jamani izo cheni zenyewe ni feki Hana uwezo wa kununua cheni original iyo cheni ni gred tatu au nne kama viatu kuna original number moja alafu number mbili tatu nne ndo izo cheni wanazo vaa wcb wakina mwambino na ao wasani wake
sasa mbosso anafulai sana siku akitoka WCB wakimwambia alipe amukataba wakutoka usije kulia kama harmoniz nae maana diamond kuku nunualia cheni za garama sio mchezo hizo ni pesa nyingi sana
Harmonize hakulia mbona alilipa wakakataa kumpa mkataba wake wa kufunga mkataba mpaka Magu akangilia. Harmonize alipata emotion alipoongelea yaliyomkuta akiwa WCB na sio hizo million 600. Mjifunze kufahamu kitu sio kukariri tu
Pole babu polepole usipatwe na pressure sababu ya mbosso 😅😅😅
Mweli kabisa jama anasema kweli
Kibega jay z is from USA not from europa
mbosso ❤❤❤
Mbosso ni njaa Hanaadabu kama alikotoka amesahauu basi let's move on
jamani izo cheni zenyewe ni feki Hana uwezo wa kununua cheni original iyo cheni ni gred tatu au nne kama viatu kuna original number moja alafu number mbili tatu nne ndo izo cheni wanazo vaa wcb wakina mwambino na ao wasani wake
Mboso utalia kilio Cha mbwa mbeleni Diamond nae ni mwanaadam ni MFANO wa kinyonga angalia sana Dogo
Mtu ukila shida mwanzoni mungu ajalie mbona usitambe # bora ni enjoy
Huyu kaka uogea ukweli ila yuwaogea nasira sana😂😂😂😂
Ukiona vyenye yuko sura kabla kupikwa hana sura
Hii inaitwa pata pesa tuone tabia zako😂
Wwww mbosso ucjuli baby ❤️❤️❤️🥰🥰😂😂😂😂
sasa mbosso anafulai sana siku akitoka WCB wakimwambia alipe amukataba wakutoka usije kulia kama harmoniz nae maana diamond kuku nunualia cheni za garama sio mchezo hizo ni pesa nyingi sana
Harmonize hakulia mbona alilipa wakakataa kumpa mkataba wake wa kufunga mkataba mpaka Magu akangilia. Harmonize alipata emotion alipoongelea yaliyomkuta akiwa WCB na sio hizo million 600. Mjifunze kufahamu kitu sio kukariri tu
Mboso anazingua
Kweli kabisa itakiwi uongee ivyo nizalau tunafaham kabisa
Matako yake😂😂😂😂
Uko rofa wew tuliya togo mutakufa
Hovyo kabisa 😂
Aaaaaah!! Seleman !!!!!!;
Muache kufeki maisha hasa nyie wabongo tz doh😮😮😮
Huu jmaaa kaongea point kwa kweli
Mbosso amejisahau kweli ilipotoka alafu unaanza kuropok
Mboso msenge na pua lake
Tutavaa cheni zetu za mabagala rangi tatu napete zakimasai zakizombi zombi mbona poa tu tunavimbanazo mtaani nawatu wanajua original
Ila penyewe mbosso kazingua ni usanii tu wakati ni aliimba shida
Mapua ya mepanuka
Hata hizo sio piwa
mbona jamaa anabweka sana kama katiwa kidole, hasidi ww, cheni ni jambo la kistarehe so km huna hela kwann uvae mabati
Mboso mchumba tu
Acheni kuwa wivu muwacheni mbosso atambe na yeye
Kesi sio kutamba
Kwan hapo anamwambia nan 🤣🤣
Umeongea mjomba pwent
Kajisahau dogo
Ayo yote mabati