THIS IS SIMBA, MAGORI AFUATA MASHINE 2 ZA MAANA ZAMBIA 🇿🇲,WINGA JOSHUA MUTALE NDANI, SIMBA MPYA NOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 чер 2024
  • MAGORI AFUATA MASHINE 2 ZA MAANA ZAMBIA 🇿🇲,WINGA JOSHUA MUTALE NDANI, SIMBA MPYA NOMA
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 10

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 13 днів тому +1

    Simba haina shida ya kipa kuweni makini mtapoteza pesa leteni kiungo mkabaji na striker wa maana na beki wa kati

  • @HappyMackNkana
    @HappyMackNkana 5 днів тому

    Sitaki kuona ujinga wakusajili

  • @michaelamos3164
    @michaelamos3164 12 днів тому

    Zambia hakuna wachezaji Bora tusajiri ndani humuhum acheni usenge

  • @user-ps2om3fg8x
    @user-ps2om3fg8x 12 днів тому

    Hakuna wachezaji Zambia uozo mtupu"" sasa uyo mulenga na ally Salim Bora nani? huwezi kupata mchezaji wa kuchukua kombe la caf Zambia, timu zao zenyewe tu tia maji tia maji hata makundi hazifiki.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 13 днів тому +1

    Tatizo la Magori anasajili bila kujua mchezaji atacheza nafasi gani. Kuna kipindi alitusajilia wachezaji wanne kwenye nafasi moja. Hao walikuwa ni Sackho, Banda, Nyoni, Morrison, Miquisson wotevni mawinga. Sasahivi tunaskia anakuja Panzuu, Pokuu, yupo Aubin Cramo sasa wakimleta tena Mtale mawinga watakuwa wengi sana wakati shida ya Simba ni Kiungo Mkabaji, Striker na Mabeki wawili. Hao hatusikii wakizungumziwa. Wanataka aje Mundele wakati tungependa aje Mabululu.

    • @eliassimkonda6540
      @eliassimkonda6540 13 днів тому

      Modern football inataka sana mawinga na viungo washambuliaji wawe wengi kwakuwa mpira unatakiwa kuchezwa sana katikati na mbele. Hivyo si vibaya kuwa nao hao.😊

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 12 днів тому

      Magori ni mtu wa mpira haswa ndugu yangu vyema kuchukua tahadhari na kufanya utafiti kidogo kablaa haujamkosoa japo mpira ni mchezo wa maoni na kila mtu yuko huru kuyatoa yake

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 13 днів тому +1

    HERSI KAWAPA SOMO SANA MIKIA NAMNA YA KUSAJILI....

  • @bensonpaul3672
    @bensonpaul3672 12 днів тому

    Ata Jobe aliitwa mashine ila mwishowake akaitwa mwanariadha mara jobless dah..