Mwimbaji Maarufu wa Injili nchini Ambwene Mwasongwe Azushiwa Kifo, Mwenyewe Afunguka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • #MbeyaYetuTv #Ambwene_Mwasongwe

КОМЕНТАРІ • 18

  • @justinngabbu2302
    @justinngabbu2302 2 роки тому

    Mimi napenda sana "mungu wa ibada"

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 3 роки тому

    Nilipoona taarifa za uzushi huu kwakweli niliishiwa nguvu. Lkn sasa nimefarijika sana baada ya kukusikia mimi mwenyewe kuwa ungali upo nasi. Endelea na kazi ya Mungu Mtumishi.

  • @ahadimwakaniemba8401
    @ahadimwakaniemba8401 3 роки тому

    Mungu akubariki sana. Aendelee kukuinua mpaka kusudi lake likamilike.

  • @loemapanga6087
    @loemapanga6087 3 роки тому

    Mungu akufunike uishi miaka mingi mtumishi wa Mungu

  • @angelaswila6632
    @angelaswila6632 3 роки тому

    Uzima uwe fungu lako mtumishi wa Mungu. Natangua agano la mauti juu yako ktk Jina la Yesu

  • @ruthmwasomola655
    @ruthmwasomola655 3 роки тому

    Mungu akulinde siku zote

  • @angelmwakalonge9564
    @angelmwakalonge9564 3 роки тому

    Washindwe katika jina la Yesu.

  • @josephnombo1478
    @josephnombo1478 3 роки тому

    Bongo kawaida kuzusha Mungu akutete mtumishi wa Mungu

  • @Enockjavan
    @Enockjavan 3 роки тому

    Nakukubali ambene

  • @raphaeldaniel2201
    @raphaeldaniel2201 3 роки тому

    Mungu ni mkubwa mwoba Mungu hachoki

  • @allymwashiwawa2713
    @allymwashiwawa2713 Рік тому

    Wafe wao

  • @angelmwakalonge9564
    @angelmwakalonge9564 3 роки тому

    Watu sijui wakoje ivi unaanzaje kutoa taarifa za uongo, Hawa watoa taarifa wachukuliwe hatua

  • @mamyneytariq8458
    @mamyneytariq8458 3 роки тому

    Watatangulia wao kaka

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 3 роки тому

    Wafe wao in Jesus Christ name 😭😭😭 wicked peoples

  • @ntulikasunga3548
    @ntulikasunga3548 3 роки тому

    Wafe waoo

    • @ntulikasunga3548
      @ntulikasunga3548 3 роки тому

      Yaaan nimemshtuka sana mpaka nimewakwaza watu humu ndani lakini nikazikataa hizi habar kwamba niuongo tu washetani tena Mungu amhurukie sana huyo aliyehusika kwakweli Mimi wiki lote hili nashindia nyimbo za Ambwene ,, Mwansasu,,Bony,,Bahati,,,n.k Mungu akuhurumie wewe unayewatabiria wenzie vifo

    • @frolawihenge2078
      @frolawihenge2078 3 роки тому

      Baba shimo walilokuchimbia watatumbukia wenyewe hao.Mungu akutunze mtumishi wa Mungu.