4. MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO (Mikakati Ya Maombi) - MWL. ISAAC JAVAN - KKKT KISASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Hili ni somo na maombi ya kufunguliwa kutoka kwenye vifungo ambavyo vina msingi wa historia. Lengo la somo hili, ni kushughulikia vyanzo vya matatizo. Lakini pia, Roho Mtakatifu anaenda kushughulikia matatizo ambayo hayasikiagi maombi ya kawaida (matatizo sugu). Kwa hiyo, hili ni somo muhimu sana kwa watu wote, wakubwa kwa wadogo; na wazee kwa vijana.
    Historia ya maisha yako, ndiyo inakufanya uwe jinsi ulivyo leo. Aina ya maisha uliyonayo, ni matokeo ya historia ya maisha yako. Hali yako kiroho, ni matokeo ya historia yako. Kwa hiyo historia ya maisha yako ikipona, maisha yako yote yanapona. Napenda kukutia moyo, usikose kufuatilia muendelezo wa somo hili pamoja na maombi yake.
    Sikiliza mafundisho haya kwa utulivu na umakini mkubwa, na uelewe vizuri, ili wakati wa maombi unapofika, uweze kufanya maombi yenye faida na matokeo mazuri. Kumbuka jambo hili mpendwa katika KRISTO YESU, nguvu ya maombi yako inategemea kiwango chako cha kulielewa neno la Mungu linalogusa shida uliyonayo. Mungu analiangalia neno ili alitimize. Hivyo basi, hakikisha unalielewa neno, likupe maarifa, ili ukiomba upate ushindi kwa Jina la YESU na kwa damu ya YESU.
    Mungu akubariki na kukupa ushindi daima. Amen!
    Instagram cutt.ly/tSgLeUv
    Facebook cutt.ly/pSgLvpH

КОМЕНТАРІ • 50

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 9 місяців тому +1

    Ameen Amen mtumishi wa Mungu, nimefunguliwa kupitia maombi Haya, Nimewekwa huru mbali na vifungo, nashukuru sana pia kwa mafundisho mbali mbali uliyo fundisha kupitia you tube, narudia na kurudi kufanya maombi na nimeuona Mungu kwenye maombi yako Mungu akubariki sana sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 місяців тому

      Amen Amen Mama, uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote. YESU akutunze na damu yake inene maneno mazuri kwa ajili yako daima

  • @queenjulius848
    @queenjulius848 2 роки тому +2

    Ameeen baba mafundisho mazuri sana🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu, usisahau kufuatilia muendelezo wote. YESU akutane na haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 2 роки тому +2

    Very true servant of God thank you for your deliverance you are the vessel of God , you deliver me from bondage and curses be blessed teacher Isaac Javan

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen my daughter. To JESUS be the praise and honor. May God deliver you from all kinds of historic bondages.

  • @fgggvh6090
    @fgggvh6090 2 роки тому +2

    Amen Nmebarikiwa Mwalimu GOD BLESS U 🤝🤝🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. Usikose maombi muda si mrefu ujao. Amen 🙏 🙏

  • @mboyajoseph4668
    @mboyajoseph4668 2 роки тому +1

    Bwana Yesu asifiwe
    Ubarikiwe sana Mungu akutumi

    • @mboyajoseph4668
      @mboyajoseph4668 2 роки тому +1

      Mungu akubariki kwa maombi haya yasiyoyakawaida

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @mildredkhagali8357
    @mildredkhagali8357 11 місяців тому +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nimejifuza mengi kupitia kwako yale sikua najua nimejua kila wakati mimi uombe maombi yako yananisahidia sana mungu azidi kuinua na akubariki sana usiwahi bungukiwa na chochote.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen Amen jina la BWANA YESU litukuzwe milele. Damu ya YESU izidi kukupigania na kukushindia katika yote.

  • @angelMawole3689
    @angelMawole3689 7 місяців тому

    Mungu wa mbinguni aendelee kukubariki...naendelea kufuatilia maombi haya🙏🏻🙏🏻

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 місяців тому +1

      Amen nakuombea ushindi mkuu

  • @wivinendege
    @wivinendege 2 роки тому +2

    Thank you so much Man of God,it's too uplifting
    my request is this pray for me my Dad for freedom of body, mind and soul may God give me freedom for this three level .BWANA YESU PONYA HISTORY YA MAISHA YANGU KWA DAMU YAKO YA TOBA NA REEMA AMEN 🙏 ❤️❤️❤️❤️

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen Amen 🙏 my daughter. May the precious blood of Jesus give you the freedom you need in every area of your life. God bless you and win your spiritual battles for his glory. Amen mwanangu

  • @kirimamary2166
    @kirimamary2166 2 роки тому +2

    Amen and amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango 2 роки тому +2

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @judithachimpota942
    @judithachimpota942 2 роки тому +2

    Ameen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому +2

    Amen babaangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU

  • @fridahmwanzia6587
    @fridahmwanzia6587 2 роки тому +2

    Amen and Amen 🙏

    • @chikalurinchu2724
      @chikalurinchu2724 2 роки тому +1

      amen bwana yesu asifiwe sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      @@chikalurinchu2724 Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @Mari-si7dr
    @Mari-si7dr 4 місяці тому

    Yes

  • @Mari-si7dr
    @Mari-si7dr 4 місяці тому

    Yap

  • @miriamndunda4459
    @miriamndunda4459 6 місяців тому +1

    Nafunguliwa mchungaji kwa kiwango Cha kipekeee

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @Mari-si7dr
    @Mari-si7dr 4 місяці тому

    Amin nikweli kabisa

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому +1

    😢kama sinauhakika na tareh niliyozaliwa maana nilkulia mtaani

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Рік тому

      Mungu akubariki. Kama huna uhakika, "ombea tarehe yako ya kuzaliwa bila kuitaja" na YESU ataishughulikia maana yeye anaijua.

  • @judithachimpota942
    @judithachimpota942 2 роки тому +2

    Baba naomba namba ya simu ili nisindikize haya maombi na sadaka

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому +1

      Namba ya sadaka ni +255 745 76 45 72 (Isaac Javan). Ubarikiwe na BWANA YESU milele. Amen Amen 🙏

    • @judithachimpota942
      @judithachimpota942 2 роки тому +1

      @@IsaacJavan asante baba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      @@judithachimpota942 amen mwanangu ubarikiwe

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 Рік тому +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @qenxlizaxh6402
    @qenxlizaxh6402 10 місяців тому +1

    Ameen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 місяців тому

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @Mari-si7dr
    @Mari-si7dr 4 місяці тому

    Yes

  • @JosphineMwasame
    @JosphineMwasame 10 днів тому

    Amen 🙏

  • @manyamalima1916
    @manyamalima1916 2 роки тому +2

    Amen 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 роки тому

      Mungu akubariki sana sana mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele. 🙏 🙏

  • @Mari-si7dr
    @Mari-si7dr 4 місяці тому

    Amen