwa hawatowi na pia hawa waliona wakalia wangejuwaje na zaidi inatutia hamu na sisi
Allah wajalie kila lenye kheri
Ninalowaomba tusimaliziet tu comment ikawa imetosha tuchangieni chochote mtu alichonacho kuipa nguvu Alfattah. Waislamu tujue matajir wengi wao husaidia mijini kwa mambo mbali mbali ila sehem kama hizo kufika kwao ni ngumu sana mm nikuombe tu kama ukikusudia kutoa kuchangi tafadhli ukiiona tu tekeleza uksema nitatoa baadae unaweza ukasahau au ukapuuza Allah atufanyie wepes
Lakini isiwe nyakati ya ramadhani tu kila wakati tuwaangalia
Nawewe pia siku ambazo sio za ramadhan
Mbarikiwe sana
Ameen yarab
Allah awazishie kila la kheri.
Mashaallah mungu awazidishie lkn unapotoa hutakiwi kutangaza
Hiyo kutangaza ni vizuti ajuwe mtowaji wapi sadaka inapelekwa
ALLAH AWAPE IKHLAAS AWATAQABALIE NI IBADA KUBWA MWAIFANYA
Mashaaallaaah
Allah awape said inshallah
MAASHAALLAH
Mashallah waislam
Ah ! Hii Zanzibar kweli hii
Dah! Allahu Akbar hii sijapata kuona
Inshaallah
Mungu abarik
Wallah Mungu niepushe nisije kukufuru kwani bd hujanifikisha maisha hayo jmn kuna Waislam wenzetu wanaishi maisha Magumu Eee Mola wangu tunakushukuru waja wako
Amin
Allaah SW akulipeni Kila la kheri Al.fatah
Jaman so sad 😩😫yarrab wazidishie iman walotoa hii sadaq Allah awap iman zaid n zaid, wallah ningekuw napesa ningetoa 😳😳
Kuna watu wanaftari mpaka wanamwaga kumbe kunawenzetu hawajui ht nini wataftari Alhamdulillah Allah kareem
Mashaallah paka machozi Yamenitoka Kwakweli roho zinauma
Pole hata mimi nimejikuta nalia tu
Alhamdullah
Kazi mzuri Allah awakubalie watoaji
Mungu atawalipa
SubhuanaAllah
Mungu awzidihie kila lakheli
mwenyezi mungu awaongezee
Subuhannallah,maashallah
Waliochangia kheir kubwa awalipe allah
Baraka Allahu lakum waamalikum
In sha Allah Allha barik