wonderful piece.!!😍 kuna wimbo wenu ulibariki makambi..Kisumu kenya..hapa Kenya Re Sda church..inasema " njoo ulivyo njoo" natamani kuisikia sana. ilinikumbusha maisha yangu na jinsi Yesu bado ananiita..plz niambie ni gani ama unitumie link niweze kuisikia tu admin usipige love💝tu..tafadali nisaidie mwenzenu nakumbuka kiongozi alisema mnaimba kueneza injili sanasana..kwaivo nipeni injili
Nikifika hapa Mimi Hufikiria Kuhusu idadi ya walio Utazama Huu Wimbo. Ndogo sana. Jamani waadventista...,Twafaa Kuwa Millioni Sasa
Aisee video kali
Watu nadhifu
Sauti tamu
What else
Mbarikiwe
That Joy when u get a notification from LB for your favourite hymnal.
God bless LB
VIJANA NYASUBI CHOIR_Barikiwa
Much love from kenya....please do, nipe biblia.
Kutoka rwanda tunawapenda sanaaaaa🎧🎧🎧🎧
Ruguri
Wow!..... congratulations for the nice work... All praises and honours to Jesus Christ...
#Keen Charles& Elikana Berius nawapa salamu
Amen, imekaa poa sana!
I love hymns especially when performed in a simple way like they do
Endeleeni kubarikiwa Sana kwa uimbaji wenu...
Maana mnaipeperusha bendera ya Yesu Kristo vyema, hivyo nae hatawaacha.. Ooooo god bless us
Still my favourite choir...I'm blessed.
God bless LightBearers.
With love,From🇰🇪!!
Big up u Guy's Mungu awabariki kwa wimbo nzur kama huu
Akafa niwe hai.
Mbarikiwe
Nitaimba pendo lake barikiwa watu wa Mungu
Amina
Mungu awabariki LB
Thanks for the translations it helps a lot now I can sing most of your songs and also understand the meaning of the song 👍
Uuuuuuu, more 👉🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆 to LB
Sauti za ushindi na zenye pendo la Bwana
Endeeleni kuimba pendo lake ni kuu ❤❤❤
Wimbo niupendao saana
My favourite group .............mbarikiwe
Amen blessed Chior. Am blessed indeed here in the USA 🇺🇸. Barikiwa sana.
Wow they're back in action,
Wonderful voices.
God bless light bearers
Always blessed to hear you sing 🥰
Lots of love from MN
wonderful piece.!!😍
kuna wimbo wenu ulibariki makambi..Kisumu kenya..hapa Kenya Re Sda church..inasema " njoo ulivyo njoo" natamani kuisikia sana. ilinikumbusha maisha yangu na jinsi Yesu bado ananiita..plz niambie ni gani ama unitumie link niweze kuisikia tu
admin usipige love💝tu..tafadali nisaidie mwenzenu
nakumbuka kiongozi alisema mnaimba kueneza injili sanasana..kwaivo nipeni injili
Amina! Glory to God. Beautiful praise of God’s love for us. Thank you - The Lightbearers -TZ. May God continually bless you 🙏🏽
Amen.
99% new members? 😳
I'm so proud of the way you sing and being in this kind of joy by hearing your voice sounding like Angel's voice, Happy Sabbath Day to all.
Rafiki angu Rachel kazi nzurii
Nyimbo zenu nzur ila zote zina fanana zimepoa sana
Wow beautiful voice be blessed 🙏🏼🙏🏼🥰
Happy Sabbath
Wapo live sabato hii tar 16.01.2021 kanisani Bunju wakihitimisha siku 10 za maombi na Mch Baraka
You made it, get more blessings
Mbarikiwe sana
This is the way to go...
Nicely done
🎉🎉🎉🎉❤🙌 God bless you so much the light Beares🙌🙌🙌my God🤲🙏🙏🙏
Bwana apewe sifa
Kumtumikia Mungu kuna fanya watu wawe na nuru ❤️❤️❤️barikiweni sana
I can't stop singing his love
Hallelujah
GOD is LOVE.
Assnteni sana, waiting for the next hymn🙏🏿🙏🏿🇹🇿😍
Soon G
Aminaaaaaaa. Mungu awabariki
Mbarikiwe mnajua kuimba
Niimbe Pendo lake amen
Happy sabbath brethren beautiful voices
Happy Day Dear
What a beautiful hymn.
I'm blessed
You did it again. Blessings
amen
What a Version of Niimbe Pendo Lake. Aaaaaaamina!
Ameeeni.
Mimi ni mukongomani, nimefata nyimbo zenu sana na zimenijemnga. Sasa niko Dar es salaam, nitawapata katika kanisa letu la wapi? Mubarikiwe sana.
Wanapatikana kanisa la chuo kikuu - mlimani, the University of Dar es Salaam🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Karibu sana Tanzania ,jisikie upo nyumbani ☺
@glorious n Asante sana. Nitapafika sabato ijayo. Sabato jana nilisomea kunako itwa mwembechai
means nikichukua taxi niseme naenda kwenye university of dar es salaam tu? mimi sijui mahali popote ila pale ninako lala tu.
Ngashanda. S d a church
God song. God bless you
Ameen
Nice.
Always a blessing. Sweet voices, great message. ❤️
Indeed I will sing his love....my best song amen and amen
Amen amen
Amen ❤️🌈👏🏾
Another good gospel music from best choir, Groly to our God.
We are much Blessed Sana. Thanks and God bless
Mbarkiwe sana 🙏
Credible... 🔥 🔥 that unison
wonderful voices . always blessed
AMEN
awesome choir
KARIBUNI SERENGETI MAHUBIRI, OCT 2021
Good
Mbarikiwe sana
Ministry
Asantee
gud
💕💕🙏
🙏
Mbarikiwe sana wapendwa
Ukipata wakati usikose wimbo huu inatukumbusha inchi nturi
ua-cam.com/video/QghwTUc8lYE/v-deo.html
Ameen
Good