ISRAEL VS HAMAS, KINYAGO KINACHOMTISHA MCHONGAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 місяці тому +2

    Asanteni sana bros

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 місяці тому +2

    Mkuu wa mwanamgambo bila shaka ni mwanajeshi, sasa shida iko wapi kuuliwa maana kwa mwanajeshi kuua maadui au kuuliwa vitani ni sehemu ya maisha yao.

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 місяці тому +1

    Hapo si sahihi, kikundi kilichovamia michezo ya Olympic huko Munich mwaka 1974 wakateka wachezaji wa Israel na kuwaua hawakuwa Hamas bali Black September!

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 2 місяці тому +1

    Huyu bwn yuoo vzr

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 2 місяці тому

    Nimejifunza kwamba ISRAEL 🇮🇱 haina uwezo wowote bila ya msaada wa Marekani 🇺🇸 na washirika wake.

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb Місяць тому

    Huyu kichwa sana unaongea fact bila mihemko ya kidini wala kiushabiki yaan kanyooka,duh hii hata mimi nisingeweza😂

  • @humudmarhoon8044
    @humudmarhoon8044 2 місяці тому

    Israel bana kumbe mungu wake ni marekani yaani marekani ndio anasaidia Israel kila kitu..hapo mwanzo tuliongopewa sana kuhusu Israel kijeshi eti wana power kubwa lakin leo kiko wapi wanapigana na kundi dogo tu hamas vita inakata mwaka sasa huku Israel ikisaidiwa na USA na nchi za ulaya...noma sana

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 2 місяці тому

    Hapa kwenye mahandaki ameongopa kidogo

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 2 місяці тому +1

    Mazishi ya Ismael ya mefanyika, uko irãn, na kiongozi wa ki siasa ata patikina, Tena, Na kazi bado tipo insha Allah, wa zayuni wa ta kula chunvi na hao

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 2 місяці тому

      Rampage Ina mhusu

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 місяці тому

      @@OnesmoEphrata Sasa hivi ni li kuwa nna iangalia vídeo moji ili postiwa, na Hamas wa kilipuwa ki faru, Allahu wa illah il hámdu

    • @walker-96
      @walker-96 2 місяці тому

      Acĥa ujinga palestrina haihusiani na ishmael

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 місяці тому

      @@walker-96 ina husiana na nani?

  • @EnikoSanga
    @EnikoSanga 2 місяці тому +2

    Kumbe alikua na nia ya kupambana kweli kapambana

  • @e11said23
    @e11said23 Місяць тому

    Azrail tishio wapi sikiza mkuu majeshi yao anasema nini vita wame shindwa kuuwa raiya ovyo wanajua gaza ndogo tu mpaka leo mda gani vita

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 2 місяці тому +1

    Nampe orest kawawwuu

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 2 місяці тому +1

    Wapalestina walipigwa 2000 Bc,wanapigwa na wataendelea kupigwa mpaka mwisho wa Dunia

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 2 місяці тому +1

    60% of explained content is wrong, and totally a lie..

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 2 місяці тому +1

    Mchambuz nomempenda sn

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 місяці тому +1

    Hawa jamaa waongo

  • @sameerbaksh98
    @sameerbaksh98 2 місяці тому

    Tatizo nimeona wafrica hatusom history tukiamin izrael ni wenzetu somen utaona wakristo na waislam wanabaguliwa sana pil wanaamin yesu ni mtoto wa haram hawamin ukwel wa yesu kristo hakuna aman kati ya utawala wenye aman kama ukristo na uislam sasa hawa wanaamin ushoga

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 2 місяці тому

    "Alikuwa na wazo la kupambana na Israel.."!! Vipi kaishia wapi?
    Hiyo historia wewe umejifunzia wapi mbona hatujawahi kuisikia katika huga wa kimataifa? Isije kuwa ni uchawa unatulisha matunda pori!!

  • @akberyuda5950
    @akberyuda5950 2 місяці тому

    ISRAEL ATAWAMALIZA NI TISHIO KWENYE VITA🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 місяці тому +1

      Hawawezi ng'ooo!
      Haki haishindwi na dhulma.
      Ilo msahau, MwenyeziMungu ndio mjuzi wa kila kitu.

    • @humudmarhoon8044
      @humudmarhoon8044 2 місяці тому +1

      Acha uongo wewe Israel tishio wapi..hamas tu peke yake mpaka leo analilia msaada wa kijeshi kutoka marekani.. yaani Israel hawezi kuingia vitani bila msaada wa USA na nchi za ulaya..

    • @MwanahamisHussein-dp2if
      @MwanahamisHussein-dp2if 2 місяці тому

      @@humudmarhoon8044 kwel