Hongera mh mkuu wa mkoa kwa kazi nzuri,nikweli china wanamatatizo makubwa sana,kwao wanasheria kari sana,hapa kwetu wanafanya mambo kienyeji na shida iko serikalini kuna watu wachache wanashilikiana na wachina kuihujumu nchi.ushauri Mheshimiwa Mkuu wa mkoa anzisha upresheni malumu utangundua madudu mengi ya wachina.wanalinyonya taifa kwa nguvu kubwa sana.
hongera mkuu nami naomba hawa jamaa wajanja sana nina shaka hawa wenye biashara ya kubet hizi pesa shilingi mia na mia mbili wanapokusanya kweli zinafika zihusikako au kuna ujanja ujanja fuatilia na hili wasisafirishe magwala yetu mana hawaaminiki sana hawa
TUWENI MAKINI SANA NA WACHINA HAPO BONGO HAO NI WATU HATARI,WAJANJA NA MATAPELI HAO WAKIKUAJIRI UNAKUWA KAMA MTUMWA WANAKUFANYISHA MASAA KIBAO MSHAHARA NIMDOGO HONGERA SANA MH .CHALAMILA
Asante serikali fatilia wachina nchi hii wanainyonya nchi alafu wanakwepa kodi lakini wanajiamini zaidi kwa sababu kuna wakubwa wanashirikiana nao na wanatamba sana kwa hilo
Safi sana mkuu wa mkoa chalamila,wachina ni wajanja wajanja sana.Wanakwepa kopa,hawalipi mishahara,wanapenda sana kutoa Rushwa,wanatunyonya sana.Kuwe na sheria mzuri ya kuwabana wachina.Hawa wachina sio kabisa.
Wanatakiwa waje wachina wachache ila hii nnch wachina wahind wanaingia tu km choon sijui kwann bora kua na wawekezaj wa kizungu wanajali sana wafanya kaz kiukwel wazungu ndio viumbe wanaojua maisha dunian jins ya kuisha na watu ila mchina muhind utafanya kaz hata miaka mia hufanikiwi kabisa
Hayo maelezo mngekuwa mnayatoa kwa Watz wenzenu wanaokosea taratibu na sheria wakiwa katika harakati za kutafuta ridhiki...hii nchi tungekuwa mbali sana kwa maendeleo.... Sheria utumike hata kwa wageni
Mhe Sisi tuna export coal mkaa kwenda Nje ku leta Hela za kigeni. Ujue sisi ndugu zetu wame funga Biashara export na ku poteza dolla M 28. Tuna shida humo wenyewe kwa wenyewe kwa faida Yao Binafsi. Una sema sawa lekini Go deep into ujue ukweli. Mkaaa export coal stopped of Becco Ltd five months now.
Viongozi wa nchi hii ni wahuni tu, huku migodini watu wamedhulumiwa haki zao wakidai hawana mikataba na selikaoli inajua ufanyaji wa kaz eneo husika ila ukifika muda wa kudai haki zao huambiwa onyesha mkataba wa kazi sasa unajiuliza mbona watu wote wanafanya kazi bila mkayaba na srlikali inajua hilo ila hoja inakuwa mbona huna mkataba dah! nchi hii Mungu asimame tu
Hao wacha bila ya Serikali kuwa macho Serikali hatto pata kitu kwa wezi Umafia China Ulaya wamebanua Chalamila ni Uzalendo sana na China akijua Tanzania haima ufatijiaji na rushwa anaifilisi nchini
tatizo.sheria ziko kwenye.karatasi tu ila hao wachina nchini kwao.huwezi.fanya chochote bila utaratibu kabisa... hapo kuna watz wanasuport n kupata pesa kupitia hapo
Wachina ni watu waovu na wabaguzi kupita maelezo. Nyie mnawaita ndugu zetu kwa kutujengea eti reli ya tazara nk. Wanaojua wataelewa jinsi walivyotutesa na masharti yao na hata leo walivyojenga havipo. Wale sio ndugu zetu ni wanyonyaji wasio na ubinadamu hata tone. Wabaneni hao watu na msiruhusu wajazane hapa kwetu maana muda si mrefu watachukua ardhi yeto na kuita China Town au China Village kama walivyofanya nchi nyingine duniani. Walegezeeni muone moto maana sijui kama waTz tutapata nafasi nchi gani mbadala😢
SEREKALI LAZMA IJUE KWAMBA KULALAMIKA NI KAZI YA WANANCHI ILA KUHOJI NA KUFATILIA, KUELIMISHA NA KULAZIMISHA AU KUSHINIKIZA UTARATIBU NI KAZI YA SEREKALI.
Wachina wanakwepa sana kodi kuliko wazawa.Hawajasoma wala nini.Wachina hawawafanyi wafanyakazi wakanufanufaika,la!Ni wezi,wanyanyasaji,hawafuati sheria,wanapenda rushwa.Viongozi wetu kuweni makini na hawa watu wamejaa sana hapa nchini hamstuki?Wanachuma sana mali zetu na kuondoka kwao.Kuna wazawa wachache wanawasaidia ktk umagumashi wao.Kama hamjaweka sheria vzr basi hawa si wawekezaji wazuri unless kuwe na usimamiaji nzr wa sheria.
Serikali iangalie vizuri athari ya wananchi kupitia uwepo wa wachina nchini, hasa katika biashara ambazo watanzania wanazimudu pasina uwepo wao, na fursa kwao iwe ni biashara ambazo kitaaluma ni muhimu uwepo wao juu ya biashara husika. Kwakweli kwa mtazamo wangu wamekuwa kama wavamizi wa biashara za wa tz ambazo wanazimudu pasina uwepo wao, kwanini kusiwe na mikataba maalumu juu ya kile wanacho takiwa kukifanya nchini! Mfano biashara za nguo viatu bidhaa za stationary sioni sababu kututia njaa na kutunyima fursa kwani wao hatutoweza kucompit nao sababu ndio wenye viwanda wa bidhaa hizo makwao na mwisho watatueka kwenye mabano
Wachina sio kabisa mkuu yaan hawafai kabisa hata huko kwenye mirad ya Barbara hali ni hizo hizo ukiumwa tu hunakaz hawana mikataba ni waiz tu ila wanasema kua Tanzania ukimshika kiongoz mmoja tu ukimpa hela hao wengine unaburuza tu hao wachina mukiwa munawaruhusu waingie kwa fujo hiv Kila kitu kitakua chakwao sio kabisa hawa
Mimi najiuliza nashindwa kuelewa hivi mamlaka zinazohusiana na maswala ya kazi zikowapi mpaka mkuu wa mkoa afuatilie, TRA wako wapi?TBS wako wapi?rushwa inaimaliza nchi watu wachache wanajinufaisha.Chalamila usiishiehapo tu njoo huku Kigamboni kuna viwanda vya wachina vimeota kama Uyoga vingine huku wanajenga huku kazi za uzalishaji zinaendelea,wafanyakazi hawaajiriwi manyanyaso yakutosha sana.
Mbona kwao hawaturuhusu kufungua biashara za maduka?hspa wanapewaje vibali vya kuendesha bisshara kama sisi wazawa?uhamiaji wako na hawa jamaa wanakula misheard kubwa kwa mchina,ukienda benki husband CRDB,Wwachina wanapokelewa kwa mikono miwili,mimi nikienda tunasubiru foment,wao wanapita tu bila ya kuchukua namba ,pale counter wanapwa mpaka laki macashia
Hongera mh mkuu wa mkoa kwa kazi nzuri,nikweli china wanamatatizo makubwa sana,kwao wanasheria kari sana,hapa kwetu wanafanya mambo kienyeji na shida iko serikalini kuna watu wachache wanashilikiana na wachina kuihujumu nchi.ushauri Mheshimiwa Mkuu wa mkoa anzisha upresheni malumu utangundua madudu mengi ya wachina.wanalinyonya taifa kwa nguvu kubwa sana.
🙏🙏🙏👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
hongera mkuu nami naomba hawa jamaa wajanja sana nina shaka hawa wenye biashara ya kubet hizi pesa shilingi mia na mia mbili wanapokusanya kweli zinafika zihusikako au kuna ujanja ujanja fuatilia na hili wasisafirishe magwala yetu mana hawaaminiki sana hawa
Baadhi ya Wachina wanakwepa Kodi kuliko hata wazawa, wanalipa hela mishahara mikononi na sio mliokubalina hawatoi lisit wanapenda Rushwa sana..
TUWENI MAKINI SANA NA WACHINA HAPO BONGO HAO NI WATU HATARI,WAJANJA NA MATAPELI HAO WAKIKUAJIRI UNAKUWA KAMA MTUMWA WANAKUFANYISHA MASAA KIBAO MSHAHARA NIMDOGO HONGERA SANA MH .CHALAMILA
Mh.Chalamila hongera sana kwa kufuatilia. Hawa wachina ni tatizo kwenye taratibu za kazi mchina hafuati kabisa.Watanzania wanaburuzwa tu.
Nimekuelewa sana Mheshimiwa Mkuu wa mkoa, 🫡🫡🫡🫡🫡 Mjomba wangu
Hongera Dc
Hongera sana uncle Chala💪💪
Asante serikali fatilia wachina nchi hii wanainyonya nchi alafu wanakwepa kodi lakini wanajiamini zaidi kwa sababu kuna wakubwa wanashirikiana nao na wanatamba sana kwa hilo
Mheshimiwa umefanya vizuri sana hawa wachina wananyanyasa sana wananchi hasa viwandani tusaidie mkuu
Na hiyo ndo kaz iliyobak viongoz kutetea maslah ya watu wao kwa ngozi nyeupe big up sana mkuu wa mkoa
Mh Chalamila hongera sana Tena sana, lakini Hawa wachina ni matapeli sana Mishahara hawalipi kazi kupiga wafanyakazi
Turekodie wanapowachapa viboko ili serikali ifanyooshe mkono wake. Wakenya walimuondoa mchina within 24 hours kwa kunyanyasa wazawa.
Kweli kabisa wachina wanawanyanyasa sana watanzania kiukweli
Siyo Tanzania tu,yaani hawa ni kooote
Safi sana mkuu wa mkoa chalamila,wachina ni wajanja wajanja sana.Wanakwepa kopa,hawalipi mishahara,wanapenda sana kutoa Rushwa,wanatunyonya sana.Kuwe na sheria mzuri ya kuwabana wachina.Hawa wachina sio kabisa.
Heshima yako Mheshimiwa Chalamila. Kweli wewe ni mzalendo.❤
KWELIIIII MKUUUU. WABEBWEEE . WANAFANYA SERIKALI YA TANZANIA NI WAJINGA.
Hongera sana kuu❤❤❤
Wezi hao wananyanyasa watanzania sana. Na shida ndugu zetu wananyamaza
Wanatakiwa waje wachina wachache ila hii nnch wachina wahind wanaingia tu km choon sijui kwann bora kua na wawekezaj wa kizungu wanajali sana wafanya kaz kiukwel wazungu ndio viumbe wanaojua maisha dunian jins ya kuisha na watu ila mchina muhind utafanya kaz hata miaka mia hufanikiwi kabisa
Hayo maelezo mngekuwa mnayatoa kwa Watz wenzenu wanaokosea taratibu na sheria wakiwa katika harakati za kutafuta ridhiki...hii nchi tungekuwa mbali sana kwa maendeleo.... Sheria utumike hata kwa wageni
Safii
ASANTE SANA MKUUUUU. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wauni hao rc
Tupeni kazi hizo tuzikague
Tunashukulu sana chalamila
Tanzania viongozi wote wangekuwa kama huyo mkuu wa mkoa wanainchi wangekuwa na maisha bora sana.
Kweli baba sio hapo tu tunanyanyasika sana hasa kiwands cha cement huaxin mill Tanga wafanyakazi wanafukuzwa hovyo bila malipo ya nssf..
Wanayajua leo
Tatizo kubwa ni serikali yenyewe Haina utaratibu wa kuwalinda wazawa . Haiwezekani mgeni hapangiwi Sheria yoyote anafanya anavyotaka .
wachina wafuatiliwe vizuri ni wanyanyasaji na wanyonyaji wakubwa, wanakimbia sama kodi. Tuwe makini sana
Mkuu uko safi sana
WEZESHENI WAZAWA........Hakuna nchi inaendelea kwa wawekezaji wageni..........................amkeniiiiiiiiiiiiiiii pesa zitaenda kwao
Mbona mngeqnza tangu mwanzo Watanzania wa Chini wasingeumia na kuvuja jasho bila Maslahi
Kwa hapo chalamila uko sahihi sana, ila mawaziri hawaelewi Hilo somo
Mkuuu ongera sana ww nizaidi ya wakuu wamkowa wote kunauwanja unajengwa arusha utafikiri unajengwa hamna kiongozi mishaaha haielewiki wala usalama wawafanya kazi haueleweki lakin viongozi wamefunga mdomo
Uko sahihi kiongozi
Tanzania Haina kazi bari inavibarua viongozi wakija kwenye tasisi hzo wanaxhukuwa rushwa wanasepa hawana mpango WA kujuwa ww unaripwaje hovyo kabsa
Hongera mkoa wewe mzalendo kabisa wabane ukienda kwao urusiwi kufanya kit
Hao wawekezaji ni wahuni na wajanja.sana..Tufungue macho😮
Mhe Sisi tuna export coal mkaa kwenda Nje ku leta Hela za kigeni. Ujue sisi ndugu zetu wame funga Biashara export na ku poteza dolla M 28. Tuna shida humo wenyewe kwa wenyewe kwa faida Yao Binafsi. Una sema sawa lekini Go deep into ujue ukweli. Mkaaa export coal stopped of Becco Ltd five months now.
Viongozi wa nchi hii ni wahuni tu, huku migodini watu wamedhulumiwa haki zao wakidai hawana mikataba na selikaoli inajua ufanyaji wa kaz eneo husika ila ukifika muda wa kudai haki zao huambiwa onyesha mkataba wa kazi sasa unajiuliza mbona watu wote wanafanya kazi bila mkayaba na srlikali inajua hilo ila hoja inakuwa mbona huna mkataba dah! nchi hii Mungu asimame tu
Hao wacha bila ya Serikali kuwa macho Serikali hatto pata kitu kwa wezi Umafia China Ulaya wamebanua Chalamila ni Uzalendo sana na China akijua Tanzania haima ufatijiaji na rushwa anaifilisi nchini
Mpaka afanye hivyo uongozi upo wapii
Tunaposema nchi hii imefaili dalili yake ndo hii
tatizo.sheria ziko kwenye.karatasi tu ila hao wachina nchini kwao.huwezi.fanya chochote bila utaratibu kabisa... hapo kuna watz wanasuport n kupata pesa kupitia hapo
Ujee na kariakoo kuna watuu wamefunguwa viwanda vya kushonaa
Ongera mkuu wa mkoa, wachina wana zengwe sana , wanaturudisha enzi za ukoloni na utumwa
Taratibu mara nyingi huwa zinatubana sisi wazalendo, lkn wageni kwa sbb labda serikali zao zinasaidia serikali yetu basi wanajiona hawawezi kuguswa
TRA hawajawahi kuona wageni ni wenyeji kila siku
Watanzania sisi siyo watumwa wala vinyago😢
Wawe na nidham .hao mmewakaribisha lakini wanausiri sana wanafaidika nchini kwetu.Mikataba muhimu wafatilieni wachina wote.
Safi sana. Wazawa waache pia kuwa wajinga.
KWANZA KITENGO CHA HR KWA KAMPUNI ZOTE ZA KIGENI KINATAKIWA KIJUE LUGHA YA MWEKEZAJI NA YA WAZAWA ILI KIWEZE KUWA NA UFANISI
Wachina ni watu waovu na wabaguzi kupita maelezo. Nyie mnawaita ndugu zetu kwa kutujengea eti reli ya tazara nk. Wanaojua wataelewa jinsi walivyotutesa na masharti yao na hata leo walivyojenga havipo. Wale sio ndugu zetu ni wanyonyaji wasio na ubinadamu hata tone. Wabaneni hao watu na msiruhusu wajazane hapa kwetu maana muda si mrefu watachukua ardhi yeto na kuita China Town au China Village kama walivyofanya nchi nyingine duniani. Walegezeeni muone moto maana sijui kama waTz tutapata nafasi nchi gani mbadala😢
Ndio maana huwa nachomoa Management nyingi wanyanyasaji nami siwezi kuungana na hao wanyonyaji
SEREKALI LAZMA IJUE KWAMBA KULALAMIKA NI KAZI YA WANANCHI ILA KUHOJI NA KUFATILIA, KUELIMISHA NA KULAZIMISHA AU KUSHINIKIZA UTARATIBU NI KAZI YA SEREKALI.
Mh. Chalamila ni Kiongozi haswaaa 👏👏👏👏👏👏👏
FANYA MAAAMUZI
waliisha toa hela wana Kudin bwebwe hizo umewapelekea chakula wajanja watawaachia
Natamani ungekua uku Zanzibar kozi watu wanafanaya kazi Kwa hao jamaa hakuna mikataba
Wachina ni wajanja sana
Wachina wanakwepa sana kodi kuliko wazawa.Hawajasoma wala nini.Wachina hawawafanyi wafanyakazi wakanufanufaika,la!Ni wezi,wanyanyasaji,hawafuati sheria,wanapenda rushwa.Viongozi wetu kuweni makini na hawa watu wamejaa sana hapa nchini hamstuki?Wanachuma sana mali zetu na kuondoka kwao.Kuna wazawa wachache wanawasaidia ktk umagumashi wao.Kama hamjaweka sheria vzr basi hawa si wawekezaji wazuri unless kuwe na usimamiaji nzr wa sheria.
Serikali iangalie vizuri athari ya wananchi kupitia uwepo wa wachina nchini, hasa katika biashara ambazo watanzania wanazimudu pasina uwepo wao, na fursa kwao iwe ni biashara ambazo kitaaluma ni muhimu uwepo wao juu ya biashara husika.
Kwakweli kwa mtazamo wangu wamekuwa kama wavamizi wa biashara za wa tz ambazo wanazimudu pasina uwepo wao, kwanini kusiwe na mikataba maalumu juu ya kile wanacho takiwa kukifanya nchini! Mfano biashara za nguo viatu bidhaa za stationary sioni sababu kututia njaa na kutunyima fursa kwani wao hatutoweza kucompit nao sababu ndio wenye viwanda wa bidhaa hizo makwao na mwisho watatueka kwenye mabano
Nawaona wanazidi kuongezeka na mmewaachia adi mageleji wafungue kwani sisi hatuna mafundi?
Wachina sio kabisa mkuu yaan hawafai kabisa hata huko kwenye mirad ya Barbara hali ni hizo hizo ukiumwa tu hunakaz hawana mikataba ni waiz tu ila wanasema kua Tanzania ukimshika kiongoz mmoja tu ukimpa hela hao wengine unaburuza tu hao wachina mukiwa munawaruhusu waingie kwa fujo hiv Kila kitu kitakua chakwao sio kabisa hawa
Sio hao tu mm nawajua zaidi ya kampuni kumi ela wanapokelea Ac binafsi sio Ac ya kampuni kitu cha laki 5 rist anaandika 150
Kwani watu wa leseni na sheria za biashara. Mapato . Uhamiaaji. Tra. Wako wapi b4 mkuu wa mkoa aje yy. Hii mijitu inafanya kazi ganiiiiii
TENA WAFUNGUWE KIWANDA CHA MAANDAZI KABISA HAO.
kwani adanya mumekua wapi?
Mimi najiuliza nashindwa kuelewa hivi mamlaka zinazohusiana na maswala ya kazi zikowapi mpaka mkuu wa mkoa afuatilie, TRA wako wapi?TBS wako wapi?rushwa inaimaliza nchi watu wachache wanajinufaisha.Chalamila usiishiehapo tu njoo huku Kigamboni kuna viwanda vya wachina vimeota kama Uyoga vingine huku wanajenga huku kazi za uzalishaji zinaendelea,wafanyakazi hawaajiriwi manyanyaso yakutosha sana.
Hakuna kuogopa wachina hapa
wachina wanyanyasaji
Waliyo wengi ni wafungwa.Ccm inawatumia
Mzee huku kibaha ndio kuna uwozo kabisa dada zetu wanatumikiswa bila mikataba kabisa
acha wapige ccm ndio sela yetu muswaili akifanya anakamatwa
Nimekuerewa...kwa....ukaguzi..huo
kwani wanaohusika kusimamia wako wapi? TUMBUAAAAAAAAAAAAAAAAA
Wewe mkuu wa mkoa unaogea tu.,njoo uonyeshe kwa.vitendo,tumechoka kukusikiliza ,kila siku unaogea lakini hakuna kinachofanyika
Ivi chalamila unanini 😂😂 eti eb via nguo nikubake
Sio hao tyuu muheshimiwa,,,
Kuna Nyororo wame shika wakubwa kwa faida Yao hawa jali Nchi. Kuna license kwa jina Jao wenyewe hawa chimbi.
Hawa siku zote ni wezi tu
Ndiyoop mkuu wa mkoa
Mbona kwao hawaturuhusu kufungua biashara za maduka?hspa wanapewaje vibali vya kuendesha bisshara kama sisi wazawa?uhamiaji wako na hawa jamaa wanakula misheard kubwa kwa mchina,ukienda benki husband CRDB,Wwachina wanapokelewa kwa mikono miwili,mimi nikienda tunasubiru foment,wao wanapita tu bila ya kuchukua namba ,pale counter wanapwa mpaka laki macashia
Nilidhani unadharau kumbe una akili sana
Wanatuona watz kama machizi
Mkuu hiyo ndio biashara ya kimataifa , ukitaka funga mipaka na mama anatangaza kuweza kwenye viwanda wewe unapindisha
Ata aya makampuni ya malori na mabasi mkuu fuatiria vzr madereva hali tete rushwa kwa viongozi wa serikali ndo chanzo cha uozo huo
Kuweni waajiri na nyinyi
Halafu wanafanana hawa jamaa
Wakati mwingine una akili Sana
Hatukuelewi ongea kizingu mchina hasikii kiswahili
Wee nae huna akili mtumwa wa lugha
Hawa ndio wanatufilisi hayalipi kodi yapo yapo kazi ni kuiibia nchii
Mheshimiwa tatizo lenu nyie viongozi wetu ni vigeugeu shida munazijua ila munabebana
MH CHALAMILA na MAKONDA MH! MUIGWE na wengine