Shamba la mahindi la ekari 18 lavamiwa eneo la Transmara
Вставка
- Опубліковано 3 січ 2025
- Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Transmara kwenye mpaka wa kaunti za migori na Narok baada ya watu wasiojulikana kuvamia shamba moja la ekari 18 na kufyeka mahindi usiku wa kuamkia leo. Tukio hilo limesababisha maafisa wa kikosi cha gsu kutumwa eneo hilo la mpakani kushika doria.
This is sad , very very foolish and unreasonable 😢 may you find strength in the Lord and comfort.
Aty a normal issue na wau wamepoteza maindi hiivo...this is not normal bwana commissioner it's a crime
Lakini inaweza tengeneza pombe. 😏
Woi food busket yetu 😢.transzoia itabidi tuchukue mahindi ucrain na rashia vile tunapenda ugali😂😂
Walisema ni riggy g wakuuane wote
Viongozi wagani wamekua huko hivi karibuni
Wakuje kitui tuwapatie dawa
Ukweli ndio watu wawaje kucheza navitu ya watu niashara kubwa Sana aki
If you led by looters what do you expect?
Ni RUTO..RUTO ananyakua
Don't be a fool fanya kazi hutapewa handout fala
Acha ujinga
@@Patoh254Somiemwambie anakaa shenzi too