H BABA AZUNGUMZIA SHOW YA RICH MAVOKO VIJIJINI; MIMI NILIPATA MILIONI 60

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2023
  • #hbaba
    #richmavoko
    #has_billion

КОМЕНТАРІ • 71

  • @lailalaila8206

    Jmn wa bongo mbon mnamambo iv mtu anatafuta ridhiki yake sio kuiba bado mnamsema na kumsakama why muachen na maisha yake

  • @bakarikisuda4948

    Hbaba Sijdah kubwa hereni sikioni, maneno yakinafki nabado maisha yanaenda freshi

  • @johnman4619

    Nye wasafi Boss wenu ndoameloga Richard mavoko akaona anaiba vizuri kuliko yy ushawi wa jealous ndomana haowi mara zuchu anamimba mara mapumbu mara mwaka huu niwangu kunabinadhamu anamwaka wasenge

  • @imeldastephano9221

    Kama Harmonize anavyojaza akiwapekee.

  • @josephvenus3259

    🔥🔥🔥 H baba uko vizuri. Piga kazi kaka usiwasikilize wasiokupenda. Tunapenda sana kazi zako

  • @user-lr6qx9df4z

    Kwani huyu kwa sasa ni msanii au chawa wa mond mie huyu jamaa wala simuelewi

  • @jamilaathumani5481

    Mshukulu mungu kwanza alafu ndo umshukulu binadam

  • @herittermupe824

    Sahizi diamond anakuwa mdogo yako siotena bosss

  • @alouisejohn7752

    H mama kamuulize domo boss wako

  • @izzahboe1442

    H baba acha ushoga na mindevu iyo

  • @Allystor

    Ndomjue Diamond alivyokua mshenzi kuwakandamiza wenzake unaweza usione kama Diamond anahusika lakn yeye ndio anaharibu maisha ya Rich Mavoko

  • @jebellwallace3509

    H baba umefanya mamuzi ya mana kuanza kusali,kumiliki jisida sio kazi nyepesi

  • @user-gb3pj6wc6v

    Acha majungu babu

  • @harmonize3059

    Kaka mtafute besti naso umuhoji kuusu shoo za huku kanda ya ziwa atakuambia mzuka wa wasukumba wanavyo wapenda sawanai wa bongo fuleva

  • @yasluhumilemohammed7461

    HB choko t unajifanay unampamba kumbe unafki t sema ukwel pale hakuna unyma wowote

  • @bonabonala5559

    h mama maku tu rich bingwa popote hata hapa dar tupo nae mkali rich mavoko

  • @kaifakih8018

    Duuu🔥🔥

  • @jumamussantuiche

    H baba muda gani? Acha kujikweza

  • @allykafuvi5186

    ❤❤❤

  • @AgatonyMayala

    😂😂😂😂 ila dulla