WAMEFIKISHIWA ZAWADI ZAO.. 🙌
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- WASHINDI DROO YA NNE HAWA HAPA. 🙌
Kazi kwako Mfanyabiashara/Mjasiriamali.
SAFIRISHA NASI,
Kutoka China, Dubai, Uturuki, India na Marekani, ili uweze kuingia katika Droo ya Ukiagiza, Hujapoteza.
Simba wa Bahari, tunawakumbusha wateja wetu wote kuwa, Msimu wa CHINESE NEW YEAR (Mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kichina) Unategemewa kuanza Rasmi Mapema mwaka huu, 2025, January 28. Mpaka sasa tumebakiwa na Siku 24 Pekee.
Cha Muhimu, ni kufanya Manunuzi yako Mapema hapa YIWU, wasiliana na Supplier wako sasahivi, Kabla wachina hawajaenda Mapumziko, ili upate kuwahi Masoko ya sikukuu za IDD na PASAKA, Wakati ni sasa Kabla ya China Kufungwa.
Maelezo Zaidi,
+255 746 813 813
#SimbawaBahari
#21YearsExperience