Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatul shukran sana jambo la kuchangia pamoja na madarasa mazuri ya kujifungua na kufungua Riziki .mtupe na madarasa ya kujikinga na sihr na hasad maana wenye husda ukifanya ya kheri na wao wanapambana kuyaondoa
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Naam akhi Wallah hiyo dua ya nabii Yunis. Ni hatari Wallah. Maana niliifanya nilikua na jambo zito sana sana sana mwaka jana ila nilivyotawasali kwayo Wallah hadi leo nipo sawa hadi watu walioshudia hilo jambo hawaamini kama nilivuka huo mtihani
Shukrani kwa darsa unazotoa sheikh, ombi langu ni kuwa wakati unataja dua fulani kwa ajili ya tiba au rizq naomba kama ni aya ya quran basi uwe unataja ni aya namba fulani ktk sura fulani, hiyo itasaidia kwa sisi wafuatiliaji ktk kuiandika kiufasaha.
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatul shukran sana jambo la kuchangia pamoja na madarasa mazuri ya kujifungua na kufungua Riziki .mtupe na madarasa ya kujikinga na sihr na hasad maana wenye husda ukifanya ya kheri na wao wanapambana kuyaondoa
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Naam akhi Wallah hiyo dua ya nabii Yunis. Ni hatari Wallah. Maana niliifanya nilikua na jambo zito sana sana sana mwaka jana ila nilivyotawasali kwayo Wallah hadi leo nipo sawa hadi watu walioshudia hilo jambo hawaamini kama nilivuka huo mtihani

Sawa