Yanga SC 1-0 KMC FC | Highlights | NBC Premier League 29/09/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 143

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Місяць тому +15

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @johnjoseph9596
    @johnjoseph9596 Місяць тому +29

    Hii ligi ya NBC imekomaa sana, imekuwa ngumu kweli kweli. Ukipata point 3 unashukuru Mungu bila kujali umezipataje.

    • @shijamakoye6013
      @shijamakoye6013 Місяць тому +7

      😂😂😂😂😂 wewe nikolo unaongea hivyo kwa vile refa Leo kawapatia point 2 kutoka mfukoni mwake 😂😂

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 Місяць тому +3

      Wewe konokono umesahau refa ulmlivyopewa point3 za bure mbeya baada ya refa kuona utopolo chupi limewavuka akaamua kuwanyima watoto golilao?? Au unazima data?@@shijamakoye6013

    • @masakijack9905
      @masakijack9905 Місяць тому +1

      Kweli kabisa

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 Місяць тому

      TUPA TV LA CHOGO,, Tafuta Plasma ili uone kwa usahii,, Lazima uone lile ni goli ukiangalia kwenye Tv la chogo​@@saidymbagalla6622

    • @TeddyElisha
      @TeddyElisha Місяць тому +2

      ​@@shijamakoye6013mngekuwa nyie mngesema ilikuwa penat clear kisa ni simba namnaon inashinda kila mech bs roho inawauma

  • @ReachOut3004
    @ReachOut3004 Місяць тому +9

    KMC wamenifurahisha sana wamecheza vizuri sana well done the Kino boys, discipline ya hali ya juu, mlikua vizuri sana katika marking (Muwe ivo siku zote sio kwa Simba & Yanga tu). Yaani kuizuia Yanga hii ni kazi kubwa sana. Na kwa chama langu tusife moyo ushindi ni ushindi japo ni mwembamba lakini unatueka pazuri na kumpa maswali mengi Gamondi ajue jinsi gani ya kushinda mechi hizi ngumu kwa idadi nzuri ya mabao, tunacreate chances nyingi ila hayageuki magoli, why? Yaani km leo kmc wangekua vizuri katika kumalizia ingekua balaa.Honestly hatujazoea ushindi mwembamba na wa mashaka kiasi iki, kuna muda ni kama tulikua tunaomba mpira uishe tuu, gladly it was well at the end. Weldone our Green & Yellow boys.
    And yes, on to the next one. #DaimaMbeleNyumaMwiko #point 3muhimu kwapani

    • @ElyrehemaMartin
      @ElyrehemaMartin Місяць тому +2

      Mbona haueleweki

    • @godfreylemenga2152
      @godfreylemenga2152 Місяць тому +1

      Hongera Yanga sc kwa ushindi. Ila AZAM TV tunaonmba mturefushie muda wa highlights, angalau tuwe tunafurahia sisi wadau wa highlights.

    • @ReachOut3004
      @ReachOut3004 Місяць тому

      @@ElyrehemaMartin hujaelewa nini?? Ulitegemea nishangilie tu bila kuwapa credit KMC au??

  • @BiothoSolomon
    @BiothoSolomon Місяць тому +1

    Kmc hongera ongezen bidii zaidi mko poa sana..

  • @francisjames3785
    @francisjames3785 Місяць тому

    @Azam TV
    Nice Highlights, just one thing
    Jitahidini kujua what's important kwenye highlights. Yellow cards or fouls are nothing compared to a clear goal missed opportunity....
    Mnarudia fouls unnecessarily na mnaonesha goal scoring opportunities just once😁👏🏼👏🏼👏🏼

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 11 днів тому +1

    Utopolo kweli imechokaaa leo mnyama kamkanda 4😅😅

  • @dadavai4670
    @dadavai4670 Місяць тому +3

    Ila yanga inatumia mabavu sana kuliko simba na wanacheza kwa fuzo

  • @JamesSeveriano-v6t
    @JamesSeveriano-v6t Місяць тому

    Nakubali yanga

  • @SaraMbuya-hr2nj
    @SaraMbuya-hr2nj Місяць тому +4

    Pointi tatu mhimu❤❤

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo Місяць тому +1

      Sawa hatukatai point tatu muhimu ila wasemaji wetu Wanatupa matumaini mno. Kwa kikosi hiki Kuna watu watapigwa Kama Ngoma. Sasa tukipunguziwa magoli tunaona Kama hawajacheza. Mazoea ni kilema.

  • @danielmboje8751
    @danielmboje8751 Місяць тому +2

    yanga timu yetu, inabidi tusiishi kwa presha ya maneno ya mitandaoni, tujipange sawa sawa, mpira wajana wachezaji walikoswa utulivu, na kwa kucheza hivi tunatengeneza mazingira ya vitimu vidogo kama KMC kutuzoea vibaya, lakini kiwango cha magoli ni kidogo hebu tujipange kucheza kama timu kubwa ,mbeya tulisema uwanja haukuwa rafiki, tuwe tunajipanga vizuri.

  • @GyaviraLaurean-x8b
    @GyaviraLaurean-x8b Місяць тому +3

    Dhairi kwamba ligi yetu(NBC) Inazidi kua kubwa

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 Місяць тому

    Daima mbele nyuma mwiko button ✅🔰💚💚💚✅

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 Місяць тому

    Point 3 muhimu,💚🔰🖤💛

  • @JeremiahSelekwa
    @JeremiahSelekwa Місяць тому +3

    Wapili kukoment mauwa yangu kwa simba

  • @ZenaIbrahim-c5d
    @ZenaIbrahim-c5d Місяць тому +1

    Yanga tim bora

  • @williamdungumaro6668
    @williamdungumaro6668 Місяць тому +2

    Kwan shida n nn si timu imeshinda gol nying n ziada kikubwa point 3 muhim

  • @Jackp30-r3u
    @Jackp30-r3u Місяць тому +1

    Daaah cjui inakuwa vp

  • @hemedmakunda5985
    @hemedmakunda5985 Місяць тому +2

    😂😂😂😂ila yangaaa😢😢

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Місяць тому

    Kama si kucheza mpira wa kijeuri wa faul nyingi, Yanga wamecheza kwa ukatili mkubwa sana hakukuwa na sportsmanship ya aina yoyote ile.

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Місяць тому +3

    Uwezo wa yanga umeshuka kidogo.

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 Місяць тому +4

      Sio kidogo sana....
      Hao KMC pa1 na Azam kua mbovu lkn kawakanda 4 lkn utopolo kimoja tena kwa mbiiinde.....
      Tarehe 19 mbona mbali jamen😂😂😂😂 ???

    • @menikojohn2782
      @menikojohn2782 Місяць тому +1

      Haujashuka, Mpira Pia Una Bahati Ndani Yake, KMC Wameokoa Magoli Mengi Ya Wazi Ambayo Yalikuwa Ni Magoli Dhahiri Kwa Sababu Walikuwa Na Siku Nzuri Kwenye Kuzuia, Ingekuwa Siku Mbaya Kazini Leo Wangekuwa Wameoga Magoli Ya Kutosha

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql Місяць тому +1

      Hiyo sio execuse bhn game ya azam kmc alikua hata kuzuia hawezi ​@@menikojohn2782

    • @T_Darius
      @T_Darius Місяць тому +2

      ​@@saidymbagalla6622akiri za wasio juwa mpira bhn, kwaiyo Barcelona kafungwa 4-2 na osasuna kiwango kimeshuka, mpira ni probability.. Kitu cha msingi zaidi ni uwezo wa team kutengeneza nafasi na kuzitumia kuwa magoli, kama team itatengeneza nafasi maana yake inauwezo, swala la kutumia hizo nafasi kutengeneza magoli inategemeana na bahati, quality ya wachezaji na siku husika.. Kufungwa kwa team au kushindwa kupata magoli mengi hakutoi maelezo ya moja kwa moja kwamba team haina kiwango, hakuna team inayoshinda siku zote, tena kushinda kwa magoli mengi, haipo

  • @fahadalaba7710
    @fahadalaba7710 Місяць тому

    Lanso 💯⚽✌

  • @simsotv2261
    @simsotv2261 Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @BashilumussaRashidi
    @BashilumussaRashidi Місяць тому +2

    mwaka hu simba jamani hadi raha

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 Місяць тому

      Na refa anavyokuwa mchezaji wa 12 ngoma ikiwa ngumu anatafuta plan ili acute bahasha toka kwa mdosi lazima uone raha

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Місяць тому

      ​@damianmcba9525😂😂😂😂😂 nimecheka...ila msimu huu mmmh ni hatari...kila timu inakamia wacha inyeshe tuone panapovuja

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 Місяць тому +3

    Mumefosi mumepata nn Sasa mumeambulia goal 1

  • @moise6735
    @moise6735 Місяць тому +1

    Hongera Maxim

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Місяць тому +4

    KIGOLI 1 KILA SIKU 😂😂😂😂

    • @andrewaneriko3103
      @andrewaneriko3103 Місяць тому

      Lakini kina madhara makubwa boss

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm Місяць тому

      Cha nguruwe watot dazani

    • @crintonhamis2550
      @crintonhamis2550 Місяць тому

      Ilimradi tu sio la mumeo

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Місяць тому +1

      @@crintonhamis2550 Yanga ni wanawake , mwanaume wako simba hapa nipo nikufire au

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Місяць тому +1

      Unadhani timu zote n mbovu km Simba mpaka tuzipige 5😂

  • @abumutwaira4892
    @abumutwaira4892 Місяць тому +3

    Huyu mpenja asitangaz Yanga Ghalib Yuko wap kwan

  • @SunukuSijaona
    @SunukuSijaona Місяць тому +1

    Acheni maneno kikubwa pointi 3

  • @nseyantemi
    @nseyantemi Місяць тому

    msimu huu mgum sana

  • @AzizaAhmed-x1e
    @AzizaAhmed-x1e Місяць тому +2

    Yanga moral tu

  • @jayfonybishop7606
    @jayfonybishop7606 Місяць тому

    37524 Keshaun Drives

  • @FakruhuKasimu
    @FakruhuKasimu Місяць тому +2

    Jaman naomba kuuliza kwan VAR inaanza lin kufaanya kaz maana upande wa pili penat zamchongo zimeanzà😂😂😂😂😂😂

  • @MaxhakaMabula-c6w
    @MaxhakaMabula-c6w 11 днів тому

    Hii timu inakamia yanga tu

  • @izoohjack6687
    @izoohjack6687 Місяць тому +2

    Cha muhimu point tatu mengine maneno tu

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 Місяць тому

    Kmc watata sanaaa 😢

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому

    Nawameroga kwerikweri siyo kidogo😊

  • @AngelaDotto
    @AngelaDotto Місяць тому

    Ni Moja bao mpaka sasa

  • @Mkazially
    @Mkazially Місяць тому +1

    Kumzonga refu. Tuu hua ni kosa kubwwa lkn kwa vile tff wako likizo husikii adhabu yoyote

  • @WaziriRamadhan-f5o
    @WaziriRamadhan-f5o Місяць тому +1

    Watatu wananch naomba like

  • @RamadhaniAbdulbasitRamadhani
    @RamadhaniAbdulbasitRamadhani Місяць тому

    Yesu ayupo uwanjani

  • @HalimaKarm
    @HalimaKarm Місяць тому +3

    Shida nn sisi mashabki wa yanga mbn kama hatujafurah japo ushndi ni wetu!? Au kisa kigol kimoja?, au tumeanza kiruhusu kukoswa koswa na wapinzani, au kutokutumia nafasi ipasavyo!??.😢

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Місяць тому

      Watu washamba wasioijua mpira ndio watalaumu kwakua wameanza fatilia mpira juzi hakuna timu duniani iloshinda goli nyingi kila mechi hizo Madrid na Barcelona zinatoka droo na kufungwa itakua yanga

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 Місяць тому +1

      Timu mbovu

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 Місяць тому

      ​@@fahadfaraj6474siku si nyingi tutaanza kupeteana hii timu ishaanza kuyumba...
      AZAM 4 KMC 0
      YANGA 1 KMC 0 umegundua nini hapo?

    • @HalimaKarm
      @HalimaKarm Місяць тому

      @@saidymbagalla6622 naona ni kukamiwa na hizi timu ndogo tuishie kusema Ivo tu,

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Місяць тому

      @@saidymbagalla6622 mpira hauko hivyo ndugu Kua kwakua huyo alifungwa nyingi basi na wewe ukamfunge

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому +1

    Nyani dawa watu wanatumia kuweka gorini kwasababu yanga ingefanikisha ha tano

  • @elneemaaloyce
    @elneemaaloyce Місяць тому

    YANGA BINGWA

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Місяць тому +2

    Ligi hii imekuwa chuma 😂😂

    • @carolinemasonga6429
      @carolinemasonga6429 Місяць тому

      Kila timu imeanza kujipata, wachezaji wameshaelewana kuanzia sasa na kuendelea mechi ni dume! Msimu unapoanza ndio wakati wa kujiokotea point na magoli lakini huku tunakoelekea sijui ngoja tuone 😂🤣

  • @LidyaEdison
    @LidyaEdison Місяць тому +2

    Uto

  • @SelegioAnthony
    @SelegioAnthony Місяць тому

    Yanga inaanza kujaa kwenye mfumo taratibu wachambuzi endelea kuwapa moyo mashabiki

  • @PeterSevere
    @PeterSevere Місяць тому

    Mbadala wa khalid aucho inabidi apatikane

  • @AshirunaSihaba-f9j
    @AshirunaSihaba-f9j Місяць тому +1

    Duuuuu ngumu hatali

  • @BushiriAlly-d7f
    @BushiriAlly-d7f Місяць тому +1

    Yanga inakosa magoli sana

    • @T_Darius
      @T_Darius Місяць тому

      hili jambo litawacost wakikutana na team kubwa Caf

  • @swabramakota7379
    @swabramakota7379 Місяць тому +1

    Kuna kitu cha ziada gorini maana mh sio poa kabisa

  • @JamesKasongo-m8b
    @JamesKasongo-m8b Місяць тому

    Duuuuh

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani Місяць тому

    Ila Yanga mwaka huu mmhhh

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 Місяць тому

      Uoni nafasi zinazotengenezwa? Bado tu ufanisi katika kufunga umekuwa mgumu na bahati kwa wapinzani,,, Azizi ki pale angepiga dochi tu km Etoo , akuna mda wa kujipanga pale,, kichwa cha baba pia beki kajitahdi sana

  • @thadeojohn9976
    @thadeojohn9976 Місяць тому

    Gori la yanga ni offside

    • @francisjames3785
      @francisjames3785 Місяць тому

      Safi, wewe unajua mpira sana😂
      Utakuwa CEO wa VAR 2030😅

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb Місяць тому +2

    Ubaya ubwela

  • @StevenKapugi-y7b
    @StevenKapugi-y7b Місяць тому

    Wa 8 leo

  • @AhimidiweIbrahim
    @AhimidiweIbrahim Місяць тому

    Ulikua unataka Gol ngap

  • @matengajohn4289
    @matengajohn4289 Місяць тому

    Yanga nyie pigeni mwingi tu

  • @BashilumussaRashidi
    @BashilumussaRashidi Місяць тому

    uzuli wa mashabiki wasimba ni wazalendo ndomana wavumilivu fanayakazi vijana

  • @TurnerBlake-q3x
    @TurnerBlake-q3x Місяць тому

    13516 Doris Land

  • @rajabuhalili6785
    @rajabuhalili6785 Місяць тому +1

    😅😅

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 Місяць тому

    Tujitafakari......kutoka International matches 4 goal 17 mpaka goli 4 mechi 3 mechi za home

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 Місяць тому

    KMC iliyoinyanyasa Yanga ilipigwa nne na Azam iliyochapwa mbili na Mnyama

    • @choggysly3541
      @choggysly3541 Місяць тому +1

      Halafu Yanga alimpiga azam 4 na akampiga simba 1 Kwahyo Yanga ndio baba yao hao wote kuanzia mnyama mpaka kmc

    • @VemamElly
      @VemamElly Місяць тому +1

      Afu yanga ndio aliempiga kolo 5😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Місяць тому

      Kwahiyo ndo unasemaje yan mana bado huelewekwi unamaanisha nn

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql Місяць тому

      @@VemamElly hyo last season

    • @wilsonmalalo8937
      @wilsonmalalo8937 Місяць тому

      ​@@AbdulMgude-iv1ql hata Simba hawana uwezo wakufunga yanga hii season Bado mko chini

  • @IshaeryMwampyate
    @IshaeryMwampyate Місяць тому +1

    max kweny tshert ake kuneandikw nn

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Місяць тому +1

      Pastor Tony Osborn kapola🎉🎉🎉

  • @leobusungu1230
    @leobusungu1230 Місяць тому +2

    Timu zimesajili vizuri, zungukazunguka haipo sasa hivi, kazeni buti, mazoea sasa hamna.

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya Місяць тому

    Azizi k kwisha habari yake chezea bongo wewe

  • @shanmlawa
    @shanmlawa Місяць тому +3

    Auch amna kitu umu jumlisha uzeeee kuvuta tuu

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 Місяць тому +2

    Goli la Yanga ni offside kataa ukubali mmebebwaaaaaaaaaa!

  • @BushiriRashid
    @BushiriRashid Місяць тому +1

    Yalijitahidi kuroga Yani kosa kosa nyingi sana

  • @hemedkagodah1436
    @hemedkagodah1436 Місяць тому +1

    Utopolo mtupu

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому

    Kakomenti kwa mama ako

  • @ZenaIbrahim-c5d
    @ZenaIbrahim-c5d Місяць тому

    ❤❤❤

  • @AhimidiweIbrahim
    @AhimidiweIbrahim Місяць тому

    Ulikua unataka Gol ngap

  • @IsackZunguyon
    @IsackZunguyon Місяць тому +2

    Ubaya ubwela