LEMA ARUSHA MJINI LEO, AMPANDISHA DEREVA TOYO JUKWAANI, "HATUNA UGOMVI NA RAIS".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 бер 2023

КОМЕНТАРІ • 257

  • @sashambonde7258
    @sashambonde7258 Рік тому +12

    mwwheshimiwa bowe amini alusha umepata mtu saii kabisa lema mtu saii sana

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 Рік тому +2

    The still Iron from Northern Tanzania, Godbless Lema. Jah Blessing Sir.

  • @cosmasparkire1837
    @cosmasparkire1837 Рік тому +15

    Mhe Lema karibu sana ngorongoro

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 Рік тому +18

    KING LEMA

  • @ombenianton3611
    @ombenianton3611 Рік тому +4

    Namkubali sana huyu mnyama wangu wa M4C

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 Рік тому +7

    Swala la boda boda Ni kweli kifua kinauma mgongo mbeleni Kuna atar kubwa mungu atusaidie

  • @danielkidenya7009
    @danielkidenya7009 Рік тому +12

    Aliyemsikia mwamba aliyesema sawa mtabiri tujuane

  • @walterngowi5835
    @walterngowi5835 Рік тому +35

    Huyu jamaa ni unstoppable Gambo hamumez kabisa huyu mwamba anatisha kama njaa 🤓🤓

    • @adonis-bx7ht
      @adonis-bx7ht Рік тому +2

      Kweli

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 Рік тому +1

      Kabisa

    • @adelathomas1611
      @adelathomas1611 Рік тому +1

      Jaman inatia huruma Kuna kijana aliletwa pale maunt Mer usiku wamegongana na mwenzake analalamika anasema Mimi Ni maskin ninafamilia inanitegemea mguu wangu unaenda kukatwa

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 Рік тому +1

      Gambo sio size ya Kiumbe huyu Mkuu. Na wala gambo sio mchaguliwa na Wana Arusha, bali ni mteuliwa wa mwendazake kama wenzake na bunge zima lilivyo.

    • @ombenianton3611
      @ombenianton3611 Рік тому

      Hiki Chuma cha kazi

  • @yohanayohanaadamu6483
    @yohanayohanaadamu6483 Рік тому +12

    Safi sana kamanda

  • @godlywaziri335
    @godlywaziri335 Рік тому +7

    Wod maalumu kwa jili ya bodaboda washajua si ni wa majanga kila siku😭😭😭

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Рік тому +17

    lema uko vizuri njoo Zanzibar tutakusikiliza vjana

    • @magrethmmbaga7098
      @magrethmmbaga7098 Рік тому

      Usitumie maneno machafu iliuweze kuelewekana kila mtu..tunapenda ustarabu.eleza sera zako Watu watanaelewa.

  • @iam_mobam
    @iam_mobam Рік тому +13

    "ANGALIENI MIAKA ISHIRINI MBELE"

  • @floraashery224
    @floraashery224 Рік тому +10

    Una akili Lema

  • @joyceathanasi8435
    @joyceathanasi8435 Рік тому +2

    Lema nakupenda sanaaaaaaaa Kaka yangu....

  • @infopetertv2115
    @infopetertv2115 Рік тому +19

    Daaa sema huyu mwamba 🔥🔥🔥

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Рік тому +9

    Duh, hongera. Mh. Lema, una watu kwa kweli

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 Рік тому +8

    Huyu jamaa anajaza

  • @waltertesha3312
    @waltertesha3312 Рік тому +13

    Nchi inanoga sasa yan inshort ccm haiwez kuwa bora kama hakuna chadema na hakuna chadema bila ccm🔥🔥🔥🔥

    • @bosslilyg4390
      @bosslilyg4390 Рік тому

      Mimi ni chadema naunga mkono hoja 🔥🔥

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 Рік тому +12

    Kamanda LEMA washa babaaaa 💥💥💥💥

  • @isayarichard2162
    @isayarichard2162 Рік тому +3

    Uyu jamaa anafaa kuwa kiongozi wa ngazi za juu

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 Рік тому +5

    Huo ndo ukweli bodaboda ni huzuni tu mixer vifo daily

  • @user-bv6mm5qk8n
    @user-bv6mm5qk8n 5 місяців тому

    Tunakupenda lema❤

  • @joyotv4073
    @joyotv4073 Рік тому +13

    Wa kwanza leo like zangu

  • @godlema6104
    @godlema6104 Рік тому +5

    Lema kama lema.

  • @mollelmichaelmollel4919
    @mollelmichaelmollel4919 Рік тому +3

    Ukwelii una wauma mpka wananchi wasiojielewa mwenye Arusha yake amekuja tulie .

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +2

    KWANI HAWA HUWA WANASEMEA UPINZANI UPI?MAKELELE MENGI,,,MAGUFULI NDO ALIKUWAGA MWANAUME WAO,,

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Рік тому

    SIASA TAKA ZA MAJIMBO
    KWANI SI KILA MTU ATAKULA KWA JASHO LAKE AU

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому

    Bodaboda ipo Dunia nzima lkn kwakua wavuta bangi umewakusanya hapo lkn Arusha hushind tena

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому +2

    Ccm 2025 wajiangalie,c kwa mtiti uo, Maana watanzania walivyo wachoka, labda wafanye ile janja ya nyani, kama kawaida yao

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 Рік тому +4

    Ila jamaa ana watu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому

    Lema huna akiri Wala hoja zakuisaidia Arusha na Jimbo la Arusha ccm hawawez kuliachia tena kwenye upinzan

  • @fredyshirima8594
    @fredyshirima8594 Рік тому +7

    Arusha sasa imerudi mikononi mwa ✌ , kijani mjiandae

  • @kelvinkabuye-tq4ui
    @kelvinkabuye-tq4ui Рік тому +13

    huko Arusha hakuna muda wa kupumzika😂😂

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 Рік тому +2

    Ubunge Unatafutwa kwa Fujo sana.

  • @jonathansolomon456
    @jonathansolomon456 Рік тому +1

    Mimi mwenyewe nimelala nasijui nitapona lini kwa sababu ya bodobodo

  • @kassim.i.ngoroka7388
    @kassim.i.ngoroka7388 Рік тому

    Kwani kinachowaua Bodaboda ni ajali zinazosababishwa na kutofuata sheria za barabarani au research yako inasemaje mh. Lema??

  • @saruni5673
    @saruni5673 Рік тому

    Huyu king anaongea ukwel but Tanzania hakuna ushirikiano mkiambiwa ukwel mna mind

  • @ikramalmas7039
    @ikramalmas7039 Рік тому +5

    Hawa raia wanafki sana, akija gambo nao utawaskia ni kweli, kweli baba

  • @edenipaschalsembuli8683
    @edenipaschalsembuli8683 Рік тому +10

    Ongea baba ccm ni upuuzi

  • @godfreymasele8853
    @godfreymasele8853 Рік тому +2

    Mpuuzi wewe acha uongo sehemu gani serikali imesema bodaboda wawekewe ward maalum wakatwe miguu? Pumbavu mwenyewe

  • @deusmoris3036
    @deusmoris3036 Рік тому +2

    huyu jamaa ni noma ndo maana walimhamisha ccm naona Sasa hawana amani

  • @mariomsenga
    @mariomsenga Рік тому +1

    Sema kweli ndugu yangu

  • @josephmamasita-xs7et
    @josephmamasita-xs7et Рік тому +3

    Ahsante lema

  • @KATOPE1
    @KATOPE1 Рік тому +4

    Mm sina Chama na wala sitakua na Chama ila huyu Jamaa ni mjanja sana. Alikua kwenye bunge 10yrs hakuna kitu cha maana Amefanya ni sweet mouth.anayeka kisaikolojoa taraaatib dawa inawaingia 😂

    • @frocoissango8973
      @frocoissango8973 Рік тому +1

      Africa wanaho fanya kazi niwale walihopo madarakani ndugu wegine wanasidikiza tu swali lagu kwako wana ccm waliko kwasasa wanafanya nini?

    • @getrudykitomary6390
      @getrudykitomary6390 Рік тому

      Mwamba umetishaa Kama njaaa✌️

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Рік тому

      Unajua Kazi za mbunge?

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Рік тому

    Hlo jimbo la Gambo tu haliwez kuongozwa na kichaa lema

  • @antonylaizer1250
    @antonylaizer1250 Рік тому

    Unakoroga matope fanya Jambo huo umaskini unaouimba hapo uondoke ndipo tukuamini acha propoganda siasa zauchuro hizo,

  • @emanuelimateo99
    @emanuelimateo99 Рік тому +2

    Acheni ujinga kwahiyo wote tunafanana wengine tunalilia ata bodaboda kila mtu anapa.mbana na Mambo yake

  • @oyay2821
    @oyay2821 Рік тому +5

    Maneno ya kweli kabisa. Ridhiwani Kikwete akipeleka bodaboda ndio itakua biashara halisi

  • @barakaalphan9015
    @barakaalphan9015 Рік тому +2

    Hahaha macho fumba mjinga

  • @magigemwita9880
    @magigemwita9880 Рік тому +1

    Mbona kama lema nae sauti kama bodaboda au kifua kimeoza naupepo 🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪

  • @petroerinest6962
    @petroerinest6962 Рік тому +3

    Mtu anaumwa watu wanashangilia,daaaaah!😂

  • @emmanuelmwanzalima8337
    @emmanuelmwanzalima8337 Рік тому +1

    Sasahapa ndipo tutafika SAMIA kwahili uposawa kuruhusu mikutano hiindio TZ iliyo changamka🤣🤣 ushauri SAMIA chukua yaliyo mema yatekeleze ukweli boda boda sio AJIRA naunga mkono😂😂

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 Рік тому

    Lema achakelele toa suluisho uwasaidie vijana wa bodaboda uko njiani kurudi Canada wewe ni nabii wa uongo na kura hauna tena.

  • @emmanuelmchome7015
    @emmanuelmchome7015 Рік тому +1

    Watu wanataka majibu sio maneno matupu ww miaka 10 ulokaa bungeni umefanya nn ??

  • @mohamedyusuph8259
    @mohamedyusuph8259 Рік тому +2

    Safi kamanda nchi ya q

  • @maulidimgovano6649
    @maulidimgovano6649 Рік тому

    Ukweli mchungu

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Рік тому +1

    Mmeanza zile mboyoyo zenu au tuwafungie Tena kufanya mikutano

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 Рік тому +1

    Sikubaliani na huyo dereva wa bodaboda mmejipanga bw.sasa mnasemaje bodaboda waonddolewe ?sidhani kama ni jambo zuri.navyojua simu na bodaboda zimechangia maendeleo sana.ajali ni kitu cha kawaida lakini pia nyingi wanajitakia maana hawatii sheri,kuhusu agirà hata ulaya wadomi wanajtafutia

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 Рік тому +8

    Eti baada ya kutoka Nje ndy anajua ku a vituo vingi vya bodaboda🤣🤣

  • @yusuphuramadhan4446
    @yusuphuramadhan4446 Рік тому

    LEMA KWA SERA ZA BODABODA SIDHANI KAMA UTATOBOA, WATU WAMEJENGA NYUMBA KWA KAZI YA BODABODA, KILA MTU ATAKULA UREFU WA KAMBA YAKE.

  • @elishamassatu66
    @elishamassatu66 Рік тому

    Uyo dad heee akilala Sauti ana Mahan sio kwa mahaba hayo

  • @petermhina6535
    @petermhina6535 Рік тому

    Ndugai aliwahi kukataza wabunge wasipande boda alijua sio usafiri au?

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 Рік тому +1

    Fact

  • @unkown2429
    @unkown2429 Рік тому +4

    Jamani , wasipofanya bodaboda watalisha nini familia, na tuachane na boda kuwa maskini…. Ila inatakiwa ziwe za clean energy, less pollution boda zote zinazotumia petrol zifutwe zije electric boda wafubdishwe safety measures …. Serikali haiwezi ajiri kila mtanzania… kumbukeni population ni 61 million Tupo wengi mnooo… boda pia wanaendesha bila precautions….tuache vyama tucheki solution ni nini

    • @andrewzimba692
      @andrewzimba692 Рік тому +1

      Sasa si mwanachama ndo analiongelea wewe unalijua mbona upo kimyatu,shida sio petrol ni madahali mengine hatarishi after miaka kama upepo,,Kwani isipotumia petrol hawo boda hawataathirika kwa upepo?

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Рік тому

      Kwan kaz ni moja tu

  • @salomemahenge7935
    @salomemahenge7935 Рік тому +1

    Safi kamandaaa

  • @hellencletus4833
    @hellencletus4833 Рік тому +1

    Mh unatuachaje?? “Kama nlivyowakuta”😂😂

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Рік тому +2

    Sasa kaka lema ukiwatoa boda boda wake zetu watabebwa na nani jmn

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 Рік тому

      Hajasema bodaboda watoke! Rai yake ni kwa serkali ije na mipango mizuri ya ajira zinazoeleweka kwa vijana!

  • @muhidinmangu3456
    @muhidinmangu3456 Рік тому +2

    ✌️✌️✌️✌️💯

  • @happyfashion-vl8br
    @happyfashion-vl8br Рік тому

    King

  • @AjePicturez
    @AjePicturez Рік тому +5

    Hakuna kitu hapa
    Muwamba Ngoma huyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fumbukashangwe3173
    @fumbukashangwe3173 Рік тому

    Hapana unabii hapana zungumzia siasa tu

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 Рік тому +2

    Jamaa kampanga😂😂😂😂

  • @yonnamwashiuya6928
    @yonnamwashiuya6928 Рік тому

    Naaamini ipo cku chadema itashika nch

  • @ngumbosanga5359
    @ngumbosanga5359 Рік тому +1

    Siyasa za majitaka wewe ulikuwa mmbunge miaka 15 nini ulichokifanya Yani mtuu anaakaa nakupoteza muda wake kwa kusikiliza siasa za chadema

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 Рік тому +1

      Unajua kazi ya mbunge wew. Au unafikiri mbunge ni serikali

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Рік тому +2

    Watanzania wengi hawaelewi umasikini nautajili wao wakipata musositumaisha yananoga

    • @yohanayohanaadamu6483
      @yohanayohanaadamu6483 Рік тому

      Mmoja wapo ni wewe

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 Рік тому

      Yeye ana utajiri gani wa kuwasaidia watu wa Bodaboda, Halafu anajifanya eti chakula ni ghali Tanzania, hebu muulizeni sahani moja ya Chakula Canada ni kiasi gani kama hamjampiga Mawe. Mbapoteza muda Wenu kwenda kumsikiliza Lema ambaye hawezi kutattua matatizo yenu. Pumbavu kabisa.

  • @gordonwalexs1685
    @gordonwalexs1685 Рік тому +5

    Very nice

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому +4

    Siyo lasima waendeshe ama ukawape ajira

    • @humphreynyiti516
      @humphreynyiti516 Рік тому

      Sio lasima yaani kiswahili chako tu nimekusoma nchii kuwakomboawatu wakiswahili chako ningumu sana

  • @gspofficial7977
    @gspofficial7977 Рік тому

    Semaaaa

  • @aggreyenock1221
    @aggreyenock1221 Рік тому

    👏👏👏

  • @amanieljosephellythedon5921

    Mmmmh lema upo spead sana punguza plesha utaludishwa ulikotoka haki

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 Рік тому

    Sasa Arusha kuna mnaosema kwamba Lema hapendwi saizi hatumtaki! Ndo mniambie kwenye mkutano wake mnafuata nini? Baki magetoni kwenu kama lema hana hoja!

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 Рік тому +2

    Elimu nusu shida

  • @fredyijumba1023
    @fredyijumba1023 Рік тому

    Hapo sio kwamba watu wanaelewa wanashangilia kwa sababu ya michambo.

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Рік тому

    Wape mbadala.Bodaboda la kuambiwa ongeza na yako.

  • @samuelndosi9577
    @samuelndosi9577 Рік тому +3

    Wape mtaji mzee

    • @johnmsambuzi9094
      @johnmsambuzi9094 Рік тому +1

      Serikali ndyo anatakiwa kutoa mtaji shee,lema anawasemea,wanaochukua tozo

  • @aloycemabula8649
    @aloycemabula8649 Рік тому +2

    Hivi watu hawana kazi za kufanya, Wanapoteza muda wao for nothing

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Рік тому

    Wote mnaomsifu lema mnadanganya hakuna lolote madhaifu mengi jukwaani hakuna tja yoyote kulaumu na kutafuta huruma ya wananchi mtu mwenyewe akili hawezi kusimama na kuendelea kujaza mapochi ya wengine,
    Chama kimejaa ubinafsi

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 Рік тому +1

    Lema km lema

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Рік тому

    ULIKUA MBUNGE MIAKA KUMI ULIFANYA NINI?

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 Рік тому +1

    Na ukija kukosa kura usilalamike nyau ww..

  • @goodluckdamian9521
    @goodluckdamian9521 Рік тому +1

    😢😢😢

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 Рік тому +1

    Mmmmh hizi kampn za mapma hii ...hebu tuone

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 Рік тому

      Kile chama kinachotawala ni lini kimeacha kufanya kampeni? Hawa hawjakutana na wananchi tangu uchaguzi ulipokwisha. Walizuiwa hata kwenda majimboni kushukuru wapiga kura wao. Miaka sita hivi wamezuiwa kufanya mikutano! Haki iko wapi? Vyombo vya habari hususan TV ya taifa inanadi na kusifia upande mmoja tu! Ndo sababu watu wanadai Haki sawa na kuandikwa kwa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!

  • @magokola2376
    @magokola2376 Рік тому

    ila kweli boda boda ni umasikini sana serikali ipunguze kodi watu waingize mitambo ndani

  • @salimkipuge4526
    @salimkipuge4526 Рік тому

    Bingo bahati mbaya,mheshimiwa unatuachaje?? Kama nilivyowakuta..😂.

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 Рік тому +3

    Ana njaa huyo.!!! Hana lolote hata akipewa nchi. Hatabadili lolote. Mazwazwa ndo wanamwamini.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 Рік тому

      hata anavyo ongea hapa ni hayo hayo anayo ongea mitandaoni anarejea hayo hayo kila siku

  • @motingijh2101
    @motingijh2101 Рік тому +1

    Naomba tofauti ya mtu anayepanda boda boda kama abiria na mtu anayetumia pikipiki kama usafir binafsi pengine tunatukanwa wengi

    • @geraldlyimo2859
      @geraldlyimo2859 Рік тому

      Mm naendesha pkpk binafsi ni kweli viungo vinaniuma hasa mgongo godoro laini halinifai na macho yanawashaga balaa anayosema ni kweli ili tujipange na tutakayokutana baadae na hizii pkpk

    • @motingijh2101
      @motingijh2101 Рік тому

      @@geraldlyimo2859 ni nchi gani ambayo pikipiki hazitumiki au ndo tunaanza tanzania

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 Рік тому

    Kamanda Lema

  • @happyfashion-vl8br
    @happyfashion-vl8br Рік тому

    🥰🥰

  • @mosesmnyantope9534
    @mosesmnyantope9534 Рік тому

    Du shaz

  • @afanikiwechaula1347
    @afanikiwechaula1347 Рік тому

    Huyu. Anataka bodaboda zipigwe marufuku ili waseme vijana hawana ajira tulio soma Cuba tushaelewa