Mosses Challoh ~ Asante {Official Audio Music} Prod. Gs

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @BarakaMachite
    @BarakaMachite 3 місяці тому +2

    Upo viwango vya juu saaaan nakubali saaaan nakuonea kuleeeeeee❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElliaMajesh
    @ElliaMajesh 4 місяці тому +2

    Ameee wimbo huu ni mahubiri umenisemea sana❤

  • @ElliaMajeshi
    @ElliaMajeshi 2 місяці тому

    Huu wimbo ni. Waviwango vikubwa saana ni zawadi kutoka kwa Mungu na Mungu ameamua kunena na watu kupitia huu Wimbo umegusa sana maisha ya watu nikiwa mmoja wapo ubarikiwe sana Mosses Challoh❤❤

  • @KitonyoJulius-m2u
    @KitonyoJulius-m2u 6 місяців тому +5

    Mosses unaimba sana sana sio kidogo maana nyimbo zako zinagusa kabisa uhakisia wa maisha ya mtu huu wimbo umeniponya sana wewe ni level nyingine Mungu akutunze 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  5 місяців тому

      Ahsante. Heshima na utukufu kwa Kristo 🙏

  • @octavian54
    @octavian54 6 місяців тому +6

    nice challoh challoh

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      Amen pia ubarikiwe Sana Octavian🙌🙌🙌🙌

  • @BarackMtitu
    @BarackMtitu 5 місяців тому +2

    Hongera sana,,, kiukweli nyimbo ni nzuri mno tena zina ujumbe mzuri👍👍👍

  • @BarakaMtyambui
    @BarakaMtyambui 6 місяців тому +4

    Ubarikiwe kaka huu wimbo ni mahubiri tosha umenifanya nilie huu wimbo umeimba maisha yangu kabisa wewe ninakuona mbali sana viwango vya juu sana 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙌🙌🙌🙌🙌

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      🙏🏼🙏🏼 uzidi kubarikiwa Sana Mungu

  • @BarakaMtyambui
    @BarakaMtyambui 6 місяців тому +5

    🌹🌹🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️

  • @wemasausi-fr9wl
    @wemasausi-fr9wl 6 місяців тому +6

    Mungu akubariki ..wimbo mzuriii

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      Amen Utukufu kwa Bwana ubarikiwe pia🙌🙌🙌

  • @Mathias-yi5bo
    @Mathias-yi5bo 6 місяців тому +6

    Bro umeweza sana Mungu akubariki Kwa Kaz nzur ❤❤❤❤

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      Ameen🙏🏻🙏🏻 ubarikiwe kaka 🙌🙌

  • @shalomtv1803
    @shalomtv1803 6 місяців тому +4

    Hongera sana kijana wangu kazi Yako ni njema mnoo, MUNGU akuinuee sana

  • @Kristu556
    @Kristu556 6 місяців тому +4

    Hongera yako Kaka, na ubarikiwe

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      🙏🏼🙏🏼🌹🌹 Ubarikiwe pia

  • @GeorginaSylvester-fp3se
    @GeorginaSylvester-fp3se 6 місяців тому +4

    Nyimbo zako zote ni Nzuri mnooooo❤

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому +1

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Ubarikiwe Sana Sana 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @shedrackmlyapatali
    @shedrackmlyapatali 6 місяців тому +5

    Ngoma kali ...

  • @non-stopmusictz9710
    @non-stopmusictz9710 6 місяців тому +5

    Hongera sana mkuu Mungu akuinue zaidi🎉

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому +1

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Mungu asiache kutenda na kwako pia kupitia mikono yako umefanyika kuwa baraka Sana🌹🌹🌹🌹🙌🙌

    • @non-stopmusictz9710
      @non-stopmusictz9710 6 місяців тому

      @@mosseschalloh Amina kubwa mkuu Mungu ni wetu sote🙏🙏

  • @LomayaniNangoro-qx7tc
    @LomayaniNangoro-qx7tc 6 місяців тому +5

    Hatimaye kaka hongera sana kijana Wetu mungu azidi kukupigania

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      Amen Napokea katika jina la Yesu kristo 🙌🙌

  • @sophiamsuliche9487
    @sophiamsuliche9487 6 місяців тому +6

    Mbarikiwe sana wimbo wenye shukran kwa Mungu wetu

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻 ubarikiwe pia🙌🙌

  • @Lux_Billy
    @Lux_Billy 6 місяців тому +6

    Good job bro 🎉

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻 barikiwa kaka

  • @AgustinoAlexander
    @AgustinoAlexander 6 місяців тому +5

    Keep doing better my G

  • @amanimwicha2049
    @amanimwicha2049 6 місяців тому +4

    Kaka unajua sana naomb collaboration

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      Ameni usijali tuko pamoja🙌🙌

  • @gershomchallo
    @gershomchallo 6 місяців тому +4

    Wooow!! Kibao kizuri sana na ujumbe wakeeee

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому +1

      Amen ubarikiwe Sana kaka angu Kipenzi Mungu akubari kwa saport yako kubwa kwangu 🌹🌹🌹🌹

  • @TumainiFadhili
    @TumainiFadhili 5 місяців тому +1

    Barikiwa kaka

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  5 місяців тому

      @@TumainiFadhili 🙏🙏🙏🙌🏼🙌🏼

  • @KitonyoJulius-m2u
    @KitonyoJulius-m2u 6 місяців тому +4

    Mosses unaimba sana sana sio kidogo maana nyimbo zako zinagusa kabisa uhakisia wa maisha ya mtu huu wimbo umeniponya sana wewe ni level nyingine Mungu akutunze 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      Amen🙏🏼🙏🏼 uzidi kubarikiwa 🙌🙌🙌🙌🌹🌹

  • @shedrackmlyapatali
    @shedrackmlyapatali 6 місяців тому +7

    Ngoma kali...

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🙌

  • @KitonyoJulius-m2u
    @KitonyoJulius-m2u 6 місяців тому +6

    Mosses unaimba sana sana sio kidogo maana nyimbo zako zinagusa kabisa uhakisia wa maisha ya mtu huu wimbo umeniponya sana wewe ni level nyingine Mungu akutunze 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @shedrackmlyapatali
    @shedrackmlyapatali 6 місяців тому +6

    Ngoma kali...

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🙌🙌

    • @mosseschalloh
      @mosseschalloh  6 місяців тому

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🙌🙌