RIPOTI YA LEO RADHIA VOLUME 05

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 140

  • @SarahDavid-y6y
    @SarahDavid-y6y 3 місяці тому +1

    Daaah yaani hii story imeniumiza sana Mungu amsaidie na kumtia nguvu

  • @crownprince399
    @crownprince399 Рік тому +5

    Pole sana Radhia lakini yupo Yesu awesaye kuponya magojwa yote kwa imani 2🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @tedymanyama9785
    @tedymanyama9785 Рік тому +5

    Dah,😓 pole dada radhia wanaume c wenzetu kwenye maisha yetu lakn mungu atakulipia👏🏾

  • @magiekinda9685
    @magiekinda9685 Рік тому +4

    Mwanaume kaumia kwasababu ni mwaminifu. Pakiwa na tatizo Mungu ndye msaidizi pekee haimanishi pana tatizo pesa au nn hakuna ndo tufanye machukizo mbele za Mungu. Ladhia kupata matatizo ni pale alipo ona Mungu awezi bali mwanadamu anaweza. Mungu uwondoa mkono wa ulizi kwako

  • @BabaTheo
    @BabaTheo Рік тому +8

    Mungu awatangulie Wanawake wote hakika wanapitia kwenye changamoto sanaaa
    Jinsia hii ya kike bado usalama wao ni mdogo kweny hii dunia
    Mpende mwanao na kumjali sanaa mpende mkeo na kumfundisha njia za Mungu na Mjali sanaa kwani wanapitia changamoto kwaajili ya sisi wanaume japokuwa watendaji ndo sisi lakini ukibahatika kutembea na mwanamke basi usimtese Mwonee huruma.

  • @totooz5853
    @totooz5853 Рік тому +4

    Pole sana Radhia..siwezi kukulaum ulifanya hvyo kwa upndo na ulitizama sana familia yko ila ndo hvyo waume sio waelewa...hpo ingekua ni yye anamaradhi naimani wwe ungemsamee na mukafata ushaur wa doctor na ndoa yenu ikaendelea bila wwe kuambukizwa.. it soo sad🇰🇪🇰🇪

  • @neemasamson314
    @neemasamson314 Рік тому +5

    Pole sana dada radhia kuna wakati huwa tunakosea katika maisha pia tunajifunza kutokana na makosa tuliyoyafanya usikate tamaa

  • @MightyLumber
    @MightyLumber Рік тому +9

    Kisa cha Dada Radhia kwa kweli ni fundisho si kwa wanawake tu hata kwetu wanaume pia. Kwa kiasi kikubwa ufukara na mapenzi dhidi ya mumewe ndiyo yalichangia Radhia kufikia hapa. Kina dada ni hivi, kama mko kwenye mahusiano msijaribu kucheat waume zenu kwani mwanamme hata mpendane vipi akijua tu ulimcheat ni vigumu sana kuishi tena na wewe. Sisi wanaume ndivyo tulivyo, hatupendi ku share wake zetu na wanaume wengine. It’s sad but ni reality!

    • @samyjoseph2732
      @samyjoseph2732 Рік тому

      Tamaa na huruma shida nazo zinasababisha matatzo yote hayo Mungu atusaidie

  • @zeramohamed9672
    @zeramohamed9672 Рік тому +3

    Pole sana radhia kwKweli sisi wanawakehuwa ndio tunapata sana matatizoyaani hiyo sehemu angekuwa yy mwanaumwewe hundred umgemsamehe

  • @vanilamushi5070
    @vanilamushi5070 Рік тому +3

    Pole sana rathia yaan imeniuzunisha sana huyo baba Mungu atamuathibu nimejifunza

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 Рік тому +2

    Labda yangetokea mabaya zaidi ya halo kwa sababu sio mpango wa Mungu. Pole sana dear

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar Рік тому +1

    Kweli wewe dada inataka ujasri mbona mungu anaona kilakitu mtegemee yeye tubu muombe ukozi wake 😢😢😢pole sana

  • @MonicaWilliam-ek2wm
    @MonicaWilliam-ek2wm Рік тому +3

    Duh,pole dada radhia mungu akupe wepesi kwenye moyo wako usamehe na uendelee na maisha yako

  • @asiliaalphoncelufyagile7453
    @asiliaalphoncelufyagile7453 9 місяців тому

    Veronica pole na kazi! Dodoma EFM haipatikani kabisa redioni, Kuna tatizo gani maana simulizi hatupati

  • @tumpeernest9690
    @tumpeernest9690 Рік тому +3

    mwanasaikolojia atakua aunt sadaka

  • @jacobmwasha1500
    @jacobmwasha1500 Рік тому

    Ziko njia mbili za kutatua tatizo, ipo njia ya kimungu na ipo njia ya kishetani. Njia ya radhia haikuwa njia njema na mwisho wake umekuwa mbaya. Mungu huchelewa kujibu lakin majibu yake huja kwa haki na amani tele. Ila njia za shetani ni fupi na za majuto sana. Kesi kama hizo zipo nyingi na zinatokea sana na watu wengine hufungwa kabisa lakini mwisho wa siku ukweli hujulikana kwa uwezo wa Mungu na haki huja kutendeka. Radhia alikosa subra na hakumtegemea Mungu katika tatizo Lake.

  • @jockbirdjustine5435
    @jockbirdjustine5435 Рік тому +2

    Pole sana bibie. Kweli kuna wakati ubinafsi husaidia sana.

  • @jojotanzan609
    @jojotanzan609 Рік тому +2

    Asante sana Da Vero tunaendelea kujifunza kupitia wewe Mungu akubariki

  • @williammushi4674
    @williammushi4674 Рік тому +1

    Asante dada vero aisee radhia kapitia maisha magumu sana INATUPA MAFUNDISHO mc safari apa the BIGGER mc in town

  • @scholasticamasanja2694
    @scholasticamasanja2694 Рік тому +1

    Vero hii report ya leo ya Radhia nimeshindwa kuimalizia nimesikiliza J'3 na J4 tu maana nimepata maumivu makali sana rohoni kiasi cha kuona wanawake ktk hii dunia tuna mahangaiko sana mume wgu ndie alieisikiliza yote na kunisimulia kwa ufupi. Naamini huyo shetani ndie aliepanga mipango yote ya kumuharibia mumewe kazi ili aweze kutimiza uovu alioukusudia na huyo rafiki wa Radhia allpomlazimisha kutoa no ya cm kwa huyo mzee alipo lipa bill supermarket nahisi ni mchongo tu yeye alikuwa anajuana nae kabla alitaka kuwakutanisha kiaina. Mungu aturehemu sisi na dunia nzima na km ni laana huyo baba itamtafuna yeye na kizazi chake maskini uzao wake utateseka kwa ajili ya uovu wake.😭😭😭

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 Рік тому +1

    Pole Radhia sana. Mungu auponye moyo wako mpendwa

  • @FloraMjalifu-zj8dr
    @FloraMjalifu-zj8dr Рік тому

    Nimejifunza kitu kiukweli Asanteee kwa simulizi nzuri ila uku mtwara atukupati jmn

  • @samyjoseph2732
    @samyjoseph2732 Рік тому +1

    Pole sana Dada Mungu akutunze.

  • @burudikotv1953
    @burudikotv1953 Рік тому +3

    Wanaume wengine machoko tyu bora angemuacha akafia gerezani tyu

  • @bellahtyson2896
    @bellahtyson2896 Рік тому

    Daah yaani hiki kisa kinanikumbusha ule wimbo wa Bahati Bukuku dunia haina huruma,yaani bora ungeacha tu mumeo afungwe,pole sana tunajifunza kutokana na makosa

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 Рік тому

    Huyu baba ni mchawi tena sana pesa zake zinamfanya nawaumiza mama zake dada zake watt wake na anaiyua nchi lakini mungu halali

  • @omarfauz1877
    @omarfauz1877 Рік тому

    Hongera na pole kwa radhia ila alikuwa mumewe hakumtendea haki ila mungu atamliia dada radhia

  • @sophiebanga9533
    @sophiebanga9533 Рік тому +2

    Dada Radhia usijiuku saana wewe ulimpenda uyo mume wako kwa Tati ila yeye akukupendaka kwa tati angelikupendaka kwa kweli amekusaame.nakumbuka simulizi nyingine imepita apa mke alifukwa kupitiya mchepukowake kutumiya adress yake akatuma madawa za kulevya akafungwa miaka nafikiri 12 ao 18 alakini Mme wake akuwayi kumuacha sasa wewe ulijitowa alakini akukusiliza ata kidogo basi akukupendaga uyu songa na maisha yako

  • @francymutua7022
    @francymutua7022 Рік тому +2

    Omba mungu tu akuponye tu kiroho Radhia

  • @BabaTheo
    @BabaTheo Рік тому +8

    Tunateseka sanaa kwa wale tuliowapenda 😭😭😭😭

  • @dullahmuumba7959
    @dullahmuumba7959 Рік тому

    Hao ndio.wanaumee Unajitoaa sana kwajilii yao na Kwaupendo lakinii.Hawathaminii mwisho wake unakuaa mbayaa Allah Katupaa Mtihani sana Sisi wanawakee😢

  • @TeddyFidelis-cm4li
    @TeddyFidelis-cm4li Рік тому

    Daaah!!simuliz imenitoa machozi nimeumia sn pole sn dada

  • @teddysisty320
    @teddysisty320 Рік тому +1

    Mm ndiyo maana sitakagi kufanya huruma yeyote angafungwa tu

  • @geradinavitales6974
    @geradinavitales6974 Рік тому +1

    😢pole sana radhia mungu akutie nguvu uamke tena

  • @SpeniaNicolaus
    @SpeniaNicolaus Рік тому

    Pole radhia mungu Yu pamoja now

  • @fatimahasin2041
    @fatimahasin2041 Рік тому +2

    Nikweli ktk maisha km yametokea kubali yametokea solution nikukubali tu

  • @alisipetro4152
    @alisipetro4152 Рік тому +2

    Dhaa simrizi imekua fupi ira inasisimua jamani pore sana Dada radhia 😰😰

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому +1

    pole sana radhia .Mungu akupe faraja..

  • @vumi8371
    @vumi8371 Рік тому +3

    Dhaa maisha haya pole sana razia 😢

  • @MightyLumber
    @MightyLumber Рік тому +2

    Ndiyo maana watu wanasema usipapatikie madada wa mjini haswa hawa wa bongo movie na fleva sababu wengi wao hawako salama kiafya!

  • @YuzoYuzo-yi4zj
    @YuzoYuzo-yi4zj Рік тому

    Leo wa kwanz mim jamani asante san veronika nakupend 😘😘😘😘

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому +3

    Mwanaume at umtolee figo elewa tu iyo figo yako ataenda kuitumia na mwanamke mwingine na atakuacha ukilia..Naamini ulijitoa muhanga ili mumeo asifugwe ingawa ulitenda sivyo ni kwa ajili ya upendo kwa mumeo..binafsi siwezi kuweka lean maisha yangu kwa ajili ya mwanaume.. Acha tu nitafte rial lkn kitu ndoa kiniache kwanza.napenda furaha idumu moyoni mwangu ...wengi wao ni mabomu ya machozi..

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 Рік тому

      Kabisa mmy upo nch gn 😅yaan unapat mwanamme matatizo yake yoote anakutulia ww jmn daa Bora niwe single tuu nimechoka kulalamikiw mmi Kila iitwapo leo😢

    • @christophergeorge5490
      @christophergeorge5490 Рік тому +1

      @@asmahassan5661 sio mwanaume tuu mbona na nyie Wanawake ni wale wale yaani ishu apo ni ku risk maisha yako KWAAJILI ya mpenzi wako haijalishi mke au mume ila huwa ina matokeo Kama hayo inawezekana Kuna mwanaume ali risk maisha yake KWAAJILI ya mwanamke yaka Mpata Kama hayo acheni chuki zenu bana

    • @bellahtyson2896
      @bellahtyson2896 Рік тому

      @@christophergeorge5490 ni mwanaume gani ambaye angeweza kurisk hayo kwa ajili ya mkewe?? Wanaume huwa ni wabinafsi sana,hapo mwanaume angeathirika angeomba msamaha na mambo yaendelee kama zamani na tulivyo na roho za huruma tunakubali. Ila binafsi nisingeweza kufanya alivyofanya radhia(kuliwa jicho) sema ndo hivyo maji yakishamwagika hayazoleki

    • @christophergeorge5490
      @christophergeorge5490 Рік тому

      @@bellahtyson2896 Mbinafsi labda ni huyo mwana ume ulie kutana nae wewe ila wanaume wote hatupo hivyo kumbuka Kama unafuatilia simulizi za da vero utakuwa unakumbuka story ya yule mwanamke ali m shawishi mmewe awe na mahusiano na mzungu ili tuu wapate pesa mwisho wa siku wakaenda USA na walikuwa wanadanganya kwamba ni kaka na dada mwisho wa siku mme wake alikuja kuuwawa huko huko marekani Kama unakumbuka hiyo story ya huyo dada wa kigoma ndo uone some times wanaume tuna risk maisha kisa wanawake

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому

    Daaa🙆pole Sanaa Radhia😢hira uyo mzee kwaizo Azabu Anazowapatia Watoto wawanaume wezake Akika roho yake itachomoka Uku Akiwa Anatapatapa kama 🐟katolewa ktk Maji😭😭😭😭

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 Рік тому +2

    Aiseee😢😢😢😢Mungu tusaidie sisi wanawake

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому

    Antvero nakukubalisana kwahua unavyoongea hongera sana

  • @IsabelMazik-r4t
    @IsabelMazik-r4t Рік тому +1

    Kweli tukutana na mengi chini ya jua,nimejifinza jambo kubwa sana😭😭😭😭😭

  • @DenisladisonMasawe-np6vb
    @DenisladisonMasawe-np6vb Рік тому +2

    Dah hii story si mchezo radhia kama kakuacha njoo kwangu nitakuoa ivyoivyo ulivyo

  • @isaya9613
    @isaya9613 Рік тому +2

    Hata ningekuwa mimi ningemwacha iliniwesalama nisismbukizwe tujifunze kumtegemea mungu ili atushindie kwanjia zahaki kulikokujitetea kwa akilizetuhatuwezi lolote

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому

    Aisee pole sana radhia nimoja yafunzo pia

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 Рік тому +1

    Ningumu kuipokea hii lakini mume wa Radhi alitakuwa ajipe muda wakufikiria kwanza hajamtendea haki mkewe sidha kama hii hali ingemkuta yeye mke angemkimbia ila yote juu ya yote nikupe pole dada angu usikate endelea kusonga mbele

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 Рік тому

    Asante sana nimejifunza sana

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 Рік тому +1

    Duuuu kuanzia leo nieli niwe mkweli lakin isia za upendo na huruma zisije nikafanya maamuz mabay

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 Рік тому +1

    Waa simulizi kama ya Fatma inasikitisha sana tuned 🇰🇪

    • @dafrosamsonge2007
      @dafrosamsonge2007 Рік тому

      ivi unazani Bahati Bukuku alipoimba Dunia haina huruma , mlizan anatania n live story km hii ya Rabhia unajitoa muhanga kwa ajili ya wanaume hujazaliwa nae, nashauri MTU ukipata changamoto km hii mkimbilie Mungu pekee angewavusha haijalishi ingechukua Muda mrefu Kia's gani shortcut sio nzuri wapendwa, hapa Dunia nlihisi nmemaliza kusikia kumbe sijamaliza

    • @carolinetalam5832
      @carolinetalam5832 Рік тому

      @@dafrosamsonge2007 Hakukosea kabisa yaani alijua tu huyo ni mke wa mtu but akaamua kuua familia ya mtu

  • @SophiaYohas-wd5ev
    @SophiaYohas-wd5ev Рік тому +1

    Jamani Radhia mungu akutie nguvu jamani😭😭

  • @jestinasamile5478
    @jestinasamile5478 Рік тому +1

    Maskin radhia pole Sana... Nae mume wako co mwelewa angekusamehe tu

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Рік тому +1

    kwa muonekano, kama Radhia angemuambia mumewe mwanzoni mumewe angelitafakari na angemuomba tuu afanye tindo hilo. Maana mume wake alikuwa ktk hali ya hofu sana. tena Radhia angemuambia niliomba tupime ukimwi angemuambia mbona watu wanaishi na ukimwi wengi tuu. na baada ya kila kitu mume angeanza kumtenga. Huenda nakosea jmni Mungu Unisamehe sie wanadamu hatujui kilicho moyoni mwa mtu lakin Wewe Mungu Mkuu Unayajua ya mwisho hata kabla ya mwanzo

    • @muhammadyussuf5393
      @muhammadyussuf5393 Рік тому +2

      Usipende kutetea makosa ndugu yangu radhia ukiacha huruma za mumewe na tamaa pia aliweka mbele

  • @fatumayusufu2924
    @fatumayusufu2924 Рік тому +1

    Nimelia kama mtoto, mapenzi Kwa mumewake yamemponza

  • @aclinekindiye5249
    @aclinekindiye5249 Рік тому

    Pole sana Radhia

  • @politekabelege553
    @politekabelege553 Рік тому +2

    Huyu mwanaume sio muungwana kabisa 😭😭😭

    • @sophiebanga9533
      @sophiebanga9533 Рік тому

      Ndio simgwana na akumpendaka Radhia kwa ukweli

  • @WinnieJohanes-ip2kc
    @WinnieJohanes-ip2kc Рік тому

    Pole sana nimejifunza kitu

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Рік тому +1

    Pole sana.

  • @gloriajohn8053
    @gloriajohn8053 Рік тому +2

    Maskini radhia,pole sanaa 😭😭😭

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому +1

    Chanzo ni yeye mmeo Kila kitu ufanye wewe pole tadhia wanaume sio wezetu hawana moyo mwambie ukweli ili na yeye awe na kidonda moyoni

  • @ireneherman76
    @ireneherman76 Рік тому +2

    Pole inaumiza lkn Mumeo Kwel
    Hana Moyo
    ungemuachaa t akanyeee debu uko amenikwza sana Hana Utu uyo mume 😢😢😢pole
    Sana

    • @magiekinda9685
      @magiekinda9685 Рік тому

      Alijakukuta ndo maana unaongea. Kusalitiwa nikubaya sana

    • @ireneherman76
      @ireneherman76 Рік тому

      @@magiekinda9685 ata km kubaya uwe na ubinadamu mtu kafany nn kwajil yakoo learn to be Grateful no matter how the situation is uyo mwanaum mwenyew hakua saw ye hakun ata mkew kabadilk kimaumbile mume anapend misada km demu mciiu

    • @magiekinda9685
      @magiekinda9685 Рік тому

      Nikuambie kitu matatizo ayatatuliwi kwa kufanya ngono. Mungu pekee ndo msaidizi wa mwanadamu

    • @magiekinda9685
      @magiekinda9685 Рік тому

      Angalia sasa uyo Baba anamuona mjinga kwa sasa

    • @magiekinda9685
      @magiekinda9685 Рік тому

      Kamlala kinyume na maumbile ilo nalo sawa

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 Рік тому

    Pole sana

  • @bahatigeorge6155
    @bahatigeorge6155 Рік тому +2

    Duuuu pole radhia

  • @ms_twiii
    @ms_twiii Місяць тому

    Kitu cha kujifunza: Kitu kinacho hatarisha afya, utu na uhuru wako usikubali

  • @mwanahamisihamza8351
    @mwanahamisihamza8351 Рік тому

    Polesana radhia

  • @theresiatemba3706
    @theresiatemba3706 Рік тому +1

    Ubinadamu kazi

  • @JanethNigeria-ej5qg
    @JanethNigeria-ej5qg Рік тому

    Nimejifunza kuwa hata Kama mwanaume unampenda kias gan usitoe utu wako

  • @HappyVumilia
    @HappyVumilia Рік тому

    Mwanaume sio ndugu yako bora angeenda jela kwa mimi sifanyi ujinga huo

  • @veronicapeter7307
    @veronicapeter7307 Рік тому

    Jamani inasikitisha kwakweli nimepata funzo kwakupitia ww Radhia

  • @vyoxerhama2417
    @vyoxerhama2417 Рік тому +1

    Inasikitisha sana

  • @halimachubi802
    @halimachubi802 Рік тому +1

    Kweli wema uczd uwezo

  • @khamisnjoya6875
    @khamisnjoya6875 Рік тому

    Daa pole San dada radhiya mi naomba dada vero unipatiye namba za radhiya mi Niko pemba

  • @uwimanaantoinette6417
    @uwimanaantoinette6417 Рік тому

    Dunia haina huruma by bahati bukuki 😢😢

  • @zenaiskimario2731
    @zenaiskimario2731 Рік тому +1

    Pole sana Radhia 😪

  • @DayanaPeter-mf2dz
    @DayanaPeter-mf2dz Рік тому

    Pole sana jamanii

  • @zeramohamed9672
    @zeramohamed9672 Рік тому +2

    Ila huyo kk aliwaumiza Wanawake wengi maana hata ndugu yangu alimuumiza sana MUNGU amuweke mahalipemapeponi kwani alipata sana msongo wamawazo na alifariki ila radhia nimependa wewe umeweza dd na MUNGU akupesubira zaidi MUNGU atakusimamia

  • @christophergeorge5490
    @christophergeorge5490 Рік тому +1

    🤔 Aisee

  • @MightyLumber
    @MightyLumber Рік тому +3

    Vero mwambie Radhia atutajie jina la huyo mwanamme tumtafute mitaani tumuue!

    • @kareenjoseph1781
      @kareenjoseph1781 Рік тому

      Kabisa

    • @gracemtonga3263
      @gracemtonga3263 Рік тому

      Ni yule kligogo wa bank kuu, nafahamu mpakla jina lake ila siwezi kutaja humu, hata hivyo alishakufa kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 Рік тому

      dah yaani umekasirika kweli kaka yangu. pole mno jmni

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому +2

    Story hii inatufundisha fanya tivu kwaajili yako si kwa watu wengine

    • @henryj3304
      @henryj3304 Рік тому

      Lakini upendo una nguvu kuliko maamuzi yetu, wewe unaweza ukaamua kwa akili zako, lakini upendo ndiyo unaofanya maamuzi ya mwisho. Pole kubwa kwa Radhia.

  • @geradinavitales6974
    @geradinavitales6974 Рік тому

    Dada vero mtwara huku hatukuoati

  • @fetlysiousally-lp8bp
    @fetlysiousally-lp8bp Рік тому +1

    Nimrjigumza san san

  • @johnbenben
    @johnbenben Рік тому

    Evero huyu baba atakua ni yule Alie mdanganya yule muhudumu wa hoteli mbona tabia zinafanana

  • @veerdhaheer7288
    @veerdhaheer7288 Рік тому +1

    Duh,

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 Рік тому +1

    AFADHALI MNA POST HUKU NILI SAHAU KUSIKILIZA SAA 1
    😂😂😂

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 Рік тому +1

    Dah life is tough😢😢😢😢😢😢

  • @neemampinga3810
    @neemampinga3810 Рік тому

    Huku kuna malipo au imerudi kama zamani

  • @sarasaraz-vn1vl
    @sarasaraz-vn1vl Рік тому

    Nataman hata nimwine rathia😭

  • @complex7582
    @complex7582 Рік тому +4

    Kosa kubwa ni kufumuliwa marinda

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 Рік тому +4

    Leo wa Mwanzo!😂

  • @AzmathRashid
    @AzmathRashid Рік тому

    Duh

  • @JackyneKihaka-bn6bd
    @JackyneKihaka-bn6bd Рік тому

    Jmn😭😭😭

  • @simonmaige9903
    @simonmaige9903 Рік тому +1

    OMG😢😢😢😢😢

  • @samludo5435
    @samludo5435 Рік тому

    ATAKAE MAKAA YA MGOMBA HAPATI KITU ILA JIVU TUPU

  • @bhokemasyaga6244
    @bhokemasyaga6244 Рік тому

    😢

  • @SarahGerson
    @SarahGerson Рік тому

    😭😭😭

  • @lynepeter7040
    @lynepeter7040 Рік тому +1

    Asee

    • @annaandrea-nh7xy
      @annaandrea-nh7xy Рік тому

      Ungemuacha afungwe kuliko kujiharibu

    • @mariamsaid9943
      @mariamsaid9943 Рік тому

      Pole Sana ndugu binadam tumeumwa kusahau omba toba kwa Allah akusamehe na maisha yako yatasimama kwa uwezo wake

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 Рік тому

    Pole sana Radhia