@@BMGOnlineTV mwaka huu wa fedha ulioisha halmashauri zilizokusanya sana kwa wingi ni dsm jiji (ilala),kinondoni, dodoma, temeke, arusha,mwanza, tanga,ubungo,kigamboni na mbeya
@@valentineshembilu1256 Manispaa tatu Bora kwa kukusanya mapato mwaka 2021/22 zilikuwa ni Kahama (67%), Musoma (65%) na Ilemela (55%). Je kwenye video tumetaja takwimu za mwaka gani hadi ukabaini ni uongo? Na je unatambua kuna kundi la Halmashauri mbalimbali kama Wilaya, Miji, Manisapaa na Majiji? Haya karibu tujengeane uelewa!
@@BMGOnlineTV ukiongelea kwa asilimia za manispaa 2021/22 kahama wana 104% bil 9.9,ilemela 108%bil 10,musoma 96% hizi manispaa ulizotaja hazipo kwenye tatu bora kwa asilimia ila kahama na ilemela ndio zimeingia kwenye manispaa mbili bora zilizopo mikoani kwa pato halisi si asilimia, shinyanga 126%,ubungo na kigamboni zimeingia tatu bora kwa kundi la manispaa kwa kufanya vizuri kwa asilimia, source Tamisemi sachi mapato tamisemi udowload pdf file
Asante sana Pazzo
BMG TV kazi yenu nzuri sana
🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤
Uko vizuri sana mr, tunaomba utuonyeshe na Bariadi pia Geita
Nitafanya hivyo
Bariadi ua-cam.com/video/xiEmvka5u4Q/v-deo.htmlsi=OHuwwJJVMARXkmKv Simiyu
Nice
Thanks
Naona Leo umetembelea wilayani kwetu big up sana
Pamoja sana Rich
@@BMGOnlineTV ukipata mda waulize viongozi mbona barabara na stand ya mabasi haviendani na hadhi ya manispaa
@@richrichard3322 sawa
Siku moja muitembelee na Bariadi, nasikiaga nako eti ni pazuri.
Sawa, tutafurahi kufanyia kazi maoni yako
Kweli na bariadi waitembelee
Bariadi ua-cam.com/video/xiEmvka5u4Q/v-deo.htmlsi=OHuwwJJVMARXkmKv Simiyu
Kwa mgeja apo
Nyumban nimepamic aise
Mje na Songea ,mjukue na picha ya juu yaan drone
Ahsante kutukaribisha
Finka
Nyumban apo
@@mohammedsalum3502 safi
Watu wanavyo piga kelele kuusu kaama kawa bonge la mji kumbe akuna lolote apo kama wilaya nyingine tu pia kunafanana na kigoma
Hhahahahaaaa Kigoma kweli jamani
unadanganya ww
Jitahd utumie drone camera kazi yako itakuwa Bora zaidi
Sawa
Usiwe muongo eti kahama ni halmashauri ya tatu kimapato baada ya kinondoni na mufindi
Weka hapa ukweli wako tujifunze. Lakini kwanza tuliza moyo, sikiliza kwa umakini, kisha tuendelee kufundishana.
@@BMGOnlineTV mwaka huu wa fedha ulioisha halmashauri zilizokusanya sana kwa wingi ni dsm jiji (ilala),kinondoni, dodoma, temeke, arusha,mwanza, tanga,ubungo,kigamboni na mbeya
@@valentineshembilu1256 Tofautisha kwanza Halmashauri za Majiji na Manispaa kisha tuendelee.