Kaka achana nae uyo mwanamke si sahihi kwako na umshukuru mungu sana kwa kukuepusha nae na kuhusu ela mwachie Allah ndie atakae kulipa ila uyo dada na mama yake mungu anawaona.
Kaka huo ni mtihani upokee muogope Allah hujuwi kakuepusha na nini usifanye ushirikina na achana na mwanamke utapata mwengine usijali muombe Allah akupatie mke mwema
Unajuwa unapolia unakosea maana wale wenzetu wanataka mume awe jasiri ww hutaweza kuishi naye hata miezi miwili kwq kuwa huna ujasiri. Wanawake wapo wengi ya nn ukaroge.au ni comed hii.
Huyo Bint hafai Usifanye Shirik
Huyo kaka atulize moyo wake mungu amemuepushiya mengi wakurudishiye mahari mambo yaishe
Pole kaka, mnavyolia mnawapa kichwa achana nao hao wana laana, hujui Mungu kakuepusha na nini hapo. Mwache aende zake ukilazimisha utaumia wewe
Nakushaure bro usiandia kwa waganga muwekia mungu mbili tu
Usilie muachie mungu alafu pia shirki katika uislam imekatazwa we achananae hujui mungu kakuepusha nanini
Kaka munchies mungu huwezijua mungu Ana kuepusha na nini mshukuru allah kwa kila jambo
Kaka achana nae uyo mwanamke si sahihi kwako na umshukuru mungu sana kwa kukuepusha nae na kuhusu ela mwachie Allah ndie atakae kulipa ila uyo dada na mama yake mungu anawaona.
wanawake wengine lakini, vichwa maji kweli
Kaka huo ni mtihani upokee muogope Allah hujuwi kakuepusha na nini usifanye ushirikina na achana na mwanamke utapata mwengine usijali muombe Allah akupatie mke mwema
We ni msilam ltaukuaje uzini?
Kaka usilie mungu amekuepusha na hapo lingetokea mbaya shukuru mungu atakujalia mke mwenye madili mema achana na huyu mwana haramu
Hongereni kwa comedy 😂😂
😂😂😂😂
Hiyo siyo kweli ni uongo tu😅
Hahahahaaaa..km mazuri mji una wababe huu..si hmi mm bongo
Ache usani wanawake wengitu tena wazuri
Kwanini msitoe kwa episode ?
Ni igizo zuri na mnaweza😂
Mh uyu dadahafai anajiuza nini😂😂😂😂
Pole ndomitihali lia na allah😢
Mungu kakupenda huyo binte sio khire yako kakufanya hevo hujamuowa jee ukimuowa sio khire yako bro kuwa namoyo ww mwanaumea
Unajuwa unapolia unakosea maana wale wenzetu wanataka mume awe jasiri ww hutaweza kuishi naye hata miezi miwili kwq kuwa huna ujasiri. Wanawake wapo wengi ya nn ukaroge.au ni comed hii.
Kijana tulia TU Allah atakupa mwengine Inshaa ALLAH.
Waongo
Dini gani uloruhusu kuowa wake 6 au 7 we kaka huyo mwanamke sio sahihi kwako utapata mke bora achana nae huyo dada ni biashara na mamake
Chumbie mabinti walio tulia
Leo unaenda kuchumbia
Mke danga la mjini.
Kaka pole 😢😢😢
Babu arusi unaenda kuowa ata kupiga pasii
Acheni uzembe nyinyi wanaume munashindwa na mwanke mmaja.nawewe nduyangu mmakonde acha azembe
Mji mzito huu jmn😅😅😅
Acha upumbavu mshukuru mungu kuna kilichokuepuka huyo mwanamke na mama hayo machozi yanatosha
njaa mbaya pengine kapewa elfu 20 tu
zee zima linajizalilisha
😂😂😂😂
Kakauyosimwanamke mzee
Habari hiyo ni comedi?
Uyu jamaa mpuuz sana akili hamna apo
Kila lekuepukalo Lina kheir nawe waweza kupenda jambo kumbe Lina shari nawe waweza chukia jambo kumbe Lina kheir nawe Allah ndie mjuzi
Matapeli tuu hao
Usanii matupi !
Washenzi nyie wote wanawake wameisha duniani?
Uachane naye ni mwizi
Kuma tu ndio analilia tu ama ni nini? Huyu awache usanii
😂😂😂😂😂😂
@@Dafetty😂😂😂😂mbavu zangu jmn anavolia
😂😂
Tafuta mwingine huyo hafai kutwa mke
mmelogwa nyie
Huu ni uongo mtupu
move part 2
huyo hata kumsikiliza ni
kinyaa
anajidai kujiliza
binafsi nimeshindwa kuendelea kumsikiliza hata
kwa sekunde kumi
Kabisaaa😅
𝐌𝐰𝐞𝐳𝐞𝐧𝐮 𝐤𝐚𝐭𝐚𝐯𝐢 𝐚𝐥𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐬𝐡𝐞𝐫𝐞𝐡𝐞 𝐛𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐤𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚𝐲𝐮𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐩𝐩𝐲 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐦𝐧𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐰𝐞𝐧𝐢 𝐮𝐣𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐦𝐰𝐞𝐳𝐞𝐧𝐮 𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐚𝐯𝐢