SIKU WAKRISTO WAKIELEWA UJUMBE HUU WATAUNGANA NA WAISLAM KUTAFUTA DOLA YA MUNGU HAPA DUNIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @MussaGSulleGSulle
    @MussaGSulleGSulle 8 місяців тому +2

    Shalom shalom nabii Eliya eliysa naomba kwa niaba ya Watanzania wanaokufuatia ututafsi kwa lugha ya kiswahili ni mimi mwanafunzi wako Gabriel Ginwe Sulle kutoka manyara

  • @FrancisMaparasha
    @FrancisMaparasha 8 місяців тому

    You actually done a great job Mr.

  • @meisanmariah8993
    @meisanmariah8993 8 місяців тому

    Amen 🙏

  • @MussaGSulleGSulle
    @MussaGSulleGSulle 8 місяців тому

    Yaani wewe unasema hamza au nabii Eliya eliysa ni tapeli kweli ikiwa nabii Eliya ni tapeli je? nani Salama? kwa ujumla ndugu Mungu akuhurumie sana yaani huna tofauti na wale waliomsulubisha yesu kristo msalabani yaani hujui usemalo

  • @MaryamMaryam-n1v2e
    @MaryamMaryam-n1v2e 8 місяців тому

    Tutafsirie kiswahili 🙏

  • @GeogeHebuka
    @GeogeHebuka 8 місяців тому

    Change your passion

  • @barakaofficialtz
    @barakaofficialtz 8 місяців тому

    Huu ni ukweli mtupu na ndo maana yesu akasema 'ingieni mlango mwembamba' sio wote watakao elewa ujumbe huu ila.

  • @rashadally6871
    @rashadally6871 8 місяців тому

    Lugha hatujui tunahitaji tafsir

  • @Prosperkisama
    @Prosperkisama 8 місяців тому

    Amesema hapo mwisho kimakosa maana amesema kuwa wakala na sio Mkristo kwann wakati watu walio amini pale awali waliitwa wakristo ktk kitabu cha matendo?

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 8 місяців тому

    Hajawahi tokea tapeli kama Hamnza

  • @mwakiboy968
    @mwakiboy968 8 місяців тому +1

    Sasa kama sio usenge n nini hii nmeidownload mb zangu zinaend bure sasa umeshindwa kututafsria afu hii ni video ya pili unafanya hivi ukishusha video full English like this naku unsubscribe