KUCHEZESHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 443

  • @kilimanjaromeditationfrequ7871
    @kilimanjaromeditationfrequ7871 4 роки тому +99

    Joti mtu m- bad sana kwenye sanaa ya kuchekesha! Kama unampenda Joti na unamtakia mema zaidi gonga Like hapa!

  • @ngapicsonvilla362
    @ngapicsonvilla362 4 роки тому +119

    Tunaomkubali #sopa akiwa boss like twende sawa.

  • @jaytheboy2393
    @jaytheboy2393 4 роки тому +43

    Tuliocheka kwenye tangazo kama mimi 🤣🤣

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 роки тому +78

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 *Nani kacheka kwenye Chungwa aisee*
    🔥🔥🔥🔥🔥🏃🏃🔥

  • @juliusfrancis1525
    @juliusfrancis1525 2 роки тому +4

    MB zangu zinaisha ila sijutii wanangu me nacheka kinomanoma mpaka majirani wananimaindi 🤣🤣🤣🤣

  • @geofreyjackson6027
    @geofreyjackson6027 4 роки тому +17

    Sopa kwenye upande wa kuwa DON namkubali😂😂😂😂🤣🤣🤣

    • @paulmgoli4853
      @paulmgoli4853 4 роки тому +1

      Geofrey Jackson nilivyosikia cheko tu nikataka nije kucomment hvy hvy umeniwahi kaka 😁

    • @maccqeyjr.4035
      @maccqeyjr.4035 4 роки тому +1

      😂😂😂

  • @dtv6734
    @dtv6734 4 роки тому +38

    "Nna pesa nyingi alafu matumizi Sioni"
    😂😂😂

  • @nindwakulwa9998
    @nindwakulwa9998 4 роки тому +57

    Wangapi tumeinjoy kweny chungwa😁😂😂

  • @JosephineKisidi-nw2nf
    @JosephineKisidi-nw2nf Рік тому +3

    Mimi sitaki advance nakupa Pesa yote😂😂

  • @abdulwahidmsellem1998
    @abdulwahidmsellem1998 4 роки тому +3

    😂😂🇹🇿👌👌mavi ya kukuu,joti mjinga kweli yaani

  • @gracekatani3669
    @gracekatani3669 4 роки тому +34

    😂😂😂😂😂 nimecheka tu hilo tangazo la chungwa

    • @jamalmohamed2382
      @jamalmohamed2382 4 роки тому +1

      Ata mm nimecheka, the guy ni genius

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 роки тому

      MKE AWEKWA BONDI KISA...
      👇 bonyeza kisha subscribe
      ua-cam.com/video/61QkURlGDgY/v-deo.html

  • @jeffdavid6025
    @jeffdavid6025 4 роки тому +3

    Daaah uyu jamaaa ana ongea kipesa kweli😂😂😁..mmetisha.

  • @elishabenard641
    @elishabenard641 4 роки тому +13

    Boy you are creative..thank God for people like you who makes us laugh

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 4 роки тому +10

    🤣🤣🤣nimependa tangazo la mwisho chungwa limepotea 😜

  • @vanessadahnilly8551
    @vanessadahnilly8551 4 роки тому +8

    Sijacheka pote nimecheka kwenye tangazo tuu 😂😂😂😂

  • @galusijerome5763
    @galusijerome5763 4 роки тому +1

    Safi sana bro unajua kuwapa mashabiki zako kitu kinachostahili asubuhi ukapata malalamiko jion mzigo mpyaaaaaa umeutupia asante sana bro

  • @juliusfrancis1525
    @juliusfrancis1525 2 роки тому +1

    Tumeshaelewa kwanini ulimskia na mbwembwe zake ukaamua kutoka na chapati. Kumbe muhudumu wamjua kichaa mwenzako 😆😆😆😆

  • @hellennjeri2431
    @hellennjeri2431 4 роки тому +4

    😂😂😂😂 Hapo kwa chungwa 😭😭😭😅😅🤣🤣

  • @missdija4959
    @missdija4959 4 роки тому +10

    We ndo miss buza eeh😂😂🙌🏻

  • @africabeautfullbeautfull1214
    @africabeautfullbeautfull1214 4 роки тому +1

    Sa itakuaje kwenye hilo chungwa😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😅😄😃😆😀

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому +3

    Hahahaha huo mchapati aisee ni hatali 😂😂😂😂😂

  • @zikuboy7330
    @zikuboy7330 4 роки тому +3

    hahahah joti umechoma,, umezingua kumwambia boss

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 роки тому +2

    🤗🤗🤗😁😁😁😁🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Tajiri wamepatia as always JAMANI SOPA unanikosha. Wasikutoe hiyo position!

  • @kelvindidas3612
    @kelvindidas3612 5 місяців тому

    Ila sopa anapatia sana as Boss 😂😂 "hapana bhna ujielewi!!"

  • @nonenone4954
    @nonenone4954 4 роки тому +3

    Joti uko juu sana👍

  • @stevenbugas7554
    @stevenbugas7554 4 роки тому +4

    Eti wewe ndo miss buza😂😂😂😂

  • @nickyciza
    @nickyciza 4 роки тому +3

    Good Low thirds big up mr director

  • @marvissimbaya8406
    @marvissimbaya8406 4 роки тому +7

    Cheko la sopa🤣🤣🤣

  • @pingu9994
    @pingu9994 4 роки тому +3

    Nakubali joti

  • @truthnafact9081
    @truthnafact9081 4 роки тому

    Tuandike Bety....aaaa we ndo miss Buza...! Bagamoyo Sanaa group

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 роки тому +1

    daaah chungwa Nouma Sana'a mmenifanya nimecheka kwa sauti mbaka nje wamesikia joti na chungwa.

  • @johnsaid9143
    @johnsaid9143 4 роки тому +1

    TV hiyo Boss hajaniambia 😂😂😂😂😂

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣miss buza jomoniiiiiiiii

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +1

    Noma sanaaa 👊 👊

  • @Tech-ol3dp
    @Tech-ol3dp 4 роки тому +22

    Nouma san nan ameona chapat kam ungo
    😂😂😂

  • @thierryngoye4956
    @thierryngoye4956 4 роки тому +1

    Sopa ,Nishai ,Kipande : Tunawafuata 5/5 Burundi kwa kaziyenu munayoyifanya Big up sana

  • @pigapesa2366
    @pigapesa2366 4 роки тому +4

    Hii ni True story.Kuhusu vijana wa leo...hata Mimi huwa nachezesha Sana tena Sana...😁

  • @ashahamad4624
    @ashahamad4624 Рік тому

    Saaaaafff joti mungu akupe long life aseee

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому

    Hiii og iko pow haikwami kwami safi kwa kureta kaz nzur

  • @babadee4785
    @babadee4785 4 роки тому +41

    Asee joti hebu toa part two yake hii tuone mziki wa demu utakavokua hapo dukani baada ya sopa kuchovya utambi Bagamoyo alafu TV haijawa delivered kama ilivyotarajiwa. I hope wazo langu litafikiriwa 😂

  • @jamalmohamed2382
    @jamalmohamed2382 4 роки тому +4

    Wapumbavu we kwanza mpo😂🤣🤣😂🤣🤣

  • @neemaneema6825
    @neemaneema6825 4 роки тому

    yaani.sopa
    Ninoma.kicheko.tu🤣🤣🤣

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 4 роки тому +1

    Nna pesa nyingi alafu matumizi sion 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saddamally20
    @saddamally20 2 роки тому

    Nakukubali bro, all the way from 🇰🇪.

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jaman ilo gar cjui wameazima wapi...mko vizur sopa kama JB vile

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 4 роки тому +5

    😂😂now that’s what’s up 👏👏💯

  • @theturner2241
    @theturner2241 4 роки тому +1

    Kuchezesha kote kule elfu 5😂😂😂

  • @godfreymahavile4688
    @godfreymahavile4688 4 роки тому +1

    Nimeanza kucheka kabla ya kuangalia 😁😁😁😁😁

  • @mozzaliuleiza9288
    @mozzaliuleiza9288 4 роки тому

    Aisee maisha ya kuigiza safi eti chukua hizo milioni 100 wape vijana hapo mtaani

  • @alloiceallex5191
    @alloiceallex5191 4 роки тому

    Huwoooo ndio mwendo wawenye nyodo wataliwa tu mwanaume akili mukichwa kwann upate shida akili ndio mpango joti noma sana

  • @MARTIN_LE
    @MARTIN_LE 4 роки тому +8

    Wewe njo miss buza 🤣🤣🤣

  • @msafitv8663
    @msafitv8663 4 роки тому +3

    Eti we ni miss buza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 4 роки тому

    Nimelipenda hilo tangazo la first assurance

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 4 роки тому +12

    Nimeona chungwa tu apo 😂😂

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 роки тому +1

    Mm kabla sijaona vitendo vya joti, dressings zke tu zaniacha hoi taabani msuruali Na mshati🙆‍♀️🤣🤣🤣

  • @akachamilionare8434
    @akachamilionare8434 4 роки тому

    Don corleon Sopa kwa ubora wake alafu kicheko cha kitajiri😂😂😂

  • @donme9308
    @donme9308 4 роки тому

    "aaaa wee ndo miss buza "😆😆😆

  • @thegoldendeer4736
    @thegoldendeer4736 4 роки тому +1

    Mmeyumba sana Leo... Mnakuja kuweka video saa izi

  • @abuukhaled
    @abuukhaled 4 роки тому +3

    Mzee baba leo ilkuaje
    Ulkuwa ushatuekea mzigo morning hlf ukaufuta

  • @baronommy1014
    @baronommy1014 4 роки тому

    ila sopa kicheko chako dah😂😂😂😂

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 4 роки тому

    Hahaa mmeniku mbusha mbaaali dada yangu bwana ake alikua anakuja nakamba anapima sehem yakabat na TV Alafu hanunui adai ajalipwa naserikali Ana idai ye injinia. Akiondoka atakumi ampi hahaaa Ana mwambia ngoja nilipwe hahaaa anakula zigo tu hahaaaa jot safi nawapongeza

  • @bettymash6181
    @bettymash6181 3 роки тому

    Jamani somo yangu Betty adanganywa live and direct 😂😂😂😂😂😂

  • @Jackhanstv
    @Jackhanstv 4 роки тому +1

    Joti noma sana kama unampenda gonga like. ....

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 2 роки тому

    Hio million mia wanunuelie vijana mandazi na vitumbua hapo mtaani😂😂😂😂😂

  • @dfinalvillageking4864
    @dfinalvillageking4864 4 роки тому

    Huyu jamaa anawezea sana hiisehem ya kitajiri huwa kicheko chake bana ni noumaaa

  • @geofreykitundu1326
    @geofreykitundu1326 4 роки тому

    Aliye ona chapati ya buku tujuane😀😀😀

  • @eliemoses138
    @eliemoses138 4 роки тому

    Muonekana Umekuwa angavu saana ....big up wakuu

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 4 роки тому +1

    Aaaah we ndo miss BUZA 🤣🤣🤣

  • @jumapoyongo
    @jumapoyongo 4 роки тому +10

    #sopa hyo characterization huwa unaipatia hatar 😂🙌

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂Ila joti

  • @starjay3052
    @starjay3052 4 роки тому

    joti acha ujinga mis buza tena 👉🤣🤣😂😂

  • @salumabdallah4207
    @salumabdallah4207 4 роки тому

    Dahaaaaa kamgeuzaaa mchugwaa anajuaaa joti Sana yan

  • @ramarite4841
    @ramarite4841 4 роки тому

    😂😂😂😂😂 uyu ashanchanganya

  • @abrahamyohana9267
    @abrahamyohana9267 4 роки тому

    Nakukubali sana joti

  • @lucymayelias3114
    @lucymayelias3114 4 роки тому

    😂😂😂😂boss unanikoshaga

  • @eddykelly3801
    @eddykelly3801 4 роки тому

    Sopa ni noma big up broo

  • @aloycevalentine1631
    @aloycevalentine1631 4 роки тому +1

    Hahahah chapati xh ngapi hiyooo !!!"eti vitu vya ndanii"

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 роки тому +1

    HISENSE 😁😁...haisensi

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 4 роки тому +1

    Bora hilo tangazo linachekesha, eti kashanchanganya🤣🤣

  • @abdallasalim2830
    @abdallasalim2830 4 роки тому

    😂😂😂😂😂baba atabaki kua chungwa milele mana hajulikani nichungwa gani yamechanganyika

  • @sharifumaliga89
    @sharifumaliga89 4 роки тому

    Baba amechanganyikana na machungwa🤣🤣

  • @jssaa4733
    @jssaa4733 4 роки тому

    sopa msenge😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @beautylicious6165
    @beautylicious6165 4 роки тому

    Mrudishe mtu wawatu eti washanichanganya😅😅ila i can feel maumiv ya huyo demu jmn akigundua wamemchezeshea

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 4 роки тому +1

    Sku iz naona nishai anatrend sana kuliko babu,andunje na joti

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechekaa dah

  • @khalfannyanje8970
    @khalfannyanje8970 2 роки тому

    sopa akiwa tajiri bana hahahhahahaha

  • @hafidhbanks864
    @hafidhbanks864 4 роки тому

    Amenichezeshea na mm nikachezesha.........km mido😂😂

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 4 роки тому

    Buza pananini jamani 😀😀😀

  • @mrishorajabu998
    @mrishorajabu998 4 роки тому

    We ni mis,,,buza😁😁😁

  • @yahyakabaila
    @yahyakabaila 4 роки тому

    Joti na crew yako 👍. But mazee leo morning nimekaa nasubiri notification naona kimya. Thanks keep it up

  • @JerryMpex
    @JerryMpex 4 роки тому +1

    Wewe ndio miss buza😁

  • @benclaude9910
    @benclaude9910 4 роки тому

    Nakubali🥀❤😂

  • @jenifersamwel8990
    @jenifersamwel8990 4 роки тому

    😂😂😂 million mia gawia vijana hpo mtaaan uwiii

  • @aloycevalentine1631
    @aloycevalentine1631 4 роки тому +1

    Jotii, kuna mwengine anataka kugeuzwa ndimu ukuu, hihiiiii hahah

  • @smartcharles492
    @smartcharles492 4 роки тому

    TV ya kisses hahaha wanaume bhnaa kwa kuchezesha atujambo

  • @amoursaid8340
    @amoursaid8340 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂 balaa wenye chunguza apo

  • @Davidsamson-o9r
    @Davidsamson-o9r 4 роки тому

    We jot mbona ujawapa ctakabadhi😄😄

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 4 роки тому +1

    Hahaha Joti Mseeeeeenge kweli Kweli hahahaha
    Haya Ma'Idea unayatoaga wapi Weweeee?😄

  • @zainabukassim9924
    @zainabukassim9924 4 роки тому

    Hebu mungu akujaalie sopa upate utajili maana...hehehehehee

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 4 роки тому +1

    Hahahahaaa Joti noma sana