😢 shida wanalazimisha watu wangalie mkutano wa African anajua sisi kama kawaida tutamfatlia TUNDU LISSU 😂😂 kwahyo kama wanataka kutulazimisha unji itulie tuwangalie wao sawa mme tu tangulia 😂😂 2:08
Wangeongeo nao toka Jana na kuangalia nani alitangulia kuwa kwenye ratiba ubabe sio mzuri jeshi la polisi, nawashauri kuepukana nao waache wamalize vikao vyao kisiasa mtapata hoja pia zinazojadiliwa kwa manufaa ya taifa letu
Na Bado CDM na Mapolice wenu mtateseka san Miaka hii 10 ya tundu lissu mnaacha makakamate waalifu huko mnalinda Makao makuu ya Chadema Mmetumwa kwani Wamewaomba Muwalinde hovyo Kabisa
Sijawahi kuona wakiwaharasi CCM hata siku moja, huu ni ukoloni mamboleo futeni vyama vingine la sivyo msiwanyanyase mnawazuia mkutano wa ndani hii imezidi nje mbaya ndani pia hawaruhusiwi?.Hivi siku nchi ikiwa mikononi mwa chama kingine Polisi mtajiskiaje maana mnawanyanyasa sana
Hiki kitu mnachokifanya polisi watanzania wengi hatupendi sasa sijui mnafanya ili kumfurahisha nani na nyie wenyewe mnategemea kodi za watu mnaowanyima haki zao za msingi. Naomba Mungu asimame kati kwa hii nchi maana hii ni too much.
Yaani mapolisi Wanahangaika na CHADEMA pekee wanaacha Kihangaika na Majizi ya Mali za Umma AU Kukamata mafisadi na wahujumu Uchumi Kilawakati Ni CHADEMA Kuzuiliwa Kwanini WANAHANGAIKA NA CHADEMA PEKEE
Huo siyo uungwana Wakushikiwa silaha ni Chadema kila kukicha katika nchi hii kweli kuna kosa Gani Tena mkutano wa ndani huo ni uonevu Janani tatizo ni Nini hasa
Mungu wa mbingu na nchi yupo kazini kwakuwa watu wanajifanya wajuaji sana na wanaweza kila kitu yaani wao wamegeuka mungu wa nchi hii ngoja tuone kwakuwa Mpigania haki na pumnzi ya viumbe hai yupo kazini, so wehave to wait
Wanatumia nguvu kuididimisha chadema lkn niwaambie tu hiyo taasisi hata mfanye nn hamtaiua , ndio kwanza mnazidisha kuipaisha na kuifanya tuipende zaidi
Saround chadema with heavyly wipon head office of opposition is not good adier what are we sending to lntanationol who attending African leader in daresalama let Give tundulisu time control ground chadema unity
Nafurahi sasa hivi mnatumia plafrom yenu vizuri. habari za chadema zinatakiwa uwekwa hapa. Hatutakiwi kutegemea media nyingine. Kila kitu kiwekwe hapa msitegemea media nyingine hasahasa huu mwaka
Yani hii inchi sijuwi hawa police watajilekebisha nini, wanatamani sana vita hawa police maana kila siku kushika bunduki alafu watu wenyewe hawana silaha hata , watanzania wanajitambua na nyinyi zamuyenu kujitambua
JWTZ ina wajibu wa kulinda KATIBA ISIVUNJWE, sanjari na kulinda mipaka yetu ya jiografia ya nchi. Kwanini JWTZ inanyamazia hali hii ya UVUNJAJI WA KATIBU wa wazi kiasi hiki?!! Kwanini CCM kila siku inatumia JESHI LA POLISI kunyanyasa vyama vya kisiasa ambavyo vipo KIKATIBA?!!
Kwa sababu jwtz si wajinga leo mmetangaziwa watu wafanyie kazi zao majumbani isipokuwa police na afya tu sasa kuweka mkutano si ni kusababisha vurugu tu ebu kuweni waungwana hata kwa wageni
@@allymusira2153kwani huo mkutano ni wa hadhara au wa ndani ? Kama wamejifungia ndani kama wengine wanamkera nani ?? Azam na TBC na ITV nk wako kazini ndani kuna tofauti gani ?
Kuna watu katika Nchi hii wamekuwa wajinga kweli kweli. Watu wanataka kufanya shughuli zao za chama, wengine wanaingilia kati. Ushamba huu utakwisha lini?
Sasa chadema si wangesubili huo mkutano wa nishati uishe kweli chadema chama cha matukio na sasa wameacha siasa za kimkakati na wanaanza siasa za harakati ambazo zimepitwa na wakati na wakiendelea hivi watagika wamechoka sana
Mbowe namuaminia sana,ni mtoto wa mjini na huyu lisu ni mpori pori hakuwezi,mbowe kapoteza mali nyingi kwa ajili ya chama pia amekaa jela kwa ajili ya chama,leo anakuja mtu mwenye kuunga mkono ushoga anakuletea fitna,mbowe mtenegeneze uyo lisu ndio akujue mpaka akae sawa usikubali atawale icho chama ki rahisi rahisi tumia uzoefu wako kama mafia mzoefu.
TUNDU LISU is still man of the match...
Bado anaupiga mwingi dimbani..
😢 shida wanalazimisha watu wangalie mkutano wa African anajua sisi kama kawaida tutamfatlia TUNDU LISSU 😂😂 kwahyo kama wanataka kutulazimisha unji itulie tuwangalie wao sawa mme tu tangulia 😂😂 2:08
Wangeongeo nao toka Jana na kuangalia nani alitangulia kuwa kwenye ratiba ubabe sio mzuri jeshi la polisi, nawashauri kuepukana nao waache wamalize vikao vyao kisiasa mtapata hoja pia zinazojadiliwa kwa manufaa ya taifa letu
Polisi mnatumika vibaya waacheni watu wafanye yao muhimu wasivunje sheria za Nchi
Kwani lazima kufatilia mkutano wa nishat duuh😢😢😢
Kweli hawa pols ni watumwa kamili
Watu hawana Habari na mambo ya nishati wanataka chadema
Baadhi yenu wapumbavu wengi wenye akili zao hawahangaiki na ujinga huo
Huu ni uchokozi wa hali ya juu
😂😂😂😂😂😂😂 lissu kuwa makini mwaka huu unaweza pigwa hata bomuuu
Na Bado CDM na Mapolice wenu mtateseka san Miaka hii 10 ya tundu lissu mnaacha makakamate waalifu huko mnalinda Makao makuu ya Chadema Mmetumwa kwani Wamewaomba Muwalinde hovyo Kabisa
Endeleaeni kusifu ila huko tuna kwenda ipo siku tutajaribu amani yetu
@CharlesSomeke-p8m Kwan sasaiv kuna Amani?
Mie wala siufuatilii huo mkutano wa Nishati
Palikuwa kimyaa hatimaye kamanda kaliamsha Tunduuu
Haya ni matumizi mabaya ya jeshi letu la polis
Mbn wameva kama raia au siku hiz taratib zipoje kuhusu vazi ramsi la police
Huyooo no mwenyekiti tishio
Machawa dah
Tanzania my kantriiii
Sijawahi kuona wakiwaharasi CCM hata siku moja, huu ni ukoloni mamboleo futeni vyama vingine la sivyo msiwanyanyase mnawazuia mkutano wa ndani hii imezidi nje mbaya ndani pia hawaruhusiwi?.Hivi siku nchi ikiwa mikononi mwa chama kingine Polisi mtajiskiaje maana mnawanyanyasa sana
Ila kwel wfanye kufuta tu.. tuelewe moja. ... Ili mambo yakitokea yasiyoeleweka wananchi wajue
Jeshi lisilo na weledi ko chadema tu Kila cku waache uogaaa ccm wanalitesa jeshi😂😂😂😂😂😂😂😂
Nyie ASKARI mnatumuka vibaya sana mungu anawaona
Yaani aibu tupu nchi hii .Hiyo Demokrasia inayosemwa ipo wapi kama unamzuia mtu kwenye ofisi yake ndani?Shame
@@leokamil6284dimokrasia ndio nn? ebu nifahamishae na mimi nielewe hiyo kitu inayoitwa demokrasia
Ondoweni fisiem😂😂😂
Hovyo sana policeccm chombo cha chama cha ccm
Natabiri siku vichwa vitapata moto hii nchi maaskari mtatuambia vizuri.
Haya ndio maisha tunayo yatarajia kwa chadema, hekima imeenda zake😢
Na bado siku zinakuja hao dhalimu ht mmoja hatokuwrpo Mungu atashughulika nao
Hiyo yote ni kuzuia ili habari zisivume kama ilivyokuwa wakati wa uchaguzi. Shame on you serikali🥦 🥦.
Hiki kitu mnachokifanya polisi watanzania wengi hatupendi sasa sijui mnafanya ili kumfurahisha nani na nyie wenyewe mnategemea kodi za watu mnaowanyima haki zao za msingi. Naomba Mungu asimame kati kwa hii nchi maana hii ni too much.
Au ndo amri kutoka juuu???
Yaani mapolisi Wanahangaika na CHADEMA pekee wanaacha Kihangaika na Majizi ya Mali za Umma AU Kukamata mafisadi na wahujumu Uchumi Kilawakati Ni CHADEMA Kuzuiliwa Kwanini WANAHANGAIKA NA CHADEMA PEKEE
Huo siyo uungwana Wakushikiwa silaha ni Chadema kila kukicha katika nchi hii kweli kuna kosa Gani Tena mkutano wa ndani huo ni uonevu Janani tatizo ni Nini hasa
Pameanza kuchangamka mnaingia kwenye mfumo WA Lisu
Police tafuteni kazi za kufanya acheni huo ujinga hauna maana yoyote
Mungu wa mbingu na nchi yupo kazini kwakuwa watu wanajifanya wajuaji sana na wanaweza kila kitu yaani wao wamegeuka mungu wa nchi hii ngoja tuone kwakuwa Mpigania haki na pumnzi ya viumbe hai yupo kazini, so wehave to wait
Taratibu taratibu Tu wataanza kuingia kwenye mfumo
MUNGU IBARIKI TANZANIA DUUUH
Mkutano wa Afrika walioulazimisha uje Tanzania kumnadi samia ili aonekane anakubali hata mmleta Viongozi wa Dunia samia must go
Nishati haipatikani kwa makongamano
What?
Hao siyo polisi
Haki uhinua Taifa
AANAEFAIDIKA SAMIA SULUHU NA FAMILIA YAKE, HAYA MJINGA YA POLISI YANAPOTEZA NGUVU ZAO KIJINGA TU!
Miaka sitini ya uhuru tz utawala bora ndio huu
Mama Samia hapo una haribu .acha watu wafanye siasa kwa uhuru.Hii ndiyo democrasia mnayotangazia watu kuwa mnaimini?
Huo mkutano wa umeme ajabu miaka 60 hujaeneza umeme. Ati miaka 5 utaweka umeme kote😂😂
Mambo ya ajabu hayo
Wanatumia nguvu kuididimisha chadema lkn niwaambie tu hiyo taasisi hata mfanye nn hamtaiua , ndio kwanza mnazidisha kuipaisha na kuifanya tuipende zaidi
Kuna uhusiano gani Kati ya mkutano na kikao cha chama? Hawa polisi wamezoea huo utumwa but ni swala la muda tu
Sasa huko Duniani itajulikana huu ukandamizaji wa uhuru katika habari !!
Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa
Saround chadema with heavyly wipon head office of opposition is not good adier what are we sending to lntanationol who attending African leader in daresalama let Give tundulisu time control ground chadema unity
Mwambieni lisu awasaidieni Sasa SI mlisema anaweza siasa za mikikimikiki
Mhh nongwa
Nafurahi sasa hivi mnatumia plafrom yenu vizuri. habari za chadema zinatakiwa uwekwa hapa. Hatutakiwi kutegemea media nyingine. Kila kitu kiwekwe hapa msitegemea media nyingine hasahasa huu mwaka
Ila.....
Yani hii inchi sijuwi hawa police watajilekebisha nini, wanatamani sana vita hawa police maana kila siku kushika bunduki alafu watu wenyewe hawana silaha hata , watanzania wanajitambua na nyinyi zamuyenu kujitambua
Omb3nii sana mungu wana ccm ningalikuwa na uwezo ayh ...mwahusika nn uko kama si wenge 2
JWTZ ina wajibu wa kulinda KATIBA ISIVUNJWE, sanjari na kulinda mipaka yetu ya jiografia ya nchi.
Kwanini JWTZ inanyamazia hali hii ya UVUNJAJI WA KATIBU wa wazi kiasi hiki?!!
Kwanini CCM kila siku inatumia JESHI LA POLISI kunyanyasa vyama vya kisiasa ambavyo vipo KIKATIBA?!!
Kwa sababu jwtz si wajinga leo mmetangaziwa watu wafanyie kazi zao majumbani isipokuwa police na afya tu sasa kuweka mkutano si ni kusababisha vurugu tu ebu kuweni waungwana hata kwa wageni
@@allymusira2153Rudi shule tena ya msingi.
@@allymusira2153kwani huo mkutano ni wa hadhara au wa ndani ? Kama wamejifungia ndani kama wengine wanamkera nani ?? Azam na TBC na ITV nk wako kazini ndani kuna tofauti gani ?
YANI BABA YAKO ANAWAGENI WEWE UMEFUNGA MAIKI UNAPIGA KELELE UNATAKA KULETA AIBU MBELE ZA WAGENI NIUTOVU WANIZAM
Kuna watu katika Nchi hii wamekuwa wajinga kweli kweli. Watu wanataka kufanya shughuli zao za chama, wengine wanaingilia kati. Ushamba huu utakwisha lini?
Wakoloni hawakwenda wote
Nchi ya ajabu sana hiii sasa huu unyanyasaji waacheni watu wawe huru mbona ccm mkiwa kwenye mikutano yenu hawaji hawa police
4 R izooo
Sasa chadema si wangesubili huo mkutano wa nishati uishe kweli chadema chama cha matukio na sasa wameacha siasa za kimkakati na wanaanza siasa za harakati ambazo zimepitwa na wakati na wakiendelea hivi watagika wamechoka sana
Kila mtu ana rayiba yake
Mda mwingine selikali ze2 zinakua za kishamba sana
Kama Mizezeta 😂
Makamo wa rais mpango hawo ndiyo l wangefaa kuongoza CCM.hata mimi ningekubari huyo mh ameona hataki kuongoza mabavu ni mtakatifu.
Kweli polisi na hao watuma wameishiwa
Kama taasisi zote leo wameambiwa wabaki nyumbani hizi ni fujo tu mnataka kufanya
Kumbe ?
Jeshi alijitambui ilo unamzuia mtu asiingie ofisini kwakwe jamani ujinga uo mulilo wewe tuambie jishi la poli ni ccm
Tunalazimishana kufatilia nishati. Upuusi tu
1:06
Kwani hawajaenda kulinda mkutano wa nishati
Hii pi Ni Habari na tumeipata Sasa wameshindwa kuzuia msituambie na hii?
Wanapelekwa kama mazezeta police
Uhuni huu na ujinga utaendelea hadi lini? Tanzania imeshakua Uganda ya Museveni?
Wanajeshi wanatakiwa hapa
Mwarabu katika ubora wake.
Haya sasa. Tuone ile nguvu muliotumia kumutoa mbowe, mtaitumia kupigania haki yenu na police
Hivi Kuna nguvu iliyotumika kumtoa Mbowe ,inaonekana mlipata shida mlipo ona Mbowe chaguo lenu haja pita !!😅😅😅😅
Acha mawazo potofu
Oyo mbowe mwenyewe alishapelekwa mpaka jela
Serikali ya ccm matatizo sana 😂😂😂😂😂😂😂
Policccm kazi mnayo hata asiyesoma shule anajua ninyi ni ccm na sio polisi
Ccm imeshashindwa kabla haijaingia uwanjani bao la nje hilo
Polce wamevaa nguo za nyumbani
Watu wote watawalisha kwenye nishati waemde wakaliwe na inzi
Mkutano wa ndani
Mumeona serikari wanavyo hangaika
Watu hawana mpango na nishati. Wanataka refomrs
Ni ujinga kama ujinga mwingine
Polisi njaa
Ebu afu eti maliziano upumbavu sisiemu mavi kabisa
Aibu tupu.
hivi nikawaida asikali kuvaa vilemba au kukamata watu bila kuwajulisha
Hii ndio tz
Mkiwa na polisi kama hawa basi kazi ipo.
Huuu ndo mwisho wa sisiemu
Nchi inajambo la kitaifa ni muhimu watu wakajua,chadema acheni kuwaadaa watanzania hamta ingia ikula kwa kiki za kijinga kama hizi
Pameanza kuchangamka
Hawa wangepelekwa Goma
Itisheni maandamano nchi nzima
Limrilo ni janga la taifa
Ccm tatizo tazanzia wametuumiza mno
Mbowe namuaminia sana,ni mtoto wa mjini na huyu lisu ni mpori pori hakuwezi,mbowe kapoteza mali nyingi kwa ajili ya chama pia amekaa jela kwa ajili ya chama,leo anakuja mtu mwenye kuunga mkono ushoga anakuletea fitna,mbowe mtenegeneze uyo lisu ndio akujue mpaka akae sawa usikubali atawale icho chama ki rahisi rahisi tumia uzoefu wako kama mafia mzoefu.
Wamekufa watu we unasema kukaa jela,
Ndio nn hiki unaandika chuki itakutafuna na mwisho ubaki na vidonda moyoni,mpangaji ni MUNGU tu.
Sasa wamefata nini hapo kama sio ukandamizaji
Polisi watanzania mbona hamjui wajibu wenu lengo nikuzoofisha
Chadema walisema Mbowe kalamba asali ndo maana ni mpole. Haya sasa wako Tundu Lisu ambaye ni mkali akaoambane na hao polisi tuone
Umeumia mbowe kukosa kiti?