Part20_MBINU 21 ZA KUZIMU KULIHARIBU KANISA_USHUHUDA WA MCH.KATEKELA ALIYEKUWA CHIFU WA KICHAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 81

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 2 роки тому +10

    Kadri kanisa linavyopata upinzani ndivyo naamini kuwa Yesu ni njia ya kweli na uzima.Wafuasi wa Yesu kazeni mwendo

  • @mukindjekasongo4028
    @mukindjekasongo4028 2 роки тому +3

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu darasa hili linafaa sana kwa mafundisho ya sehemu ya pili maana ni ukombozi mwengine kwa kweli maana tunazoea enjili ya upande wa kwanza ndio maana hatujuwi kazi za upande wa pili kwa jinsi ya kukabiliana nalo hata tukiona tukio mbaya tunaona kawaida kumbe tumeisha vamiwa na upande wa pili mungu akupe nguvu uzidi kutufungua zaidi mungu akubariki amen

  • @mosimasatu8942
    @mosimasatu8942 2 роки тому +1

    Mungu akubariki Joctan. Nakukumbuka EAGT MAPAMBANO Tabora kwa Pr Lameck Hazina. Mbarikiwe sana.

  • @alicekarimi6168
    @alicekarimi6168 2 роки тому +7

    Promover tv much loved from kenya,your teaching open up our eyer in high level,mchungaji mungu awabariki.

    • @mindenlightenment
      @mindenlightenment 2 роки тому +2

      True true 🙌

    • @ibunikalikenya9219
      @ibunikalikenya9219 2 роки тому +2

      Mtumish hay mambi unayo eleze ni mambo ambayo ni nyet sana sio lais kuyajua hivihiv nimesh sikiliza shuhuda nying sana kuhusu habari za kuzim lakin ya kwak imejifafa nua vizuri sana na inaeleza mambo meng sana mungu amekuokoa kwa sababu ili watu wajue kweli waokokek wamfaate yesu na walio okoka ambao bado wanecheza na wokovu watengeze njia zao vizur

    • @ibunikalikenya9219
      @ibunikalikenya9219 2 роки тому +1

      Endelea tu mtumish kuwasistz watu wote wamfaate yesu mung akubark san

  • @Mbingutv508
    @Mbingutv508 10 місяців тому

    Amina amina mtumishi wa bwana katekela BWANA ATULINDE TULIOTOKA HUKO

  • @oscarpelesi18
    @oscarpelesi18 2 роки тому +2

    Yesu alisema juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu wala malango ya kuzimu hayatalishinda.
    .....nijuacho mimi kanisa la Yesu limejengwa juu ya mwamba ambao ni Kristo na malango ya kuzimu hayawezi kulishinda hata yaje na mbinu milioni hiyo imeisha.
    Kujengwa juu ya mwamba ndiyo jibu la kanisa kutoshindwa na malango ya kuzimu

    • @abellawilson3838
      @abellawilson3838 2 роки тому +1

      Ni kweli kabisa upo sahihi na kanisa ni mimi na wewe, lakini ushawahi kujiuliza kwanini wengi walookoka wanatenda dhambi na kurudi nyuma kirahisi ni pamoja na kuto kujua mbinu za adui yetu.

    • @oscarpelesi18
      @oscarpelesi18 2 роки тому

      @@abellawilson3838 tatizo siyo kujua mbinu za adui ...kwa sbb Yesu alimshinda na kuziharibu kazi za adui. Tatizo ni kutotambua utambulisho mpya tuopewa baada ya kumwamini Yesu Kristo.
      Tukitambua sisi ni akina nani ndani ya Kristo au katika Kristo ..dhambi inapoteza nguvu na adui hatatuendesha... Warumi 6:14.
      Unajua wewe ni nani baada ya kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako?

  • @isackmgonde6336
    @isackmgonde6336 2 роки тому +3

    Nabalikiwa sana na ushuhuda huu samahani Nina swali Kwa mujibu wa maelezo ya mchungaji alisema freemason Wana uwezo wa kutaja jina la Yesu Sasa wao hawaathiriwi wakilitaja Hilo jina ? au wao maombi kutumia jina la Yesu hayawadhuru

  • @chamipeter778
    @chamipeter778 2 роки тому +4

    Watumishi wa Mungu Bwana Yesu awafunike kwa damu yake, maana hizo siri mnazozifunua shetani na maajenti wake hawafurahii kabisa. Kwa mfano hiyo siri ya mafuta ni kweli kabisa hata waganga wanaijua, kwani hata mimi siku moja nilipatwa na tatizo nikaenda kwa sheikh mmoja ili anifanyie dua nilipofika alipojua kuwa ni mkristo aliniambia usihofu hata wachungaji wenu huwa wanakuja kwetu tunawasaidia, na hata mafuta mnayopewa na wachungaji wenu sisi ndio tunawapa. Hizo siri unazozitoa wala sio uongo ni kweli tupu, nawaombea sana Bwana Mungu wetu awalinde ili mzidi kumuaibisha shetani, amen.🙏

  • @maxinnaibei3733
    @maxinnaibei3733 2 роки тому +1

    I have been following your testimony,and really blessed and get knowleged be blessed am from Kenya mt.elgon hope one day you'll be here

  • @ngugit88
    @ngugit88 2 роки тому +1

    Mungu awabariki sana watumishi ,kwa kazi nzuri ambayo mwaifanya

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 2 роки тому +8

    Nyie mnaotaka awataje majina yao ni vyema mkaonana naye uso/uso sababu mambo ya kiroho hayana ushahidi wa kimwili. Sasa wakimchukulia hatua za kisheria ili athibitishe ataweza? Iweni na akili mnaolazimisha majina yatajwe, isitoshe manabii wa uongo tunawajua kwa kusoma sana biblia na kuomba mbona wako wazi sana. Mimi mwenyewe nawajua wengi tu.

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому +2

    Promover na mchungaji Mbarikiwe sana

  • @ntulikasunga3548
    @ntulikasunga3548 2 роки тому +1

    Kiukweli tuna Neema ya Mungu iliyofunuliwa kwa watu wote.....ukweli hautadaiwa mtumishi wa Mungu......Mungu azidi kukutunza daima

  • @omusuguevans6350
    @omusuguevans6350 2 роки тому +2

    Thanks for the testimony

  • @JaneKuyokwa
    @JaneKuyokwa Рік тому

    Mungu akulinde mungu akupe siku nyingi

  • @dadaz4653
    @dadaz4653 Рік тому +1

    YESU kristo akulinde akuongezee miaka zaidi ili ueneze injili duniani kote l

  • @sophynyamweyanyaboke562
    @sophynyamweyanyaboke562 2 роки тому +1

    Huu husuhuda umefikia no ngapi juu tungependa kufatilia sana

  • @EvangelisteMireilleMITAMBA
    @EvangelisteMireilleMITAMBA 2 роки тому

    Mbarikiwe sana watumishi wa Bwana. Tumefurahi sana kuwapokea kwetu Congo. Mumekuwa baraka sana. Karibuni tena mwaka kesho.

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 2 роки тому +1

    Duh !! SSA hayo mambo yote inamaana kama umemwamini Yesu hayo yote hayana nguvu yyte

  • @helmashimba7761
    @helmashimba7761 2 роки тому +1

    Hallelujah tumebarikiwa

  • @patriciafabiani1938
    @patriciafabiani1938 2 роки тому +2

    Napenda macho yako 🫡

  • @fezakabala6589
    @fezakabala6589 2 роки тому +1

    Ubarikiwe saana papa 🇨🇵🇨🇵🇨🇵

  • @elizabethsembe1677
    @elizabethsembe1677 2 роки тому +1

    Daaa barikiwa Sana aisee

  • @wambimbwelo5141
    @wambimbwelo5141 2 роки тому

    Mungu awabariki sana mbinu hizi ni muhimu sana kwa wateule kuzijua

  • @mpandawiliam5390
    @mpandawiliam5390 2 роки тому

    Mungu akutunze mtumishi ktk jina la Yesu.

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 2 роки тому +1

    Kanisa kuu la Anglican lililopo kule Mkunazini Zanzibar limefika miaka mia na Mtumishi

  • @AmosiMwita-vl4dq
    @AmosiMwita-vl4dq Рік тому +1

    Amo

  • @elibarikikipanga2200
    @elibarikikipanga2200 2 роки тому +1

    Nawaombea Mungu aliye hai awalinde, mtumishi usiogope kuwataja kwa heshima ya Mungu aliyekupenda maana hata ukiwaacha kuwataja wanakuchukia tu wewe so rafiki kwao wataungana na shetani kukuangamiza lakn hawatakuweza.

  • @ayubu_tv
    @ayubu_tv 2 роки тому

    Amina!! mchungaji bado nakusubiria majibu yangu toka kenya Ayubu hapa 🇰🇪

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 2 роки тому +1

    Mbarikiwe sana na mungu

  • @JeremiaShimba-cq8mq
    @JeremiaShimba-cq8mq Рік тому

    HakikaMaombi pekee ndio silaha ya kanisa la Mungu

  • @elizabethlusato7363
    @elizabethlusato7363 2 роки тому +1

    Hakika Mungu anirehemu maana nilishadanganyika nikatumia mafuta na maji, ila nilipofahamu haya nikatupa vyote,Ewe Mungu wetu tusaidi utuokoe dhidi ya mwovu shetani na mawakala wake

    • @evelynekomba7216
      @evelynekomba7216 2 роки тому

      Hongera, nawe usikae kimya, ambia na wale ulikuwa unashiriki nao huko. Utabarikiwa Kwa kumletea Yesu Roho za watu wanaopenda, ila wako Kwa njia mbaya.

  • @esterswepa4735
    @esterswepa4735 2 роки тому

    Amina kweli mtumishi

  • @paulagola919
    @paulagola919 2 роки тому +1

    Kwa heshima gani waliokuwa nayo. Watajeni...

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 2 роки тому +2

    We are together in JESUS name

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 роки тому

    Mungu tusaidie

  • @shamim-shammy
    @shamim-shammy 2 роки тому +1

    nafurahia ushuhuda huu, lakini napata ukakasi ikiwa lengo lako ni kuwafahamisha watu ili wasipotee kwa kupitia manabii wa uongo. sasa kwa nini usiwataje majina ili kuna watu wenye uelewa mdogo wasiweze kunaswa na hao??? maana bado wengine ni wa uongo lakini hawatumii mafuta wala maji ya upako

  • @edwardmwalukware9734
    @edwardmwalukware9734 2 роки тому +2

    Kuna nguvu za kishetani kupinga huu ushahidi usisemwe

  • @francisomary5284
    @francisomary5284 Рік тому

    Naomba namba ya mtumishi wa MUNGU katekela ,

  • @ىاتال-و5ب
    @ىاتال-و5ب 2 роки тому +2

    Hiyo maji wanaopewa wakileta kwa boma lao baadaye inaweza leta madhara baadaye?

  • @matrixtechnician3088
    @matrixtechnician3088 2 роки тому +1

    Jacktan sasaiv umeanza kukata sana bahadh ya vitu scha tu kwel isimame sehemu yake yake maana kila kilicho dhahir ni nuru sion sabab ya kukata kata anarukia tunajikuta mbele yan bas Ila bora uache kwel ieleweke usipunguze neno kama ni agizo LA bwana.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 роки тому

      Hakuna kilichokatwa mpendwa,hii video ilikuwa live na kwenye live mtandao ukiwa unasumbua itakuwa inakwamakwama ambapo baadaye ndio itaonekana hivyo kama imekatwa

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 2 роки тому

    Next time tafadhali ongelea venye wakristo wanapaswa kujenga madhabau ya MUNGU.Kupanda mbegu juu Giza inatoa sacrifice utufafanulie.

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 2 роки тому

    Hawa manabii wa hivyo wanaheshima gani sasa uvyosema kwa heshima yao hutawataja.

  • @sophynyamweyanyaboke562
    @sophynyamweyanyaboke562 2 роки тому

    No ya wasup.pliz

  • @siandowo5654
    @siandowo5654 2 роки тому +1

    Sasa sisi tunaokaa kigamboni na tunavuka pale itakuwaje?!

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому

    Ni htr.. So hiz movie za Gospel zinazoigwa kanisan ni agenda?

  • @salomezakaria
    @salomezakaria 2 роки тому +2

    AD huwa nini maana yake??????

  • @elibarikikipanga2200
    @elibarikikipanga2200 2 роки тому

    Wataje kwa kuwasaidia wanaopotea bila kujua kwa kuwaamini hao manabii

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Wataje majina kisiri

  • @petermageta9480
    @petermageta9480 2 роки тому

    Tuko pamoja

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 2 роки тому

    Kanisa katoliki wanatumia maji ya baraka kwa muda mrefu sasa nayo ni hayohayo?

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 2 роки тому

    Haiya imekata yakwanza

  • @reginaruta3249
    @reginaruta3249 2 роки тому +1

    Napenda kujua mtumishi alipokuwa anatumikia kuzimu alikuwa anaishi huko kimwili au kimwili alikuwa duniani kiroho ndio alikuwa kuzi? Naomba ufafanuzi vizuri maana tunaishi na wachawi Sasa najuiliza sipati jibu?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 роки тому +1

      Sikiliza sehemu zilizopita za ushuhuda wake

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 Рік тому

      Anashuhuda ndefu fatilia

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Kikombe cha babu ni ushirikina

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому

    Aseh 🙄

  • @helenkimo1078
    @helenkimo1078 2 роки тому

    Tufanye aje sasa?

  • @nicholaskiragu2797
    @nicholaskiragu2797 2 роки тому +1

    Na Huyu apostle Ezekiel hapa Mombasa Kenya anawauzia watu maji ya uponyanji Ni wa Mungu?

    • @damarisrukungu4718
      @damarisrukungu4718 2 роки тому

      La hasha,ni wa kuzimu

    • @nicholaskiragu2797
      @nicholaskiragu2797 2 роки тому

      @@damarisrukungu4718 waaaah! Thanks. Nilikuwa niende kwake kununua manji. Niombee my Libindo irundi.

    • @nicholaskiragu2797
      @nicholaskiragu2797 2 роки тому

      @@damarisrukungu4718 na TB Joshua wa Synagog church of all Nations Ni wa Mungu?

    • @damarisrukungu4718
      @damarisrukungu4718 2 роки тому +1

      @@nicholaskiragu2797 sailing in the same boat

    • @nicholaskiragu2797
      @nicholaskiragu2797 2 роки тому

      @@damarisrukungu4718 Thanks alot..I was following them but now I know.

  • @apostlesammymutachicfc.3744
    @apostlesammymutachicfc.3744 2 роки тому

    Tafadhali, naomba nambar yenu ya WhatsApp,

  • @ngugit88
    @ngugit88 2 роки тому +1

    Mungu awabariki sana watumishi ,kwa kazi nzuri ambayo mwaifanya

  • @annarome9005
    @annarome9005 2 роки тому

    Mungu tusaidie