KILIMO BIASHARA | Mkulima Kisii anafanya kilimo juu ya nyumba yake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 вер 2019
  • Ukosefu wa nafasi ya kufanya shughuli za kilimo sio kizuizi kwa wale wanaopania kujitosa kwenye kilimo katika maeneo ya mijini. Mkulima mmoja katika kaunti ya Kisii ametumia kigezo hiki kuendesha kilimo juu ya paa la nyumba yake

КОМЕНТАРІ • 14