URUSI:TUNAONA MWANYA MDOGO WA MAZUNGUMZO YA KUMALIZA VITA UKRAINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 7

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 11 днів тому +1

    wacha wakaongeze petrol kwenye moto

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 11 днів тому +1

    Vikwazo haviwababishi warusi anawaona kama mnajikaanga wenyewe

  • @LawrenceAugustino-t4h
    @LawrenceAugustino-t4h 11 днів тому +2

    Hayo majadiliano yatakua nimagum mno sababu chakwanza donad trampo atahitaja waowachina iran noth korea wakutengeneza sarafu uvunjike kwanza nijambo ambaro halitawezekana

  • @MussaMillano-v8n
    @MussaMillano-v8n 11 днів тому +5

    Acha watwange maji kwenye kinu sisi tuna,,CHINA,KOREA,IRAN, BELARUS, we huogopi chichanganyeni😂😂

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha 10 днів тому

    Acheni woga nyie urus mbona americ anawapelekesha mbwa nyie halaf kesho et nyie ni super power . Kumbe hofu zenu zinawafanya tuamini kumbe americ bado kinala wa dunia

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z 11 днів тому

    Donald trump' anakuja kumaliza vita punguzeni pressure