DC amtimua MCHUNGAJI anayedaiwa KUWAZALISHA WAJAWAZITO KANISANI KWAKE "USIKANYAGE TENA HAPA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 21

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 3 місяці тому +2

    Anawaombea inawezekana kapitiliza siku za kujifungua,sema shinyanga nao wamezidi uchawi hawaamini Kama pia ni kazi ya Mungu kuombea wajawazito ,huyo Dc kakosea Sana aisee

  • @husha6372
    @husha6372 2 місяці тому

    lol it’s idk serikali ufunge maternity wards zote n chini mchungaji

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 3 місяці тому

    Makanisa yanaibuka kila kukicha mengine ni ya kishetani,yatatokea ya Shakahola

  • @husha6372
    @husha6372 2 місяці тому

    Hivi kweli Yesu alizalisha Kwa maombi

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 місяці тому +1

    Kwani jamani hawa watu hawana akili za kujiongeza

  • @successelias9362
    @successelias9362 3 місяці тому +1

    Yan wewe una hakiri, kweli,, mmeshindwa,, kutatua kero za wananchi,, mnafatilia watumishi wa, mungu,, rahana zimewajaa

  • @JustinMkumbwa
    @JustinMkumbwa 3 місяці тому

    Angalieni kwaumakin hilijambo msitumie vyeonakujipiga. Vifua mama MUNGU anawashughulikia sana wanaojigamba na kujipiga vifuavyao unaposema au kuongea hakiba yamaneno nimuhim sana

  • @thomaslonusamuel5766
    @thomaslonusamuel5766 3 місяці тому +2

    Mimi sioni tatizo hapo yaku fungiwa kanisa, sema mtu mwenye Ana simamiya kesi sioyu mtu wa dini, awezi elewa

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 місяці тому

      Huoni tatizo KESHO utasikia akichinja waumini hawo MAPAROKO 😢😢😢😢😢

    • @thomaslonusamuel5766
      @thomaslonusamuel5766 3 місяці тому

      @@OmmyJames-xn7ji bro asa mambo yaku chinjana yame toka wapi, ayo nima wazo yako, kwani ume fatiliya iyo video vuzuri, sema siku hizi kila mtu Ana fanya mambo ili a trend sana sana watu wanye wako kwenye politics

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 3 місяці тому

    Hauna busara umeona ndio kero za wananchi nihizo nikero kwani hata muandishi unaongea kwakuwa nawe umelaniwa

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 місяці тому +1

    Misioni tatizo kama anafanya maombi ili wajifungue salama

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 місяці тому

    Wagalatia bana,wana wa kondoo, wakiteseka na wana wa simba tutaona mengi

  • @powerrecordszanzibar3384
    @powerrecordszanzibar3384 3 місяці тому

    ila Jamani mambo mengine uonevu tu, kwani huwa anawaita? ata kama anawaita huwa wakitoka kuenda akili zao huwa wanaziacha makabatini mwao?

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 місяці тому

    Wagalatia bana,wana wa kondoo, wakiteseka na wana wa simba tutaona mengi

  • @franklinelambileki6428
    @franklinelambileki6428 3 місяці тому

    Mamlaka yako au ya juu yako haitakiwi ???

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 3 місяці тому +1

    Sioni sababu ya kulifungia kanisa, nadhani mheshimiwa hakuelewa kwasababu taratibu ni kwamba mjamzito anaombewa kwanza kama kinga ya kujifungua salama hospital.

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 3 місяці тому

    wachunguzeAkili😂😂😂