DUFU: KHALID BIN WALID WALIVYO MUAGA ISLAH TANZIA KWA QASWIDA HII
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI
KHD ONLINE ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri
Subscribe sasa ili upate Taarifa na mambo mengi mazuri.
Follow Khd Online Tv
Facebook | Khd ONLINE Tv
INSTAGRAM |@khd_online_tv
Contact us via number +255 773 904 088 / +255 773 878 523
haiyaka allah fi umrika wa swautika ya jamala shekh farhani allah akupe umri mrefu uendelee kutupa makam wewe na shekh swalekh
Hatari tunamtaka ghazal❤❤❤❤❤❤
Swallu a'laaa habiybi MUHAMMADI
I wish siku1 khaalid apite mbele ya kawakib tuone.
Ndio Nani hao???
Madrasa moja hv inaitwa al kawaakib ipo magomen. wakae nayo jamvi siku1
@@abhaaly madras moja hv inatokea Dar es salaam magomen makuti al kawaakib
Huyu mdada anoitikia hajaitendea haki 😂😂😂ila huu mchuan wakughani niwakubal ❤❤❤khalid namkubal kitamb sana❤❤
Jaman nayaka kuuliza ivi krnya kunadufukwer maana sijawai kusikia
KHALEED MZIKII WA KIZEEEE ISLAAA DUFUU LA KISASA KW JUZIII KHALEED KAZIDIWA ILA KW KUWA WAOO WALIKUWA WANAONA WAMEWAZID ISLAAAH
HUJUI DUFFU KACHEZEEE 😂
Kwelii nyieee pigenii kelele okotenii kotenii watuuu lakini ISLAAA AMUIWEZIIII N JUZII MMEZIDIWA AMJUWI ATA KUCHEZA
Hamna Kitu Bhanaaa....!!! Khalid Wakali Sannaaaa
Khaleed wako vizuri kwa sababu wanapiga dufu linavyo takiwa wengine wanapiga mdundiko
Ata chuni yao imetulia sana katika dufu kunakitu kina itwa chuni kwaiyo chuni ya khaleed wanayo itumua nzuri sana naiyo chuni ipo kwa vyuo vichache ndo wenye chuni iyo ya ufundi zaidi wa kupiga dufu
Isilaha auwana jambo
Awajamaa khalid wame wapida kabisa
Uyu kikot anamambo uyu!
Hawa hamna k2 mzik unabembeleza sn
Ujui dufu
NENDA KASIKILIZE MAGOMA ULIOZOWEA TUWACHE NA DUFFU LADHA NA BURDAAN 😂
Wao ndo mabingwa wa dufu Africa mashariki n kati
Hii si bongo fleva kabisa
Usifunguwe mbuz ww