ALIKIBA atamani CHRIS BROWN acheze wimbo wake mpya,amwagia sifa DIAMOND kwenye KOMASAVA,tazama hapa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
    #middlesimba
    #WeAreEverywhere
    #diamondplatnumz

КОМЕНТАРІ • 30

  • @NdakhiSusu-qz9md
    @NdakhiSusu-qz9md 2 місяці тому +12

    Kam umemuelew Alikiba like apa*"

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 місяці тому +9

    Nilikuwa sikupendi kiba kwa kuwa na kiburi ila leo nimefrahi kuona umeongeya vizuri nimefrahi piya hongera nawewe nakuombeya piya upande juu kimataifa

  • @kinyamal8201
    @kinyamal8201 2 місяці тому +6

    Time for this Ali K and Mondi to do a collabo.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 місяці тому +6

    MUNGU ALIYEUIMBA KILA KITU ASANTE SANA NAPENDA KUONA HAWA JAMAA WANASAPOTIANA HATA
    WASIPOIMBA NYIMBO PAMOJA.

  • @OmaryShabani-nw1ib
    @OmaryShabani-nw1ib 2 місяці тому +6

    True love 🔥

  • @derimkongwa5965
    @derimkongwa5965 2 місяці тому +6

    Alikiba huh ndio ukomavu sassa sio wivu wa kimakonde

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 2 місяці тому +1

    Safi Sana Alikiba wewe ni kaka wa Diamond ❤❤❤❤❤❤❤

  • @MeshiliTemba
    @MeshiliTemba 2 місяці тому +1

    Sawa king

  • @user-hn2gi8dc6g
    @user-hn2gi8dc6g 2 місяці тому +4

    Really bro

  • @user-df5gw2mq2n
    @user-df5gw2mq2n 2 місяці тому +1

    anajikosha tu uyo🙏

  • @Assab3167-j3d
    @Assab3167-j3d 2 місяці тому +1

    Kweli Ali kiba

  • @AbuuMkabugo
    @AbuuMkabugo 2 місяці тому +4

    Wwe alikiba kweli mkubwa c hamo na raivany choyo kime wajaa

  • @VitusEmmanuel-pe3yi
    @VitusEmmanuel-pe3yi 2 місяці тому +4

    Achen ujinga ninyi peleken Muzik mbele hamuon Nigeria km wanasapotiana

  • @dullychabu971
    @dullychabu971 2 місяці тому +1

    Basiii kama king kesha sema nyie akina nyadundo kwishaaaa

  • @HeriRamadan-qx2hk
    @HeriRamadan-qx2hk 2 місяці тому +6

    Wimbo mpya wa alikiba mmh 😅😅😅 afadhali Ngoma mpya ya mboso ft jaivah , Wasanii Tumuheshimu Daimond plutnum.

  • @Kapomakilian42
    @Kapomakilian42 2 місяці тому +3

    Kwa mara ya kwanz kiba kuunyosha moyo wake kumpa maua yake diamond platnumz huo ndo ukubwa nadhan Kaz zinaongea sada

  • @user-gs9mt1vp7i
    @user-gs9mt1vp7i 2 місяці тому +1

    Yeees!!kudos Kiba

  • @user-rc7zm3zx7q
    @user-rc7zm3zx7q 2 місяці тому

    Eeee!!!!!mchiz amekua bana

  • @raindoro5201
    @raindoro5201 2 місяці тому

    Maturity detected

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 місяці тому +2

    Na bado hajasemaaaaa huyo ndy Diamond Platnumz yaaan n kama maji 💦 💧 🚿 tu usipomnywa utamuoga na usipomuoga utamuoshea vyombo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 2 місяці тому

    Mwacheni yule mjomba Nchumari abaki vilevile na chuki zake.Kwanza hawezi fika kimataifa hata siku moja,Mjomba nchumari hana vigezo vya kimataifa ataendelea kujidanganya tu.Yeye aendelea kupiga porojo hapahapa Tanzania.

  • @issashabani3959
    @issashabani3959 2 місяці тому

    Umefeli ndio kazi yako hiiyo ila kusapoti

  • @salimsaid2588
    @salimsaid2588 2 місяці тому

    Biashara hyooo amejuwa asipozungumzia Diamond hamta enda crown media kuangaliya

  • @mmanuelsimbakayeye
    @mmanuelsimbakayeye 2 місяці тому

    Kiba unani furaisha sana

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 2 місяці тому

    Kibaaaaaaaa,nakukubar mi shabk wa mond ,kwahil umeuwa kabisaaa uko sawa,,siyo Kama wamakonde,,

  • @nitoaugustochavenechavene3024
    @nitoaugustochavenechavene3024 2 місяці тому

    Sasa apa mjomba mchumali ataweka wape sura yake? na pia naona kwa mbali ya kwamba game inakuja upua kabisa watoto wajiandae mana awa wawili wa kiungana sion pakukajaga watoto

  • @babalao3250
    @babalao3250 2 місяці тому +1

    Ghafla nimejipata nikimpenda Kiba

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 місяці тому +1

    Na bado hajasemaaaaa huyo ndy Diamond Platnumz yaaan n kama maji 💦 💧 🚿 tu usipomnywa utamuoga na usipomuoga utamuoshea vyombo😂😂😂😂😂😂😂😂