KAMA ULIKUWA HUJUI UTAMU WA NDOA ..MSIKILIZE @sheikh_abdulrazak_salum
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Nani amekuja hapa baada ya ndoa yao?? Congrats to u both
Mimi nimekuja hapa baada kusikia eti walifanya interview 2019😀😀
Shoga umbea utatuuwa 🤣
👆
Mi narudia tena HP diva alikufa kwa hii sauti
🤚
Kumbe Mambo yalianza hpa,alaa kheri inshallah
Haahaahaa
Shekhe Uweza Bila Vita 🙌🙌
Aya Sasa umpe Raha ya ndoa aone Utam wa Dunia
😂😂😂😂😂 Kumbe Sheikh alimwambia naku promise nitakufanya uone hii Dunia haina Thamani, love is everything 😉👌 Leo hii Mke na Mme Mashaa Allah 🙌 💕😍👏
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nawaona mbali Sana wawili hawa wote wanajua nini upendo kongole kwao ALLAH adumishe Ndoa yenu Inshallah 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
I love that this man warned you,don't try him! And you tried him and he proved it.Big up kwa Shem 😀
😂😂😂 ndege mjanja
Sanaa
@@marymalaika476 Unasa kwenye tundu bovu 🤔
Diva nice sn sheikh abdrazak kumbe ndio mumeo w hali Allah akufanyie wepes kla hatua
MASHAALLAH MUNGU MKUBWA YAANI NDOA IMEANDIKWA MBINGUNI NIMEWAPENDA SANA
Yaani when I play back this I prove my self that I'm a smart man enough to make mines happy and give peace of mind. Sheikh Abdul Razzaak Allah akujaalie umpatie mtoto huyu QUEEN ili umwin umzima mzima mpaka asahau kama kama kuna PESA HELA MONEY hapa duniani. You proved her wrong you did it and it's done.
Wow I love when the guy said never try me.... and Diva's laughter came deep from her deepest part in her heart.... Never say Never
And now they are wife nd husband what a coincidence 🤔
Nani kafika hapa Baada ya Harusi tujuane 😜 wambea
mimi naona drama tu hapo hakuna harusi
🤣🤣🤣🤣Tuko wengi tu
Kwa kweli mi nimeirudia nimeitafutaaa hatariii
Nipooooo
Mimi pia niko hapa baada ya harusi..kumbe wambea tupo wengi
Haya kumbee hapo diva ulikuwa hooiii hahaa safii hongera maa ndoa ni jambo lenye heri!
alikua hoi na chini kwake kulikua kunatoa maji Diva
Diva kwa sasa upo kwenye ndoa na bwana mdogo ! Naomba rudia tena kuangalia hii interview!!!
Oooh Mimi napenda mzungu oooh mimi napenda hela,kavuliwa kama samaki mjinga kwenye bahari
Umeonaye
Uyu jamaa alikuw anaongea kwa CODE sana mamaee😂😂🚀🚀
Yaaaani😂😂😂
Ukisikia doctor wa mapenziiii
😂😂chaliiii
Diva how do you feel when playing back this interview?
That is why never say Never! God bless your marriage🙏
Ha ha ha ha 😂😆
Hahahaha 😂😂😂😂
Watanzania tulokuja hapa baada ya ndoa tujuane jamany😂😂😂
Walikua wanajuana kitambo
Waah maajabu haya ...Diva umerogwa na huyu mganga🤣🤣🤣
How do expect to find true love, when all that you value is money?? There are things that money can't buy...love, happiness, peace etc
She was desperate advertising herself no wonder she's given her heart to this guy anyway wish you the best
Yes alot of women love those kinds of guys (the things he does kwa social media) that's why she saw a chance and took it to advertise her self , desperation too comes with her age
Hapa jamaa akamteka madam ❤❤
Imebidi nirudie interview ...Diva kajipiga🤗
Km mm 😆😁
😆me too
Weeeeuweeeee shekhee Abdulrazaq
Mashallah mshallah .kweli hatujui kesho yake leo waneoana
Love is everything fact
MashaAllah😍😍
Maashaallah shekhe mlete tumfanyie Duwa kadriaa
It seems this is the day Sheikh Abdul got into her heart
Hapa ulimwambia asikutry kumbe ulijua wasema nini🤣🤣🤣I salute you sheikh😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅
Nani alie kuja uku baada ya dizzim interview aksema alimuona kwenye lavidavi 🤩🤩🤩 kumbe 5 moth and 2days request marry him 😄😀😆
Niko hapa
Ilo ndo tatizo lako Diva na ukisubili ilo utazeeka adi unatembelea mkokoja omba Mungu akupe Mume mwema bc pesa si lolote wapo wanaishi kwenye majumba ya kifahali wanatembea na michepuko bodaboda yote wanakosa vitu adimu itakayowafanya mioyo yao itulie
Jamani sheikh amemuoa diva...sheikh wangu amenichanganya
Siku ukisema mapenzi kwanza kisha pesa ndipo utakapoolewa tofauti na hapo utachezewa kwa kutamanishwa pesa Kisha uachwe. Unanini wewe Mungu akupe vyote kwa ukubwa unaouhitaji? Pata pesa kidogo na Mapenzi uyapate sasa wewe au kama unachagua pesa tafuta pesa mapenzi achana nayo. Kisicho ridhiki hakiliki na Mwenyezi Mungu ndiye apangaye huwezi kujipangia wewe unachokitaka kisha kiende kama ulivyotarajia Bali utapata vile vyote unavyostahili.
Jamani
Never try me Diva kazamaaa
Nimekuja hapa baada yakuskia wameoana
Diva ubadilike basi sasa muislam jistiri vizuri karibu WiFi yetu
Wanawake Kama Hawa ndio wanaoichafua dunia kwa tamaa zao fikrah zao ndogo hawajui thaman yao tafta pesa yako usiangalie pesa ya watu na jifunze kuwa unajaali Hali yako
Kumbe walipendana hapaa...Ukiolewa utafurahi..ahagaha
Kama umerudi hapa Tena after wameoana
Tuko 😆
So beautiful
Same name Ustad Abdirizak
Diva little did u know this was ur future hubby😍
Abdul kawasema wenzake hawajawahi kumfanyia mambo Mazuri Diva. Ngoja tuone yeye🤣🤣
Ila jama kajichanganya vibaya kwa huu mwanak kama poch yak haieleki hakika mzee utakuja nikumbuka baada ya myezi 6 badae ...dem anapenda hela kinyama
Wewe ujatulia wanaume wengi Ila pesa umeiweka mbele na kama unapenda utakutana nao Ila si Kwa upendo Bali kukichezea
Kwa hiyo huyu ndio kamuoa diva mke wa pili
this guy was so very serious when he told DIVA""don't try me""hahaaaaaa haaaaa
Yyani nikiwaangalia nafeeling kuna kitu kati ya. Wao kuwa mke na mune
Duuuuh!! Kumbe huku ndo mlikotokea 🤣🤣 kweli uchawi upo kutoka kwenye hela hadi kwenye maua meeeeeeeeengi😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimerud Tena kumuangalia hii baada ya ndoa na diva na huyu shehe
Kwa hiyo bado utaolewa na Mzungu 🤣🤣Duuuh tuchunge midomo
Kwa kwel🤣🤣🤣🤣🙌🏾
2023 gonga like 🔥
Naangalia baada ya ndoa👏👏👏
Jaman
Kumbe balaa limeanza hapa
Ninewapenda Diva na jiyu
nakupenda bure ww kaka
Nice interview 👌
Hatar ua-cam.com/video/QqwlWQPV7QA/v-deo.html
Kumbe maneno yalikukolea hapa
Ni kweli kbsa
👍
Nimerudi hapa bada ya kusikia uyu ndo mme wa diva akatowa mahali ya mauwa🤣🤣🤣🤣dunia hiyi hapana kwel
Nipo hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mganga huyu kitabu kimehusika ndoa ndani ya siku mbili tu Haina kufikiria Wala kuwaza
@@dotnatajoseph2620 ni hatar🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁😁😁
Chezea kilinge we😝
Wewe kaka Ni mzur
its true bt si kila ndoa
Alimpenda hapo hapo
✌️
minajiulizaga sana maswali kwauyu diva ivi ukimtizama unaona nikipi haswa kinampaga jeuri naujasiri wakukata wanaume eti anataka pesa pesa wakati sioni majabu kwake yanisioni sura huna shepu huna urefu hunamatiti yakusimama huna migu mizuri huna yanikila kitu huna 😀😀😀
Sheikh alimuelewa mpaka akachukua akaweka waaaaaa
Kumbe walianzia hapa😓
Kumbe walianzana taratiib hapa kila mtu akajua mwenzake anatamani nin dah mapenzi haya hatari
Ulicho dhamini pesa kwaiy sio love sometimes love it’s not money kwaiy sawa too ulivyo achwa by by 😅
kwa hiyo hapa ndio Diva ulitongozwa na huyu mganga
heheee Yani nimecheka kwanguvu,but diva kapatikana na alimambia Don't try me
Angekuja na mke wake
Wana Ndoa haooo 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Diva acha wakuchambe nilikua nakutegea kumbe ulijimalixa ivi🤣🤣
Wenye tumeletwa hapa na umbea tujuane
Umbea mtamu😂😂😂
Eti anajiita sheikh....Umalaya Tu kuwafunua waschana wa watu.
Yani hii intavyu ilikua nikutokozana nakujuana Sema Tu watu walikua hawajui
Tamaa mbaya diva uliingia choo Cha kiume pole yake ndo ukome
Umepata mganga na maua 🤣🤣🤣🤣🤣
mimi napenda heeela
Divapesa ndio kwaheri tulia upendwe🤣🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Umeona eeh
@@mishiruw9916 nakwambia shuhuli kwelikweli
Kwahyo hapa ndo mlikua mnatuigizia ee,anyway ndoa njema kwenu
Wao
Aliyerudia hiii story baada ya diva kuumizwa😢😢😅😅😅
Sasa imekuaje umemuoa diva sasa wakati ulisema una mke miaka 10 daa dunia simama nishuke😂😂
Uislaam unaruhusu wake mpka nne hajakosea kuwa na mke na kuongeza wa pili
Dada diva sijui umefanyiwa nini mwezetu mpaka umekuli, ukasahau,millions 500,😂😂
Duuh...Jamani tumetoka mbali Leo umemuoa diva😓😓😓
Kwaiyo kawa mkeo wa pili
Wameendana sanaa
😂😂😂😂sheikh Ni fisi mjaribu diva atatulia mwenyewe
What just happened !? 🙆♀️
Ulivyo kaa bata mzinga bado unachagua mtu Dada cc wenyewe tunakuchagua ulivyo kaa bata umetuna dada 😀
Nmecheka ile mbaya jmn duh 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mimi nimekuja Hapa Baada ya Wao kuachana
Kila anaeon huyu jamaa ni mnafki like hapa😂🤣😅😂😂
Kumbe jamaaa alianzia hapa 😄🤣😂
Ni pale wataachana ahaahhaa mm chekaa chekaaa
Tatizo lilianziaa hapa
Sasa diva ni bi mdogo mbona sielewi mpaka sasa 😅🤣🤣🤣
Diva kama Diva
Diva mzee mama wewe vua hio miwani
Nahuo uzee utasubiri sana mzungu