Magoli yote | Namungo FC 2-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League 09/02/2025
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- COME-BACK: Namungo FC wametoka nyuma na kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Dodoma jiji FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Wageni wa mchezo Dodoma jiji ndiyo waliotangulia kwa mabao ya Paul Peter kasunda dakika ya 21 na 31 lakini Namungo wakachomoa dakika ya 44 Pius Buswita na penati ya Erasto nyoni dakika ya 56.
Dah, marefa wanashusha hadhi ya ligi yetu, bahasha ni tatizo kubwa sana kwenye ligi yetu. Mpira wa faulo ulitakiwa kupigwa kuelekea Namungo kutokana na buswita kuunawa mpira kwenye box, unageuka kuwa penati kuelekea Dodoma Jiji. Tiefuefu imelala fofofo.
Tff kz yenu mnaiyona iyo ata mkijizima dataa tunajua mnamarefaa wa mchongo km matukio km aya kweli pakalini mazaifu ya leg yetu nima marefaa jitambueni viongozi utataki lawamaa
Yan,maana hata sisi tusio marefa hatuwez kufanya mistake za hovyo kama za hawa marefer
Hawa marefa hawa Mungu wamsamehe bure
Hii ndo inaitwa mechi imeisha salama lkn safari haikua salama poleni sana ndugu zetu wote
Bonge la mechi🔥🔥
Ipo kazii
Tanzania referees wanadhulum sana
Ligi la tz nafasi ya 4 kwa ubora marefa nafasi ya ngapi kwa ubora africa
Ndio maan mpira xpend
Maamuzi ya kutoa penati hayakuwa sahihi, nadhani refa wa kati angefanya mawasiliano na lines man wake kabla ya kufanya maamuzi,
Soka letu waamuzi bado sana
dhuluma za bongo bhana😂😂
Mtu kashika tena penati duuu hii ligi inabaraa
Awasamehe bure
Tm ya wazir mkuuuu pumbafu lefa umewaibia dodoma
Shikamooo marefaaa😂😂😂😂😂😂
Haaaaaaaaaa
Inahuzunisha na kuchekeshaaaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hhhhhhhh yan walioshika nd wamepewa penant jmn mh😅😅😅😅😅
Jmn dodoma wameonewa hakuna penat pale sijui wamuzi wetu wanakuwa wamelewa wanapochezesha mpira
Marefa noma yaani mechi zote za leo wamavurunda huku wametoa penati ya mchongo kule mwanza napo wamekataa gori 😂
Goli la wazi
Daah Penalty ya mchongo kabisaah
Usenge uko kwenye bodi ya ligi na Tff wote mavi
Hakuna penati hapo
mbona penati ya magumashi namungo ndo walishika mpira hao hao wakapewa penati hahahaha
Ligi ya tanzania haina mvuto tena maana rushwa inanguvu, Mimi niko marekani mkongomani sizani kama nitajisumbuwa kutazama ligii ya tanzania,marefari kama hawakufanyiwa atuwa mapema basi hiyo ligii itazikwa
Acha uongo mxukuma ww
@@IgombeyeDaniel😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama Tuko bongo manigaaa😂
Duh
Marefaa wakikuma snaaaaa baadhi Yao watuharibia ligi ytu tff hawaoni Kwan wakafirwe uko
😂😂😂😅
Usenge mtupu
Mwamuzi amejichanganya. Alidhani aliyeshika kwa mkono anazuia
Xx ramovic ule msem aliusem lig y2 Bado ndy hv cyo kumshambulia2 wlishaona madudu