Pole sana dada usikate tamaa, shikilia imani hiyo ilionao ya kumtumaini Mungu siku ipo utapata mtoto na imani hiyo. Nimesema hivo kwa kuwa kuna mama mmoja alipata mtoto kwa miaka kumi na sita. Usiangaike sana na madaktari, endeleeni kumuomba Mungu mtoto atapatikana
Assalaam alaykum warahmatullahi Mimi niraya kutoka oman Nasiha yangu habybty subra basi na allah atakujaalia utapata mtoto Mie nilikuwa siingii katika siku zangu kawaida nilikuwa hata miezi mitano hainijii damu yamwezi na nilikuwa mwembamba sana niliolewa na nilikaa miaka minane baada yahapo allah akanijaalia kupata mtoto nawewe ishallah utapata
Am proud of your positivity, acceptance,vibe....I belong here, have been to the best gynaecologist and nothing has worked for me.But i know am mama Daniel, hakuna maombi yanaenda kwa dust bin...every problem has an expiry date.And even if I don't get a child...He his still God and glory belongs to the most high God.My fellow women going through the same... love yourself.... don't listen to what people say because they will always talk....be happy.
Alhamdulillah swt kila kitu majaaliwa na imaan Allah yupo na wewe kila kitu na kher na wewe Allah amekuandalia mazuri sanaa Mshkuru Allah basi na masha Allah unaimaan yako ya dini iyo peke yake NI NURU kwako Allah yupo na wewe ♥♥
Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Insha Allah iko siku utapata mtoto. Kwaiyo muone Dr MWAKA TZ. MM NILIKUWA na dada angu. Aliishi 9 year na anamwili kama wako kwa uwezo wa ALLAH walikwenda kwa huyo Dr mwaka
Tatizoo siiuzitoo bwan kunawat wanene nawanazaa vizur tuu watoto wengi pole dada yangu kila kitu kina wakat wakee wakat ukifika utaitwa mama inshaallah mungu yupo
Ananikumbusha mpenzi wangu ambae ana tatizo kama la huyu dada. Amekuwa akihangaika japo na bahati mbaya ameolewa na mume ambae kamuoa kwa sasa hampi ushirikiano. Mimi naamini atapata mtoto. Nazidi kumuombea kwa Mungu apate mtoto. Naamini mimi ndie mwanaume wake nitakaeweza kumpa mtoto kwa sababu mimi na yeye kuna nguvu ya uvutano wa mapenzi.
asante sana dada kwa ujasiri wako mungu akubariki kwa subra in sha allah m/mungu atawabariki kupata mtoto hata mm niko na hilo tatizo niko na miaka kumi na tano sijapata mtoto, ila mungu akubariki kwa ujasiri wako dada.
Nakuombea kwa jina la Yesu Kristo Najra upata mtoto. He's a God who spoke everything into being, he can speak a seed that will live through you. God see you through.
Wow, I am very proud of her to man up and speakj about this topic. God bless her. Love from Tanzania, here at Simamia TV, and our app is on the play store, plz download it or subscribe from our youtube channel. We are very proud of you, sister, encouragement from a man.
Kuwa mnene sio sababu ya kutoshika mimba mm nimwemba na nina zaidi ya miaka 15 tangu niolewe na sijashika mimba. Pia ni kweli huwa inahuzunisha sana moyoni kila unapokaa unajihisi kuwa si mtu kama watu walokamilika.lakini Alhamdulillah nashkuru Mungu. Ni Mungu ndiye ambae hajanijaaliya
Ee bwana mola naenua mikono kwako kuomba haya niyasemayo ,wale mababa wanao achia mamama watoto wakihangaika na ulezi bila ya usaidizi wowote .bwana mola mababa hawa uwaadhibu na uwajaalie mitihani katika makazini mwao 🙏
Thank you so much sister for your story i do understand that very well deep anderstand Actually God will provide you and never give up life is deep secret one day the closed door will be open in unknown time I love you and wish you all the best but remember this one ( life is deep secret but on God hand will provide you what you thirst with)
Pole sana dada lakini usikate tamaa mtegemee mungu zaidi na usichoke kumuomba mungu atakupatia mtoto mimi nilioa tukakaa miaka 11 hatujapata mtoto miaka 12 ndio tumepata mtoto familia yangu ilikua pamoja na mm zaidi mama yangu alikua ananiongelesha kila siku nisimuache mke kwa vile hajanizalia na mm nilijipa moyo japo kua marafiki walikua wananiambia nimuache mm sikua nawasikiliza jipe moyo na ipo suku utapata mtoto
Adnan hongera sana kwa uvumilia na mama yako ako na roho nzuri sana Mungu ambariki sana maana in laws uwa wanavunja ndoa kwa tatizo la watoto Hiyo tatizo wanapitia watu wengi sana 😭😭😭😭
Dada yangu usiangaike wala kujaribu kufanyiwa operation please 👏 jaribu tu kwa imani Kufanya IVF transfer uta pata mtoto. Nimeona wanene kuku zidi hapa USA wamefanyikisha kupata watoto. Na usiache kuomba Mungu 🙏
I am curious if she could talk about her diet, what type of food would she eat for break fast, how many hours pass by between meals? If problems are not eggs, how about the male's sperm count? Is there any issue with her family where no one has experienced infertility? Just curious, again this is a strong woman. We need more people to be strong and come out to speak out about these issues that societies shun from. Well, welcome to Simamia TV, adapt please.
Pole sana dada ila kama hospital imeshindikana.bc jalibu hata miti shamba na usikate tamaa au angalia jina la.ukoo wenda ndilo shida au kufungwa na pepo
Kweli pia kama anaishi Tanzania Hospital ya Rufaa Mbeya kuna Madaktari toka Cuba kwa kweli nawapenda wamesaidia wanawake wengi niliona na sasa walau wanamtoto hata mmoja
Ukht .naomba ipokee zawadi hii kula vyakula vibichi kwa wingi hususani ambavyo havijapikwa matunda ,mboga za majani , asali kula ,tende na nuts( almonds, cashew nut ,walnut e.t.c ) please do this for long time start with 1 month then add more time never miss .....its know as RAW FOOD THERAPY when you have time ready privately about.
NASHAURI USIENDE KWENYE UPASUAJI DADA, MUNGU MWENYEWE ATAAMUA. KWANI MTOTO NI ZAWADI KWA MUNGU. NAKUSHAURI UENDELEE KUJIKUBALI NA IKIWEZEKANA KAMA UNAPENDA SANA WATOTO SAIDIA WATOTO WASIOJIWEZA, AMBAO HAWANA WAZAZI KUWA MAMA YAO MUNGU ATAKUBARIKI SANA
Chukuwa mtt WA dungu yako ama WA mtu wako wakaribu kwanzia miaka mwili mwaka moja ama hata miez mpende mtoto huyo kma mtt wako wakumza naumpende Sana basi tumbo LA uzazi litaingia wivu na Allah atakujalia WA kwako kwani mm nimeshuhudia watu wengi Sana kwa ndoa wanamika tisa bila kuza lkn wanavyo Lea watt WA ndugu zao ama rafiki zao kuishi na vizur bas Wali beba mimba naona hiyo pia ninjia nzur
Fanya diet ya dr Sebi nzr sana utakondà InshaaAllah Msomeni dr Sebi anafundisha mlo unapoa mpk maradhi.pia mtafuteni Ney detox Instagram awajoin grp yake yeye ni mfuasi wa dr Sebi.dr sebi kiboko wa matatizo.maa shaa Allah
nahuyo dada sasa ana watoto wawili mitishamba niyamungu ameturetea tujitibu siogopekutumia kama hatijali nimchumie bure aitumie harafu atumie fasita amebeba
Dada habari yako sasa nakuomba neda kwa sehker othaman maiko anawza akakutafutiya dawa pengine uko na matizo ya kijini ndiyo unakosa uzazi mungu atakufanyia wepesi kwa sms hihi utapata mimba ishauwalah
Uzito sio tatizo mimi dada yangu mnene kuliko huyu mama na anazaa km panya miezi 6 tu mtoto mwengine mpaka anajiuliza mbona naskia watu wanene hawazai mimi kila siku na dokta amemuambia asile dawa za uzazi wa mpango
@@Bm-kq8ot Usijali, nashukuru kwa kutumia busara, siwezi kuleta uongo kwenye mambo kama haya. Yamekwisha! Hospital ipo Copenhagen Denmark, na nimefika na kujua huduma zao zote.
Hormone imbalance pia Kuna issue ya histuisim, Kuna test ya homone profile nacheki uone huenda testrogen imezidi.... naomba uangalie Hilo kwa ukaribuu Sana..pili punguza uzitooo utakaa sawa
Mashalah Najda. MUNGU akupe watoto wenyekheri na wewe. Alahu Akbar.
Pole sana dada usikate tamaa, shikilia imani hiyo ilionao ya kumtumaini Mungu siku ipo utapata mtoto na imani hiyo. Nimesema hivo kwa kuwa kuna mama mmoja alipata mtoto kwa miaka kumi na sita. Usiangaike sana na madaktari, endeleeni kumuomba Mungu mtoto atapatikana
Assalaam alaykum warahmatullahi
Mimi niraya kutoka oman
Nasiha yangu habybty subra basi na allah atakujaalia utapata mtoto
Mie nilikuwa siingii katika siku zangu kawaida nilikuwa hata miezi mitano hainijii damu yamwezi na nilikuwa mwembamba sana niliolewa na nilikaa miaka minane baada yahapo allah akanijaalia kupata mtoto nawewe ishallah utapata
Mashallah Dada ni mzuri. Mungu atakujalia utapata hitaji la moyo wako Amina sema Amina kubwa
Hongera sana dda nmependa ujasrii wako na imani uliyokuwa nayo usikate taama natumai kwa Allah hakuna kinacho shindikana
Mwanangu mwaka hautamaliza utapata ujauzito Mungu yupo usikate tamaa
Am proud of your positivity, acceptance,vibe....I belong here, have been to the best gynaecologist and nothing has worked for me.But i know am mama Daniel, hakuna maombi yanaenda kwa dust bin...every problem has an expiry date.And even if I don't get a child...He his still God and glory belongs to the most high God.My fellow women going through the same... love yourself.... don't listen to what people say because they will always talk....be happy.
Mashaallah inshaallah kwa rehma za mungu atakupa mtto mwenye kheri na ww Amin
Hongera kwa uvumilivu iko siku mungu Atakupa mtoto na ushuhuda utatuletea
Pole sana dad yangu. Una roho safi sana na Mungu akufanyie uepesi upate mtoto dada.
Pole sana dada hata mimi tuna miaka 8 hatuja pata mtoto rakin nimipango ya mungu tunaendelea kumuomba mungu
Jipe moyo Dada yangu .
Kwasababu munataka , Mungu wetu ni mwaminifu.
Atakupa watoto kwa wakati wake.
Usikate tamaa.
Alhamdulillah swt kila kitu majaaliwa na imaan Allah yupo na wewe kila kitu na kher na wewe Allah amekuandalia mazuri sanaa
Mshkuru Allah basi na masha Allah unaimaan yako ya dini iyo peke yake NI NURU kwako
Allah yupo na wewe ♥♥
She's so beautiful. God is faithful will fulfill your heart desire.
Mzuri Dada, utapata Mtoto kuwa mvumilivu. Mungu ni kwema sana. Sara ulipata uzeeni mwamini Mungu tu.
lnsha'Allah! Allah atakujaalie mtoto mwema mwenyewe khery. Ameen.
Pole sana dada inshaallah mung ata kujalia utapata
Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Insha Allah iko siku utapata mtoto. Kwaiyo muone Dr MWAKA TZ. MM NILIKUWA na dada angu. Aliishi 9 year na anamwili kama wako kwa uwezo wa ALLAH walikwenda kwa huyo Dr mwaka
Kweli amenigusa Sana madam najla Khan,my wife has same problem but I surport her hands to hands InshALLAH ALLAH will bless us both.
Beautiful inside and out❤️ will pray for you.
Najda khan in sha Allah mwenyezi Mungu atakupa ulitaka lo subira huvuta kheri
Think God thots of your lord only
Tatizoo siiuzitoo bwan kunawat wanene nawanazaa vizur tuu watoto wengi pole dada yangu kila kitu kina wakat wakee wakat ukifika utaitwa mama inshaallah mungu yupo
Amen
Ameen
I salute you. Keep that spirit
Ananikumbusha mpenzi wangu ambae ana tatizo kama la huyu dada. Amekuwa akihangaika japo na bahati mbaya ameolewa na mume ambae kamuoa kwa sasa hampi ushirikiano. Mimi naamini atapata mtoto. Nazidi kumuombea kwa Mungu apate mtoto. Naamini mimi ndie mwanaume wake nitakaeweza kumpa mtoto kwa sababu mimi na yeye kuna nguvu ya uvutano wa mapenzi.
Dada Mungu wa Mbingu na Dunia naasikie haja yako kuu Amina kuu
Utasa si ugojwa Bali nimajaliwa ya mwenyezi mungu hongera sana sister kwa kutoa Elimu
She so beautiful mashallh
asante sana dada kwa ujasiri wako mungu akubariki kwa subra in sha allah m/mungu atawabariki kupata mtoto hata mm niko na hilo tatizo niko na miaka kumi na tano sijapata mtoto, ila mungu akubariki kwa ujasiri wako dada.
mume wangu aniunga mkono sana ila ilifikia wakati akabidi aowe mke mwengine na wakazaa ila bado tupo pamoja na mume wangu.
Nakuombea kwa jina la Yesu Kristo Najra upata mtoto. He's a God who spoke everything into being, he can speak a seed that will live through you. God see you through.
Wow, I am very proud of her to man up and speakj about this topic. God bless her. Love from Tanzania, here at Simamia TV, and our app is on the play store, plz download it or subscribe from our youtube channel. We are very proud of you, sister, encouragement from a man.
Huyo Dada anavyo eleza najiona mimi kabsa Mungu tusaidie 😭🙏
Naenda kwa mwamposa dar utapata mtoto ukiwa na Imani nenda kwenye yuotobe utampata
Pole na Mungu akusikie leo upate mtoto kama hujapata
Mola atakujaalia in shaa Allah. Jaribu kula vyakula vya afya bora.
Usikate tamaa, hakuna linaloshindikana kwa Mungu
Kuna mama yupo huku mafinga njoo jaribu dear
Kuwa mnene sio sababu ya kutoshika mimba mm nimwemba na nina zaidi ya miaka 15 tangu niolewe na sijashika mimba. Pia ni kweli huwa inahuzunisha sana moyoni kila unapokaa unajihisi kuwa si mtu kama watu walokamilika.lakini Alhamdulillah nashkuru Mungu. Ni Mungu ndiye ambae hajanijaaliya
Inshallah utafanikiwa wewe ni kamili mengine ni mitihani midogo tu
Ee bwana mola naenua mikono kwako kuomba haya niyasemayo ,wale mababa wanao achia mamama watoto wakihangaika na ulezi bila ya usaidizi wowote .bwana mola mababa hawa uwaadhibu na uwajaalie mitihani katika makazini mwao 🙏
Pole sana Dada ,Nitafute nikupeleke kwa Babu yangu akupe dawa utapata mtoto amesaidia wengi sana hapa Tanzania na nje ya nchi
Mashaallah❤
Good spirit !nimempenda huyu dada!
Nitafute nitakupeleka mahali utazaa
One day yes ipo siku Mungu atasikia kilio chako🙏
She’s so cute
Indeed
Naitwa Saffia Saleh from Zanzibar naweza kumpeleka sehemu akafanyiwa dawa za kiswahi na atafanikiwa nisjawapeleka wengiiii na wamefanikiwa
Thank you so much sister for your story i do understand that very well deep anderstand
Actually God will provide you and never give up life is deep secret one day the closed door will be open in unknown time
I love you and wish you all the best but remember this one ( life is deep secret but on God hand will provide you what you thirst with)
Pole sana dada lakini usikate tamaa mtegemee mungu zaidi na usichoke kumuomba mungu atakupatia mtoto mimi nilioa tukakaa miaka 11 hatujapata mtoto miaka 12 ndio tumepata mtoto familia yangu ilikua pamoja na mm zaidi mama yangu alikua ananiongelesha kila siku nisimuache mke kwa vile hajanizalia na mm nilijipa moyo japo kua marafiki walikua wananiambia nimuache mm sikua nawasikiliza jipe moyo na ipo suku utapata mtoto
Adnan hongera sana kwa uvumilia na mama yako ako na roho nzuri sana Mungu ambariki sana maana in laws uwa wanavunja ndoa kwa tatizo la watoto
Hiyo tatizo wanapitia watu wengi sana 😭😭😭😭
Ishallh sister mashallh mungu mwema ishallh mungu atakupa
I did NOT like the way they treated her about her weight and even making her stand up. I mean seriously. 🤨
Dada tumia moringa itakusaidia sana kwa uwezo wa Mungu utapata watoto
Dada yangu usiangaike wala kujaribu kufanyiwa operation please 👏 jaribu tu kwa imani Kufanya IVF transfer uta pata mtoto. Nimeona wanene kuku zidi hapa USA wamefanyikisha kupata watoto. Na usiache kuomba Mungu 🙏
True.
Oooh Pole dear
Pole sana
Pole sana Allah atakupa mwenye heri inshaallah
Swdakta sana dada mungu ndo kila kitu.
I am curious if she could talk about her diet, what type of food would she eat for break fast, how many hours pass by between meals? If problems are not eggs, how about the male's sperm count? Is there any issue with her family where no one has experienced infertility? Just curious, again this is a strong woman. We need more people to be strong and come out to speak out about these issues that societies shun from.
Well, welcome to Simamia TV, adapt please.
Mtafute Dr Boaz Mkumbo MD kwenye UA-cam
Pole sana dada ila kama hospital imeshindikana.bc jalibu hata miti shamba na usikate tamaa au angalia jina la.ukoo wenda ndilo shida au kufungwa na pepo
Kweli kabisa tupo wengi mm mwenyw nikishik mimba inatoka yaan, 🙆♂️mpk nimetok kweny ndow, nafanya tu biashara Zang bs mamb y mtot namuachia mungu
Pole Sana Dada God is with you
@@rosemarykatogomusanga1619 🙏🙏
Mbona dawa ni nyingi... nitafte nitakusaidia na Mungu akipenda mtoto utampata after 3months of your periods
Niko Mombasa
@@mnyalumykt1980 ishalla mungu atujalie nitakuj🙏
Wewe uta zaa mtoto inshaala
Na mwili mkubwa Sana huo kurekebisha hormone unashauriwa kupunguza uzito
Kweli pia kama anaishi Tanzania Hospital ya Rufaa Mbeya kuna Madaktari toka Cuba kwa kweli nawapenda wamesaidia wanawake wengi niliona na sasa walau wanamtoto hata mmoja
Wewe ebu tii mwenyezi Mungu mwili huo kama rabana uzi to huu hakuununua supermarket
Anavyocheka kama X -wa dula makabila InshAllah mola atakujalia
Pokea mtoto kwa Jina la Yesu
Mtafute doctor mwaka
jmn mungu wetu hashindwi n kitu chochote utapata😍alafu nimependa unavyoongea,kama unamafua unaongea kama tanasha wa dai
Aa. Njoo nikupe dawa inshalla allah dawa itakufaa
Uko wapi 😭🙌
Ukht .naomba ipokee zawadi hii kula vyakula vibichi kwa wingi hususani ambavyo havijapikwa matunda ,mboga za majani , asali kula ,tende na nuts( almonds, cashew nut ,walnut e.t.c ) please do this for long time start with 1 month then add more time never miss .....its know as RAW FOOD THERAPY when you have time ready privately about.
Asalam aleikum in shaa allah mungu atakupa subra muhimu.jaribu dawa za kiswahili
O
Pole dada angu ushauri wangu upewe elimu kuhu lishe then mambo mengine ziendelee umenenepa kupita kiasi
Mashaa allah, dada kwanza nimekupenda sana, kwa ajili ya allah. Kwa unavyo mtanguliza allah na kuachayale aliyo yakataza☝️☝️kunacku atakupa.
Na mungu amekupa mwanamume mwenye subra sasa hivi, inshaa allah mungu atakupa hakuna linalo mshinda Allah. Niwangapi wembamba sana nahawa watoto?
Dada mungu atakupa siku moja.
Nimetamani tukutane fesi 2 fesi tuongee. Nimekupenda mpaka machozi yanitoka.💋💋💞💞
Dah
Mwambie akafanye Gastric sleeve atakonda lazima, na ana weza kuzaa au kubaki vizuri
kupata mtoto ni toofiq ya allah muombe aliye nyanyua mbingu bila ngunzo hakuna limshindalo
Apunguze na mwili mishipa inazipa mbegu haziwezi kupenya aise
Sahihi kabisaaaa
Pole mungu atasaidiya utapata mutoto
NASHAURI USIENDE KWENYE UPASUAJI DADA, MUNGU MWENYEWE ATAAMUA. KWANI MTOTO NI ZAWADI KWA MUNGU. NAKUSHAURI UENDELEE KUJIKUBALI NA IKIWEZEKANA KAMA UNAPENDA SANA WATOTO SAIDIA WATOTO WASIOJIWEZA, AMBAO HAWANA WAZAZI KUWA MAMA YAO MUNGU ATAKUBARIKI SANA
Usichoke kuomba mungu atakujibu tu
Chukuwa mtt WA dungu yako ama WA mtu wako wakaribu kwanzia miaka mwili mwaka moja ama hata miez mpende mtoto huyo kma mtt wako wakumza naumpende Sana basi tumbo LA uzazi litaingia wivu na Allah atakujalia WA kwako kwani mm nimeshuhudia watu wengi Sana kwa ndoa wanamika tisa bila kuza lkn wanavyo Lea watt WA ndugu zao ama rafiki zao kuishi na vizur bas Wali beba mimba naona hiyo pia ninjia nzur
Fanya diet ya dr Sebi nzr sana utakondà InshaaAllah
Msomeni dr Sebi anafundisha mlo unapoa mpk maradhi.pia mtafuteni Ney detox Instagram awajoin grp yake yeye ni mfuasi wa dr Sebi.dr sebi kiboko wa matatizo.maa shaa Allah
Moja Kati ya vitu vinavyoweza kumsababishia mwanamke Ugumba Ni uzito kupita kiasi....punguza uzito fanya diet uone matokeoo.
Najda Subiri Mimi shida kama wewe but Allah atatulipa usikate tamaa Pengine kuna kheri
Resolution
nahuyo dada sasa ana watoto wawili mitishamba niyamungu ameturetea tujitibu siogopekutumia kama hatijali nimchumie bure aitumie harafu atumie fasita amebeba
Ss tukihitaji kumsaidia tunampataje?
Pia tafuta dawa za kissuna dada kwa maelezo zaidi nitafute kwa namba hii niku ushauri nini mm nilifanya mpaka kupata mtoto zaidi mtegemee mungu
Kunakosa?anaweza kua alitenda
Mimi naona Kama hiyi mwaka hayi tayisha kabla haja pata mutoto katika jina lililo juu yamajina yote hilo nijina layesu linaweza yote
Ramadhani kimweri
Najda, Mola atakujaalia mtoto, usikate tamaa. Kuhusu uzito, jaribu kutembea 1hr ama zaidi, pia punguza vyakula vya sukari n mafuta.
Dada habari yako sasa nakuomba neda kwa sehker othaman maiko anawza akakutafutiya dawa pengine uko na matizo ya kijini ndiyo unakosa uzazi mungu atakufanyia wepesi kwa sms hihi utapata mimba ishauwalah
Uzito sio tatizo mimi dada yangu mnene kuliko huyu mama na anazaa km panya miezi 6 tu mtoto mwengine mpaka anajiuliza mbona naskia watu wanene hawazai mimi kila siku na dokta amemuambia asile dawa za uzazi wa mpango
Ana bahati tu huyo dada yako pengine alinenepa baada ya kuanza kuzaa ,ukinenepa kabla ni shida kwa sehemu kubwa tumeona
Mmm
Njoo upatiwe tiba ya hyo hormone na mambo mwngne ya virutubisho vizuri na upungue mzito
Uko wapi? Please share your contact please. 0734739161
Mtoto wa sistet alikua na hiyo shida akafanyiwa Op ujeruman na sasa ana mtoto baada yakuteseka nakulia haswa. Pia alikua hapati hedhi kila mwezi
Ingekuwa hujaolewa miningekupa mtoto najua unaweza usiamini lakin huo ndo ukwelii
Duuuuh
@@janethkilonzi4260 kweliii
Mungu ni mwema sana,mtumaini atakupa mtoto katika saa usioidhania,Isaya 54:1. Yesu kristo atakutendea amini tu.
Wacha ukafiri ww Mungu ndie anaweza Yesu ni mtume tu na miujiza yote ilitoka kw Mungu
BBC ipo Kenya siku hizi🤔🤔
Mmi nilipata mutto dani ya mika 10/ kwassa ni nawatto wa weli na wwe utapat mupede Mungu mminilimuami nikapat
Ukute alisha wai toa mimba ila ukweli anauficha yeye na kingine ukute bwana aliye kuwa nae ni mdebwedo all in all pole yako.
Kupata mtoto sio kuhangaika ni majaaliwa yake allah
Kweli
nitafute nikutibu. kunamitishamba inatibu hilo tatizo.
Came
With me
aje tanga nnsimani atapata atumie mitishamba yuko dada alikuwa natatizo kamahiro kwa mudamref rakini amepata asikatetamaa matatizomengine siyo ya hosipitali
Nuldin abubakary tanga sehem gani
@@said306nyatu9 ukiwa tayali sema
@@said306nyatu9 na huyo dada nnaesema sasahivi ana watoto wawili dawa zipo akihitaji anapata
Naomba no zako
Naomba namba
Mimba kupata sio shida bora tu upanue wide
Mimi pia nimekua na hiyo tatizo
Zuwena Phillips sosnowka nitafute namba watshapp 0622857805
@@frediricknandonde1690 una dawa mpendwa au?
Kwaza pungua mpenzi maanaaa mafuta itakuwa mingi
Kuna Hospital ipo Denmark, hapo tatizo lake litakwisha.
Jay Jay acha uongo wewe mimi naishi Danemark na nina matatizo kama uyu mbona sijawai kuona hiyo hospital?
@@Bm-kq8ot Kwa hiyo kuishi DK ndio kujua kila kitu? Sikufurahi kuniita muongo. Hunifahamu.
@@jayjay4313 ndungu tutauwiyana bure iyi ni mtandao kwa kuwa uli kwazika samahani Ndugu
@@jayjay4313 naomba samahani ndungu
@@Bm-kq8ot Usijali, nashukuru kwa kutumia busara, siwezi kuleta uongo kwenye mambo kama haya. Yamekwisha! Hospital ipo Copenhagen Denmark, na nimefika na kujua huduma zao zote.
Nataka kujua haswaa huyo walidi wa BBC mnampataje ama anatakiwa kulipia ili mchukuwe intaview na yeye naomba kujua# Naima kutoka OMAN
Incase you get them please share the contact.
TATIZO SI UZITO WAPO VIMBAUMBAU NA HAWANA UTAPATA NA KAMA ULIVYOSEMA MWENYEWE SI KUWA NA MTOTO NDIO UNAKAMILIKA WEWE NIKAMILI BILA HATA MTOTO.
Kweli kbs
Ao wanakuongope.njia himepindatu.ikinyoka.haraka.sana unapata mtoto.apa.south.africa.kunakidonge.haraka.sana.kinanyosha.njia basiunapata.mtoto haminia
Hormone imbalance pia Kuna issue ya histuisim, Kuna test ya homone profile nacheki uone huenda testrogen imezidi.... naomba uangalie Hilo kwa ukaribuu Sana..pili punguza uzitooo utakaa sawa