Hii kali! Hii ndio dawa ya wanawake wenye tamaa... unawalisha jeuri zao kavukavu mamaaaeee....mtoto na mamaake wote funuaaa halafu waache watoane roho wenyewe sees endelea kulaa....
Foxe tv nilikuwa nawaamini kumbe huwa mnatuletea visa vya kupika? Sasa hiki kisa hata mtoto wa darasa la 3 anaona kabisa kimetengenezwa siyo harisi duu!aibu sana kwenu foxe tv
Hata kama unataka aibike sio ubinadamu we kaka muogope mungu kwani wewesi umemla?? Utamlipa nini nayeye ulivyomtumia? Huo ni uchafu na laana na wewepia huna ustaarabu unamgeukiaje mkweo huna maana wala usingetangaza upuuzi huu
Hii kali! Hii ndio dawa ya wanawake wenye tamaa... unawalisha jeuri zao kavukavu mamaaaeee....mtoto na mamaake wote funuaaa halafu waache watoane roho wenyewe sees endelea kulaa....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kuna watu hawana akili vizuri jamani haya mkweeeee sasa ataolewa yeye hiii kali😂😂😂😂😂 nimecheka sana
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mama mkweeee mkwe humkwea mkweweee four four 2 hiyo unakuja lishep imamu kaliona
Huyu hana akili
Interview ya binti
Lakini si ulikuwa unapakua mzigo leo unaenda kwa wachawi ovyo
Hiiii kikiiii jaman wanajambooo laoo hawaaaa wanatakaa kwenda mjini
Hongera kaka.
bro are you sirious??
Umenichekeshaaaa wewe nimechekaa mpakaa. Yaani ukitaka kucheka angalia hiii film
Duuuuh umekuwa mbuzi kama babu
Yaan huyu ndo anachekesha jamani khaa😂😂😂😂😂😂😂😂 iladunia inawatu
Sasa hii imekuwa comedy
Muoe Mama Nenda kwenye Sheria
Babu umekuwa mbuzi anaepita unae
Hii huyu jamaa vip
Yule dada kijana anataka pesa yuko tayari kuuza mówili kwa ajili ya pesa.
Mama mukwe kasema hayo mameno hata kwenye kanga zipo vipi hapo.
Ila kweli inauma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu
Foxe tv nilikuwa nawaamini kumbe huwa mnatuletea visa vya kupika? Sasa hiki kisa hata mtoto wa darasa la 3 anaona kabisa kimetengenezwa siyo harisi duu!aibu sana kwenu foxe tv
Mtazamo wako aupo sahii
Huyu Ana changamoto ya akili, apelekwe mirembe
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanatamaa Mtoto na Mamaake! Wacha awatafune tu!
😂😂😂😂
@ME-k😂😂😂😂😂😂😂😂😂b8rk
Hata kama unataka aibike sio ubinadamu we kaka muogope mungu kwani wewesi umemla?? Utamlipa nini nayeye ulivyomtumia? Huo ni uchafu na laana na wewepia huna ustaarabu unamgeukiaje mkweo huna maana wala usingetangaza upuuzi huu
Mchezo tuu huu
Michezo ya waganga kutafta kk
Huyu jamaa nilipomuona malayakwanza nilijua kabiza huyu akili timamu hana alisema ana r.b napolisi wapo nje badae akasema askali wapo njee mala akaanza kubembeleza huyu jamaa janja janja ya twn akilipia hana
😂😂😂😂😂😂😂
Na wewe tangazaji boya tu katafute kazi ya kufanya unatupotezea muda na maboya wenzio mwandishi unatia aibu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kuna watu hawana akili vizuri jamani haya mkweeeee sasa ataolewa yeye hiii kali😂😂😂😂😂 nimecheka sana
😂😂😂😂😂😂😂