Mungu u mapenzi mkamilifu Yapitayo fahamu za watu, Twanyenyekea sisi wapungufu, Wape baraka wapenzi wetu. Ewe Mapenzi yasiyotimika Twawaombea kitini Mwako, Wape mapenzi yasiyotindika, Walioona mbele yako. Ewe uhai, wewe u dhamana Ya imani na matumaini, Wape kuvumilia hapa sana Wasiche maumivu mwishoni. Wape furaha hiyo iwezayo Kutia nuru kwenye huzuni, Wape amani hiyo itakwayo Katika matata duniani. Waende mbele kusaidiana Maisha yao ulimwenguni; Hata mwisho, ni kuja kwake Yesu, Wafurahi milele mbinguni.
siku ya ndoa yangu Mungu akipenda huu wimbo lazima upigwe,such a blessing song..Congratulations Light Bearers Tanzania for beutiful and blessing songs....
I was wondering where the bass man disappeared to...!!!! Hongera kaka. welcome to the club and please come back to the choir .. beautiful marriage pics there. please keep supporting each other.
GOD bless you much.and much.. u Really bless me .. and inspire through ur songs.. l really like to join u one day to sing.. with u.. .. GOD be with u forever and ever AMEN 🙏🙏 l love San light bearers..!!
Very beautiful voices.I don't understand Swahili but that's beautiful music❤
Why is this song not having 1M views?
Mungu u mapenzi mkamilifu Yapitayo fahamu za watu,
Twanyenyekea sisi wapungufu, Wape baraka wapenzi wetu.
Ewe Mapenzi yasiyotimika Twawaombea kitini Mwako,
Wape mapenzi yasiyotindika, Walioona mbele yako.
Ewe uhai, wewe u dhamana Ya imani na matumaini,
Wape kuvumilia hapa sana Wasiche maumivu mwishoni.
Wape furaha hiyo iwezayo Kutia nuru kwenye huzuni,
Wape amani hiyo itakwayo Katika matata duniani.
Waende mbele kusaidiana Maisha yao ulimwenguni;
Hata mwisho, ni kuja kwake Yesu, Wafurahi milele mbinguni.
Good singing
Amina sana mnatubariki sana huku maeneo ya serikali kuu😊🙏🏻🙏🏻
Beautiful 😍❤️
Mmebakia ninyi tu kwaya niipendayo TZ.
God bless you team very nice piece 🙏
I like this song
Jmn naombeni wimbo wa mwana mpotevu jmn
Dear God do this for me its my prayer.
Amen.
Wedding song
Haki muziki ni mtam be blessed watu wa baba nanyenyekezwa na hii powerful ministry is......
siku ya ndoa yangu Mungu akipenda huu wimbo lazima upigwe,such a blessing song..Congratulations Light Bearers Tanzania for beutiful and blessing songs....
Tunangojab ndoa yako 🎉
I was wondering where the bass man disappeared to...!!!! Hongera kaka. welcome to the club and please come back to the choir ..
beautiful marriage pics there. please keep supporting each other.
Wooow,,,,,very nice ,,i love it its realky enthralling 🥰blessings guys from kenya
Mubarikiwe sana.
Aiseee! Safi sana Lb
Mmepangilia sauti vzr mnooo.barikiweni mnoo
Nimeupata habari Mungu awabariki kwa kazi nzuri
lovely music .....i just love you and please continue inspiring us.
Great best wishes from praising tz Mungu awaangazie nuru ya uso wake...amen
My best Choir in Tz..proud to be the part of you
M-barikiwe Sana! Nice Song.
Safi kabisa
Always great music ..😍
Beautiful ❤️
So beautiful. What a wedding blessing🙏🙏
am blessed with the song AMEN
GOD bless you much.and much.. u Really bless me .. and inspire through ur songs.. l really like to join u one day to sing.. with u.. .. GOD be with u forever and ever AMEN 🙏🙏 l love San light bearers..!!
Love this
Lovely soothing music! God bless you guys...John i see you
Wimbo mtamu sanaa na merody safi sanaa Mungu awabariki sanaa
Hallelujah 🙏!!
Be blessed
Nabarikiwa SANAAA na uimbaj wenu. .. Mungu azidi watia nguvu
Supper Directed 🏆🏆🏆🏆🏆
This is awesome .....love the composition
Mungu awabariki. Ninabarikiwa na nyimbo zenu.
Oooh hallelujah,... Hymnals series.... This is so wonderfully idea's for bringing to us hymnals in a classical way...
Hii inainua Nafsi Sana
@@erickmsuguli2225 sanaaaa
Mungu.akuinuwe.juu.zaidi barikiwa
I love this song. Where can find the lyrics?
Comme c'est Beau!
Wow this is wonderful
Be blessed
future wife jiandae...hiki ndicho kibao cha kuingilia ukumbini kabisa 😋😋😋
nasi tutauimba live kanisani siku hiyo
Nawakubal sanaaa
My two favourite guys are finally hooked God the sweetness of marriage can be seen through your saints
i'm so excited for them
Hii ndo sasa imesikika.. mliopaform kwenye tukio mlivuruga..CONRATULATIONS!!
Napenda huu wimbo sana
Ninabarikiwa Sana na nyimbo hii,mbarikiwe sana.
Barikiweni sana lb
God bless you 😇
Hongeren sana kwa wimbo wale ambao hatujaoa tano tena😂😂
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu
Aminaaaaaaa
NYIMBO NZURI SANA
Amazinggggggg!!🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nawapata. Barikiwen
What a Harmony
Nice song
Wow kazuri
Amen
Good
Napataje nyimbo zenu za Album ya kwanza?
@Mkama. Mimi ninayo video yao.
😍😍😍😍
Hongeren sana kwa wimbo wale ambao hatujaoa tano tena😂😂
Beautiful 😊