Maadili Ya Wasanii Papa Mashana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2024
  • Mwimbaji huyu ameamua kutengeneza wimbo huu na kuubatiza jina la MAADILI YA WASANII
    akiwa naamana Wasanii wengi wamekuwa wakitengeneza nyimbo zenye ujumbe usiokuwa na maadili kwa jamii na kuufanya mziki wa asili uchukuliwe kama mziki wa kihuni na wawatu wasiokuwa na nidham wengine kuwachukulia kua wanavuta bangi ama wanalewa kwanza ndio wanarecord nyimbo hizo tafasili ya kiitikio kilichobeba ujumbe wanyimbo hii ya Papaa Mashana
    1* Usanii nikuelimisha jamii sio kupotosha jamii
    X2
    2* Tuimbeni nyimbo za ujumbe wasanii wazielewe watu
    X2
    hiyo ni baadhi ya mistali iyopo katika nyimbo ya Mwimbaji huyu
    JE NI KWANINI JINA LA UJUMBE HUU UKAWA MAADILI YA WASANII
    Kuna Baadhi ya waimbaji walifanya mziki wa asili upotee kwenye ukweli na uonekane ni mziki usio na maadili Mfano kuna msanii alivuma na kutamba sana huku akimtukana #Mh.Rais Ambae mpaka leo alihukumiwa kifungo cha miaka Jela au faini ya 10Milions na kuna wasanii wengi tu walikuja kwa style kama hizo mfano kuna msanii mwingine alikuja kwa njia ya kuwatukana wasanii wengine wanaomzidi jina huku akiamini ndio njia raisi yakufikisha na kumtambulisha ila aliambulia kutengeneza chuki na bifu na wasanii wenzake msanii huyo aliitwa #DoubleG na msanii mwingne alievuma kwa stylee hiyo ni mwimbaji maarufu #Mjukuu wa mwanamalond ‪@Wazimamoto‬ Pia akagusia Hadithi ya muimbaji mwingine Aliejizushia Kifo alipoona jina lake linaelekea kupotea alijizushia kifo na akawahonga wasanii wenzake ili wamtangazie kuwa kafaliki dunia na kwakushilikiana nao aliizimisha simu yake kwa muda usiopungua Wiki Tatu baada ya hapo akaja na wimbo ulitambulika kwa jina #SIJAFA #NIKO #HAI msanii huyu ni maarufu kama umemjua mtaje hapo kwenye Coment
    Je Unahisi MAGODI ZE DONI alikua yupo sawa kutangaza bifu lake kwa umma na mpaka kufanya video ya wimbo huo basi niandikie hapo kwenye Coment alafu utoe ushauli wako juu ya waimbaji wenye stylee kama hizo za kuwatukana waimbaji wengine wakiisi ndio kujiongezea jina na umaalufu
    Je. MJUKUU WA MWANAMALONDE yuko sawa kuingilia bifu hilo na kufanya wimbo unaolenga bifu hilo na kuelezea maisha ya MAGOD ZE DONi Niwekee kwenye Coment
    MSANII HUYU AMEOMBA KWA WASANII WENZAKE NA KWA MASHABIKI ZAKE
    1.Kwa mtu yoyote nitakae muudhi naomba anisamehe na kwa binadamu sote hukosea na wate nia maua huchanua kisha hunyauka sio kwa ubaya ni ujumbe tu na kama itakugusa ichukulie kama ushauli kwako ujifunze nawe ukawaelimishe wengine
    2. MSANII HUYU AKAWAULIZA SWALI MASHABIKI ZAKE .
    Mimi ni mwimbaji wa miaka mingi tena ninatoa nyimbo zenye ujumbe
    je nikwanini hamnipi saport au mnapenda nyimbo zisizo na maadili ndio mnasapoti
    ila sio nyimbo za kuelimisha na kuifunza jamii inayotuzunguka
    AUDIO STUDIO #KISHILIRECORDS
    UPOLOAD BY
    BLACK NYENE BAROZI WAWATU WEUSI
    CONT:+255789811605
    KARIBU KWA HUDUMA YA VIDEOSHOOTING VIDEOGRAPHER NA PHOTOGRAPHERS
    NA MATANGAZO MBALI MBALI
    CREATED BY VIGA MOTION 0789811605
    BAROZI WA WATU WEUSI AKAONGEZEA NENO HAPO CHINI
    Naombeni waimbaji na wasanii wote tufanye kazi ya kuelimisha jamii na matukio yanayotokea akatika maisha yetu ya kila siku na sio kutengeneza nyimbo zisizokua na ujumbe wowote mfano nyimbo ya mwimbaji ‪@kisimamajabala135‬ ‪@bhudagalamwanamalonja9582‬ naomba mfate njia zao na amini tutafika tu safali baado sana nyimbo yenye ujumbe huwa inafanya vizuli muda mchahche na baada ya hapo inachuja ila nyimbo yenye ujumbe kamwe haipotezi zadha yake By Director Black Nyene (Barozi wa watu weusi)

КОМЕНТАРІ • 6