Jinsi ya kupika mchuzi wa nyama wa kukaanga | Lamb curry
Вставка
- Опубліковано 21 сер 2024
- ____________________________
✔Shuna's Kitchen
__________________________
For more updates please join my social media family ❤
✔instagram: @jifunze_mapishi 👉 / jifunze_mapishi
✔Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
__________________________________________
✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com
__________________________________________
✔More videos to watch - Shuna's Kitchen
katlesi za nyama/Mince potato chop: • Katlesi za nyama - Min...
katlesi za samaki/Potatoe and tuna kebab: • Katlesi za nyama - Min...
kachori/Potato balls: • Kachori za viazi - Pot...
Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia sambusa/Homemade samosa wrapper: • Jinsi ya kutengeneza m...
Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia spring rolls/Homemade spring rolls wrapper: • Jinsi ya kutengeneza m...
Jinsi ya kutengeneza sambusa za viazi/Vegetables samosas: • Sambusa za viazi kwa k...
Jinsi ya kutengeneza mikate ya mofa/Muufo bread: • Mikate ya mofa - Muufo...
Jinsi ya kupika mikate ya ufuta/Sesame bread: • Mikate ya ufuta - Sesa...
Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka bila kukanda unga sana/No knead soft chapatis: • Jinsi ya kupika chapat...
Vipopoo vya nazi/Mini sweet dumplings in coconut cream: • Vipopoo/Vitobwesha - M...
Jinsi ya kuandaa shawarma ya kuku/Chicken shawarma: • Jinsi ya kuandaa shawa...
Jinsi ya kupika maandazi ya iliki malaini/Cardamom fried bread: • Jinsi ya kupika maanda...
Rolls za chapati na kuku/Chicken Chapati rolls: • Chicken Chapati Rolls ...
Jinsi ya kupika fish sticks/Fish stick kebabs : • Fish sticks - Tuna sti...
Jinsi ya kutengeneza masala ya chai/Tea masala powder: • Jinsi ya kutengeneza m...
Banzi za samaki na cheese/Tuna and cheese buns: • Jinsi ya kupika banzi ...
Mchuzi wa nazi wa kuku/Chicken breast in coconut milk: • Mchuzi wa nazi wa kuku...
Kuku wa sekela/ Sekela grilled chicken: • Kuku wa Sekela - Sekel...
Maandazi ha ufuta/Sesame fried bread: • Maandazi/Mahamri ya uf...
Mapishi ya vitumbua kwa kutumia unga wa mchele/ Rice flour mini cakes: • Mapishi ya vitumbua kw...
Jinsi ya kupika jicho la mke mwenza/Egg tuna kebab: • Mapishi ya vitumbua kw...
Viazi karai/Spicy fried potatoes: • Viazi karai - Spicy fr...
Muhogo wa nazi na samaki/Cassava in coconut cream: • Muhogo wa nazi - Cassa...
Uji wa shurba/Shourba/Oats and meat soup: • Uji wa shurba - Oats a...
Maharage ya nazi/Red kidneys beans in coconut milk: • Jinsi ya kupika mahara...
Uji wa ngano nzima:Whole wheat porridge: • Uji wa ngano - Whole w...
Mishkaki ya nyama/lamb skewers: • Video
Vibibi vya tui juu/Pancakes with coconut sauce: • Vibibi vya tui juu / r...
Jinsi ya kupika pilipili ya kukaanga/Hot chilli paste : • Jinsi ya kupika pilipi...
Chicken pockets: • Chicken pockets - Pock...
Jinsi ya kupika mikate ya bwana/Baked sesame bread: • Mikate ya bwana
#lambcurry #mchuziwanyama #shunaskitchen
Maashaallah..
Bay leaves ni majani ya mdalasini kiswahili..
Asante sana 👏
Wow! Asantee my dear... Kwa recipe nzuri.. 👏👍❤bonge la rosti! 😋
Tunao penda kupika tuna enjoy kupitia ww love u ❤️
Jaman hii kitu upate kwa ugali au chapati, mweeh!!!😋😋🤗.. kammaa najiona ntakavokula hadi sijielewi😋😋😋😋🙆♀️ #udambuudambwi
Hahahaha
Mashaallah.... Aunt naomba siku utengeneze na mchuzi wa brokoli
Maa shaa Allah dada Allah akupe Afya njema uzidi kutufunza mapishi
Ameen shukran
MashaAllah I adore ur dishes aki,
Looks yummy 😋 kwa chapati au maandazi 😋👌🏾
Kabisa. Asante sana my dear
Ilove your video shunas kitchen
Salam alekum mashaallah mapishi mazuri sana mm amina yaro kutoka kenya
MA shaa Allah bismilah Asante Sana kwa kutufunza kupika
wow..looks yummy thnks dear😍
mashaallah.. nzuri sana.. 💞👌
MashaAllah. Nzuri 👏🏼🙌🏽😋💐
Asante sana my dear
Ma Shaa Allah,,,Shukran dear
Waooooo ahsanteeeee Sana
Waoooo😋 lakini samahani dada mbona kama hujaweka chumvi ama haina ulazima
Mashallah...mate yashanidondoka tayari hpa nilipo
Thanks soo much am late but i appriciate ur recipe
Nimependa
Chakula chako chavutia kweli😋😋😋
Napenda mzur huwo
Ajisemea mjomba malost lost napenda mapishi miye tangu mdogo
Nipo kama ana mjukuu wa baba mkubwa ananganganiaga Kupika lost na anaweza weza
Mim ndo nawekaga hivyo nyama tangawizi na saum na maji naweka badaye ndio inavyotakiwa hata mamanasema
Nakaangaga vuazi au nyam
Mashaallah thank you
Thank you ilove your cooking style
MashaAllah
Shukran sis
Afwan dear. Shukran pia
Hongera mungu akuzidishie
Mashallah mamy mchuzi mzuri Sana
Mshallah nice
Thanks my dear 😋🤝
bay leaves ni majani ya mdalasini@shunas
Mashallah kama kawaida yako habibt😋thanks
Can this procedure be used in pilau??. Mimi natumia pilipili manga na Tumeric kuchemsha nyama. Kisha tangawizi na Kitunguu Saumu natumia kukaanga na kitunguu maji
That looks soo good 👌👌👌😋😋😋❤️❤️❤️
Thank you :)
Ma shaa Allah mchuzi huo tamu kwa mofa
Muw munatwambiy majin yaviung vizur
I'm salivating already
Ahsante sana,ila nisaidie bizari ya pilau ipoje tafadhali
MashaAllah chakila chavutia, nimependa hizo safuria zako ulinunua wapi dada.
Nimeanunua amazon
Asante sana
Umetuamulia dada asante sana 🙏
Karibu. Asante pia na wewe
nice
Thanks
Mashaallah
Mashaallh
Be blessed dr thank you
Mashallah allah barik
Dada unajitahidi kanzi nzuri
May she Allah Narendra u avio tielimisha wangu napika pia chakula Zako ziko yammy
Bonne recette marahaba👍👍
Je vous remercie :)
Mashaallah 😋
Ma shaa Allah
Dada curry powder kwa kiswahili inaitwaje hapo cjui nisaidie pls
Simba mbili
Simba mbili
🌹
Daaah! Asantee
Tafauti ya tomato puree na can tomato ni ipi plz?
Mashaa Allah🌺🌺🌺
mashaallah
Mashaa Allah
Mashallah
Wow ni poa sana
Yaan ni nzur sana
mashawahu mzuri utakuwa mtamu
Mashalla
Wow kipenzi tamuu
Bay leaves ndio majani gani habeebty
Looks 😋 👌
Mchuzi unavutia kweli jamani
Very delicious
Thank you :)
Woow yummy👍
Masha Allah😘😘😘😘
Shukran
Masha Allah asante dear
Jani la mvuje(jani la mchuzi)
Wow
mashallah
Yummy😋😋😋
N x s. Waalaykum
Q
D&s. Bebknammnkaá.w
,, ndKmmmssE.
...
We love you shunaa😍
Asante sana my dear 🥰🥰
Bay leaves ni majani ya mdalasini yaliyokaushwa
Asante sana
Sherry Hassan wow
Salam alekum
Das Essen scheint gut zu sein
Danke dir :)
Bay leave ni majani ya mvuje nimeijulia kwa @aromaofzanzibar
Asante, lkn mvuje nafikiri ni curry leaves
@@ShunasKitchen bay leaf sio mvuje wala curry leaf ni vitu tofauti
Thanks dear. Nimeona waliocomment wamesema bay leaves ni majani ya mdalasini, nilikua na wasi wasi ila sikua na uhakika. Curry leaves nilijua ni majani ya mvuje mana hata niki google yanatokea majani kama ya mvuje
asante sana :) naona Tesco.. upo Uingereza?
ndio
shukran kwa kuangalia
Yummy
nzuri mpenz ila mahitaj meng🤔😋
Umenitamanisha . Jamani .ukovizur Dada
Asante sana
Ni majani ya mdalasini
❤
Mashallah rosti linavutia shukran
It's bazili
Mashaallah😍 Shukraan😘
😋😋😋
Assalam alykum ni nini tofauti ya tomato pure na tomato ya kopo @shuna's kitchen
Tomato puree ni ile nzito (au ya pakti) wakati tomato ya kopo ninayozungumzia ni zile tomato zilizokwisha tolewa maganda zimehifadhiwa kwenye kopo zikiwa nzima au nyengine zimeshakatwa katwa.
Waalaykum msalam 🙂
@@ShunasKitchen ok shukran
😋😋😋😋
mashallah
Nimejifunza kitu kipya
Asante sana kwa kuangalia
lemon in already cooked? please why? what purpose does lemon have i really would like to know
Taste good!
Coz if u put lemon at first it will make the potatoes not to cook nicely they will be raw
Dera tunaomba mchuzi wa kababu pls
In shaa Allah nitajitahidi my dear
bay leafs ni feuille de Lorie kwa kifaransa
Kwa kiswahili yaitwaje
👏👏👏👏👏👏
😋😋
Wow em like kwanzaa
😍😍😍😍😍😍
Love u baby gal
Thank you dear for the love ❤
what is kitunhu maji sister
Onion 🙂
@@ShunasKitchen mash allaw dada yake asnte sana
Bay leaves ni majani ya mdalasini
Asante sana
Bay leaf ni majani ya nvuje kwa kiswahili
Nafikiria majani ya mvuje ni curry leaves