Mzee Gideon L. Mwenda kwenye miaka ya 1985 hadi 1990 wimbo huu aliuimba hivi, Tazama niko mlangoni, naomba nifungulie; Natamani,natamani ii, natamani kuingia. Naomba nifungulie, na nipate ingia kwako,; Huzuni zote zitakwisha, Natamani kuingia. Kwaya Teule Kijitonyama. Nimekumbuka mbali sana, mbarikiwe.
Mbarikiwe, nyimbo hizi zinatusogeza karibu na uwepo wa MUNGU
Mzee Gideon L. Mwenda kwenye miaka ya 1985 hadi 1990 wimbo huu aliuimba hivi, Tazama niko mlangoni, naomba nifungulie; Natamani,natamani ii, natamani kuingia.
Naomba nifungulie, na nipate ingia kwako,;
Huzuni zote zitakwisha,
Natamani kuingia.
Kwaya
Teule Kijitonyama.
Nimekumbuka mbali sana, mbarikiwe.
Kwaya ya nyumban kabisaa mbarikiwe sanaa ndugu zangu
Nimebarikiwa mnooo wimbo mzuri sana.
Mungu awabariki waimbaji wote wanatubariki sana
Nafunga mwaka na huu wimbo leo, baba angu alikua akiupenda sana nikiwa mdogo miaka 5, na sasa nna miaka 29. I just love the song so much, for him.
I love this song very very very much.
Sounds mzuri
Wimbo mzuri sana
Ninaupenda Sana wimbo huu na sichoki kuusikiliza
naukubali sana huu wimbo
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo, hivi album yao inapatikana siku hizi
nimebarikiwa na nyimbo hizi
ALBAMU YAKE JAMANI TUNAOMBA
Album yao natafuta jaman, mwenye jina la album tafadhali
nami pia
Audio Albam Iliitwa "Katika Njia ya Injili" Ikiwa na Nyimbo kama 18 hivi..
kama umeurudia huu wimbo zaidi ya maramoja kuja hapa
Purely inspired, really voices
Aisee post na ule mwingine unaitwa unioshe niwe safi
Weka album yote
Where is this Google translations?