George William - Madhabahu Ya Sifa (Live at the LAPF Millenium Towers / 2021)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 2 роки тому

    Umebarikiwa kaka ibada kubwa sana

  • @RithaKomba
    @RithaKomba 2 роки тому

    This song 🔥🔥😭

  • @El9a
    @El9a 2 роки тому

    Nyimbo zinazoimbwa mbinguni na watu wanaoishi duniani...wakionja ladha ya umilele...
    Huu Kwa wengine unaweza ukawa ni wimbo tuu...
    Ila ndani yake una fumbo kubwa linaloelezea ushirika "Fellowship with The Holy Spirit. "

  • @yohanamayenga
    @yohanamayenga 2 роки тому

    Congratulations kaka

  • @gloriamoses723
    @gloriamoses723 Рік тому

    Kaka umetisha snaaa ubarikiwe mnoo..hivi nyimbo imekua faraja na baraka maishani mwangu🤗🥰

  • @emmanuelbundala4017
    @emmanuelbundala4017 2 роки тому

    MoG I love you, Yesu akutunze na kukuhifadhi kwaajili ya UFALME

  • @blessedazariahmusic
    @blessedazariahmusic 2 роки тому

    Moyo wangu ukawe madhabahu ya sifa 🙌

  • @gillianjared
    @gillianjared 2 роки тому +2

    Song never gets old 🙌🏾 Powerful. Hongera sana. Keep soaring.

  • @tanzanianews2558
    @tanzanianews2558 2 роки тому

    Nyimbo ya kuish kabisaa hii, Uliitunga vyema

  • @anthonychirwa8019
    @anthonychirwa8019 2 роки тому

    Umebarikiwa sana...
    Mungu azidi kukutumia, powerfully

  • @mmm23603
    @mmm23603 2 роки тому

    Hongera mungu.akuinuwe zaidi

  • @ruvugomusic2162
    @ruvugomusic2162 2 роки тому

    Mungu azidi kukuinua sanaa

  • @ruvugomusic2162
    @ruvugomusic2162 2 роки тому

    Kazi kali bro

  • @ruvugomusic2162
    @ruvugomusic2162 2 роки тому

    Kazi kali sanaaa

  • @rosepatrick8148
    @rosepatrick8148 2 роки тому

    Mungu azidi kuwabariki

  • @officialjamhurizachariagos2797
    @officialjamhurizachariagos2797 2 роки тому

    Brother Peter

  • @whitneyheff8933
    @whitneyheff8933 2 роки тому

    What a very touching song that can heal and make a broken heart beat again be blessed pal

  • @nehemiahedward
    @nehemiahedward 2 роки тому

    Naupenda sana huu wimbo

  • @winnieatieno7385
    @winnieatieno7385 2 роки тому

    More grace to you George. Powerful.