Namungo FC 2-2 Dodoma Jiji FC | Highlights | NBC Premier League 09/02/2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • COME-BACK: Namungo FC wametoka nyuma na kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Dodoma jiji FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
    Wageni wa mchezo Dodoma jiji ndiyo waliotangulia kwa mabao ya Paul Peter kasunda dakika ya 21 na 31 lakini Namungo wakachomoa dakika ya 44 Pius Buswita na penati ya Erasto nyoni dakika ya 56.

КОМЕНТАРІ • 25