KIJANA ALIYETUMWA KUISOMEA FAMILIA AONDOE UMASIKINI NYUMBANI KWAO, ALIANZA NA GARI LA MKONONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Mujitaba Yusuph ni kijana wa miaka 29, akiwa ndie kijana wa kwanza kwao, mwaka 2011 alifanikiwa kuhitimu kitato cha 6 akiwa na ufaulu wa alama za juu, Kwa kuwa anatoka familia maskini ilibidi kikae kikao cha familia kuamua nani aendelee na masomo kati yake na Wadogo zake akiwa UDOM aliishi maisha ya kujibana akijua anadeni ametumwa kuisomea familia alihitimu Ualimu kwa miaka mitatu bila kupata ajira akaja na wazo la kununua gari la mkononi ili aliuze kwa faida

КОМЕНТАРІ • 326