PATANISHO : MKE WANGU ALIONDOKA NYUMBANI NA MPAKA LEO HAJAREJEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 234

  • @mosesmaxpunchlinetv8478
    @mosesmaxpunchlinetv8478 3 роки тому +6

    I can relate this Sharon with my X very well. You beseech someone you haven't wronged just for peace to reign but in vain. So you just hang up the relationship from such person. Some of us men just wish we meet a lady who's committed enough in this life. You have everything as a man but you keep meeting fake people.

  • @bab883
    @bab883 3 роки тому +37

    A friend of mine was behaving like Sharon. Then the husband begged and begged akachoka. He went ahead and got married. Dem akaanza kufuata bwana but it was too late leo hii amezeeka and she is not married and lives at home with her mother. Sharon be careful.

    • @julianamalinda2357
      @julianamalinda2357 3 роки тому +9

      Sometimes we ladies we don't know what we have not till we lose it , then it's like I wish I knew mmmmm too late

    • @susanmuthoni1167
      @susanmuthoni1167 3 роки тому +6

      @@julianamalinda2357 not only Ladies Some Men too.They dont realise,till the woman is gone.

    • @julianamalinda2357
      @julianamalinda2357 3 роки тому +2

      @@susanmuthoni1167 your right my dear

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 роки тому +6

      This lady is full of attitude

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 роки тому +2

      @@susanmuthoni1167 it's just clear kama mtu amekukosea mwambie ama if haumtaki mwambie sio attitudes

  • @noelamadadi5731
    @noelamadadi5731 3 роки тому +9

    That's how when you love someone sooo much, will treat you abnormal.

  • @esthermuthoni4395
    @esthermuthoni4395 3 роки тому +27

    Asiyee kupenda achane naye one day she will regret

  • @princesspriscaofficial4823
    @princesspriscaofficial4823 3 роки тому +8

    Number 1👂👂👂

  • @sam_vigedi001
    @sam_vigedi001 3 роки тому +9

    Number one

  • @farajatarimo998
    @farajatarimo998 3 роки тому +15

    Huyu mwanaume ameachwa ila huyu dem hataki kumwambia ukweli

  • @robertouko9871
    @robertouko9871 3 роки тому +5

    Sharon will know the true meaning of "Earth is hard"

  • @judymoraaasuma258
    @judymoraaasuma258 3 роки тому +17

    Wow my first tyme to comment here and be number 4

  • @womansphere4349
    @womansphere4349 3 роки тому +17

    Huyu dem anabore ile mbaya. Siuongee kama hamtaki mwambie tu ajipange.

  • @jaquetsori4231
    @jaquetsori4231 3 роки тому +9

    1st to listen 🔥🔥

  • @judymoraaasuma258
    @judymoraaasuma258 3 роки тому +10

    Sharon akii ww hauko poa you will regrate later aty nn utoto mwingi uko nayo the man reall loves you mi nimeenda sina ubaya

  • @alicekmusic3925
    @alicekmusic3925 3 роки тому +3

    It's true Gidi maongezi ya Sharon inachokesha nkt anasinya

  • @julianamalinda2357
    @julianamalinda2357 3 роки тому +14

    Me too Gidi its irritating, niokotwe tu diaspora mimi am gone

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 3 роки тому +1

      Kabisa

    • @baldie1495
      @baldie1495 3 роки тому +2

      😂😅😂uokotwe wapi 🤣😂 🤣 nimeenda 😜

    • @julianamalinda2357
      @julianamalinda2357 3 роки тому +5

      @@baldie1495 it was boring i thought was better to go diaspora mimi

    • @baldie1495
      @baldie1495 3 роки тому +1

      @@julianamalinda2357 the so called Sharon 🙌🙌🌚🌚🤦

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi niokotwe Thogoto kwa soko😂😂😂😂😂😂

  • @leeldavid3712
    @leeldavid3712 3 роки тому +11

    Huenda ule sista ake mkubwa ndo anampoteza ataki sharon akae kwa ndoa yake,ila sharon akae nae nyumbani 👌🏾👌🏾

  • @esthermugure5676
    @esthermugure5676 3 роки тому +15

    I hate people who can't speak out their minds or what they want 🙄🙄🙄🙄

  • @jakshamim6036
    @jakshamim6036 3 роки тому +9

    Elvis tafuta bibi uoe.wachana na huyu mwanamke mjinga.but atakuja kuregret baadaye.block yeye kila mahali.hata mambo yakusaidia mtoto wachana nayo mwenyewe ashughulikihe.

  • @tiktokheroes4256
    @tiktokheroes4256 3 роки тому +16

    Sharon ni mara ngapi nakuita immature sharon one day utaregret but itakua late mummy wengi wao tunatamani wanaume watubeg hivo lakini wapi bro move on tafuta mrembo mwingine 😀👌

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 3 роки тому +2

      Nakwambia dada tumekwama gulf ata atujui tutaenda Kenya lini,,hehee

    • @tiktokheroes4256
      @tiktokheroes4256 3 роки тому

      @@alisaalis9218 Bora fulus dada usiwe na shaka

    • @esthermugure5676
      @esthermugure5676 3 роки тому

      Nakwambia wenye huangukia good men hua ghasia

    • @esthermugure5676
      @esthermugure5676 3 роки тому

      @@alisaalis9218 usijali tutaenda tu

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 3 роки тому

      @@tiktokheroes4256 tunapata fulus na hatuna bae, ,Mafi faida,,Maisha inataka muwe wawili mke na mume

  • @salmahussein3583
    @salmahussein3583 3 роки тому +6

    Huyu Sharon anajua bwanake anampenda thts y anamchukulia advantage, lakini atajua hajui wacha akae kwako ajue maisha

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 3 роки тому +8

    Si wote gidi pliz wale wako huko voi but wenye tuko ushago haturingi jamani

  • @millionairess9680
    @millionairess9680 3 роки тому +1

    Pole bro, lakini that infectious laughter 😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @stargal906
    @stargal906 3 роки тому +2

    Huyu Kwanzaa yuko Na madharau, pili bado yuko Na Akili ya kitoto, wachana nae tafuta mwanamke mwenye yuko tayari kukaa kwenye ndoa

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +10

    Mrembo hana haja, Elvis move on, utapata dada mzuri umuoe

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 роки тому +1

      Very true amenisinya tu even if not si aongee vizuri

  • @gpp9667
    @gpp9667 3 роки тому +15

    The lady has seen that she made a mistake she has gone back to the drawing board huyu ako na bwana mwengine move on man

  • @alicemgiri845
    @alicemgiri845 3 роки тому +5

    Not all taita girls..We’re very nice, kind and Very humble 🙌🏿

  • @gladysgladys9845
    @gladysgladys9845 3 роки тому +4

    Gidi, how old is Elvis? Nipate no yake plz 🤩

    • @Jkl20120
      @Jkl20120 3 роки тому

      Between 24 and 28

  • @theenjeri
    @theenjeri 3 роки тому +14

    Wacheni Sharon to go back school.

  • @firstlady9515
    @firstlady9515 3 роки тому +3

    Nafurahia jinsi Gidi siku hizi a nampa Ghost mda wa kuchangia,

  • @hanifahnatasha3900
    @hanifahnatasha3900 3 роки тому +3

    Gidi mahari watu wengi hajalipiwa NA wamekaa kwa ndoa Yao....... Sharon ni ujinga tu😂

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 3 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂by the way gidi hajawai choka hivi

  • @charitynyaga4268
    @charitynyaga4268 3 роки тому +7

    Next week ni Mimi na Ghost 👻 usicheke please

  • @edwinetere7719
    @edwinetere7719 3 роки тому +21

    THAT LADY IS A FOOL

  • @agfffdgg3217
    @agfffdgg3217 3 роки тому +6

    Oliskia wapi 🙄🙄🙄🙄noncence ATI kila kitu kiko Sawa go on and get another wife😎😎

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 3 роки тому +2

    Nakusikia nakusikia nakusikia🧐 She’s not interested kabisa.

  • @valentinelifestyles
    @valentinelifestyles 3 роки тому +7

    Utotology😠😠😠

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому

    Huyu mama sijui ni nn hataki kuongea vizuri na openly Y Y,Ss na vile inakaa huyu baba ni muungwana kiasi na hana Mambo mengi saaaaana.Mungu achukue tu ushukani🌞🙏🇰🇪.

  • @faithnjoroge4635
    @faithnjoroge4635 3 роки тому +1

    Huyu mwanamke n shida tupuu!!anaudthii sanaaa

  • @jennifertush94
    @jennifertush94 3 роки тому +4

    🙋

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 роки тому

    Gidi mko na kazi ngumu sana

  • @theenjeri
    @theenjeri 3 роки тому +3

    Watu wa Mombasa hawana haraka

  • @baldie1495
    @baldie1495 3 роки тому +15

    Very irritating &and the so called Sharon is behaving so immature weuweeehhh 🌚🌚

    • @hanifahnatasha3900
      @hanifahnatasha3900 3 роки тому +1

      @Tasha Liz
      Aoe amaje😂😂😂😂😂

    • @baldie1495
      @baldie1495 3 роки тому +1

      @@hanifahnatasha3900 ndio hiyo sasa dear kuliko kubembeleza mtu habembelezeki😏

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 роки тому

      Anasinya

  • @nimuhsteve1079
    @nimuhsteve1079 3 роки тому +1

    Acha kuchomea wataita Gidi sio wote wenye maringo kunao wazuri sana ...

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 3 роки тому +4

    24mt nlithani natakua wa kwanza wooo

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 3 роки тому

      @@alicekmusic3925 nakuambia nikulala UA-cam 🤣🤣🤣

  • @jasonmogaka9747
    @jasonmogaka9747 3 роки тому +1

    Uyu mrembo s boring maringo sijui ..anaitika upusi tu ..eti nakuzikiia

  • @louesloues1519
    @louesloues1519 3 роки тому

    Tuned in

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 3 роки тому +6

    Gidi uko nampango wakando

  • @edwinomwamba8803
    @edwinomwamba8803 3 роки тому

    the guy luvs the lady more than the lady does period....mayb she's gotbwhatever she wanted

  • @judithmatheka7751
    @judithmatheka7751 3 роки тому +4

    Hio kweli Ghost,uyo mwanamke interest imeisha kabisa,inachosha sana maogezi yake,"nakusikia"boring.

  • @SalmaSalma-sd5we
    @SalmaSalma-sd5we 3 роки тому

    Elvis oa mke mwengine.sharon hayuko serious

  • @alimohamed6270
    @alimohamed6270 3 роки тому +5

    Huyu dem si mtu open bro move on wasting time

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 3 роки тому +3

    😎😎😎😎

  • @denilsonmecha2370
    @denilsonmecha2370 3 роки тому +1

    Uyo Sharon labda ako below 25yrs move on mtu wangu uyo msichana anacheza na wavulana uko kwao

  • @patriciasaimon36
    @patriciasaimon36 3 роки тому +3

    Mtu yule ajalipa mahali anafaa aseme ako na wife?😥😥

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 3 роки тому +5

    Sharon bwanako akioa usije lalamika ju wewe ni hajielewi jinga type tu elvis oa mwingine wachana na huyu shenji

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 роки тому

    Achokesha kweli huku mm nimechoka kabisa karibu nivunje simu yangu

  • @nangeshyknight9739
    @nangeshyknight9739 3 роки тому +1

    Let Elvis check Sharon's family tree....these things do happen.maybe history is repeating itself

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 3 роки тому +1

    Nakusikia nakusikia nakusikia🧐 She’s not interested.

  • @evalynelumumba2492
    @evalynelumumba2492 3 роки тому +1

    Uncle yangu alioa taita huyo mama nilimwona tu once nikiwa mdogo since then hajawahi rudi home hata matanga ,siku hizi Uncle ndio ameolewa kwa kina msichana alihamia uko .please Elvis becareful usiolewe juu hutawahirudi kwenu

    • @marykamando6422
      @marykamando6422 3 роки тому

      Hahaha but not all Taitas am from that place remember the guy hajalipa mahari and to our tribe it's a tabooo

  • @eunicenbog26
    @eunicenbog26 3 роки тому +1

    Hi gidi n ghost ,ulipekeka wapi unganishow ,

  • @lilliannzuki5869
    @lilliannzuki5869 3 роки тому +2

    Huyo dada mkubwa angeongea na Sharon

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +4

    Kumpeleka salon maybe ana interpret kama control

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 3 роки тому +3

    MPIRA UWANGUKIA MTU MWENYE SIO MCHEZAJI😳😳😳KIJANA TAFUTA BIBI SHARON AKIAMUKA KWA UZINGIZI APATE UKO NA BIBI TAYARI UME MUCHAZA. NDIO ASHIKE ADABU YAKE. NIME ENDA🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @angieblessed
    @angieblessed 3 роки тому

    Waaaa,

  • @hannahthitu5349
    @hannahthitu5349 3 роки тому +4

    Woiiye this is bad

  • @gracegathonimugo4502
    @gracegathonimugo4502 2 роки тому

    Shida ni pale bedminton ..... 🤣🤣🤣🤣🤣 the guy is over compensating and the lady is now tired kuvumilia game iko down . 🤣

  • @faithjebet6763
    @faithjebet6763 3 роки тому

    Huyo jamaa asonge mbele kama injili 😂😂😂

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 3 роки тому +2

    Huyu demu hakupendi ww or u pay dowry cz hakutaki

  • @jaenixhadazawanda4174
    @jaenixhadazawanda4174 3 роки тому +1

    Huyu Ghost aneza cheka hta maiti🤣🤣🤣🤣

  • @minsharley3926
    @minsharley3926 3 роки тому +15

    🤣🤣🤣how old is Sharon.shes behaving immature,
    This also happens when you marry a rich kid cz kwao wanalelewa kama paka wa duka.

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 3 роки тому +3

      Atakuja jua late

    • @baldie1495
      @baldie1495 3 роки тому +2

      @Sharleen majuto ni mjukuu huja badae she will regret it...

    • @minsharley3926
      @minsharley3926 3 роки тому +3

      @@RoroRoserororo kabisaa,she will come to regret na boy atakuwa ashaoa

    • @minsharley3926
      @minsharley3926 3 роки тому +3

      @@baldie1495 the time atakuwa serious kuoleka,the boy atakuwa ashaoa

    • @valarysiema6433
      @valarysiema6433 3 роки тому +3

      Am 25yrs here natafuta bwana kama Elvis, you gals jaribu kubehave bana ukipendwa pendeka

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 3 роки тому +3

    Huyu sharoon nikama alimiss zile enzi za kutongozwa na kuchuna matawi na kuchora maps hako haujinga bado kako kwa kichwa huyu nikama ana chali mwengine mahali nkt alafu vile anaongea inachosha tu

  • @marthak973
    @marthak973 3 роки тому

    😎😉 Leo aki🤔

  • @princesspriscaofficial4823
    @princesspriscaofficial4823 3 роки тому +1

    Sharon wacha kiburi
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gidi ati nn umerusi kilo
    Move on ww

  • @violetadhiambo1153
    @violetadhiambo1153 3 роки тому +1

    Walai unaeza lose kilo,,, waaah!!,,Sharon utaregret haki...Elvis move on my dear. Anayekupenda pendana na yeye na asiyo kupenda wachana na yeye

  • @mumbisandtmann8931
    @mumbisandtmann8931 3 роки тому +7

    This Guy is misused, akiwa huko atumiwe uwezo atumie na family

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 3 роки тому +2

    Hapa nimambo na ukabila tu..wataveta na kabila mengine kuoana I doubt. Huyu dem ame loose interest. Bt you will regret.

  • @annmwariri8119
    @annmwariri8119 3 роки тому +1

    Wee Dada punguza maringo

  • @lionsdota1989
    @lionsdota1989 3 роки тому +3

    Elvis , ngoma iturikaga ni guthinjirwo.Pleas look for a woman who is ready to settle and move on your life Sharon akichoka atakuja akiwa 2nd wife

  • @Josse_Msafiri
    @Josse_Msafiri 3 роки тому

    Sumbua huyo Sharon, Kaka endelea na maisha hakuna mke hapo

  • @faithnyaboke499
    @faithnyaboke499 3 роки тому +1

    Anaye kupenda pendana na yeye asiyekupenda achana naye angalia mbele

  • @lucyanyango3594
    @lucyanyango3594 3 роки тому +1

    Ndugu yetu jipange hapo hakuna kitu

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 роки тому +1

    Hakuna siku niboeka na Kwa hii patanisho kma leovhuyu dada yni akili yke ni changa sana

  • @ltalallekulal9919
    @ltalallekulal9919 3 роки тому

    🎧📻📻

  • @bettysadia322
    @bettysadia322 3 роки тому +1

    Kwani ghost hulipwa tu kucheka shida Za watu jameni!!!!???

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee Рік тому

    Mpaka mimi nimeskia nguvu zimeisha!

  • @angellahonyango2899
    @angellahonyango2899 3 роки тому

    Jeuri huyu Sharon

  • @nyarbobby4358
    @nyarbobby4358 3 роки тому

    Uyo Sharon hajakomaa akili ata kidogo, that man is going through alot I can tell.

  • @jacobjuma1668
    @jacobjuma1668 3 роки тому

    Woye mr man move on achana na Yeye ata regret siku moja

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 3 роки тому

    Aki Ghost gai🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti mpigie ndio upate utamu wa patanisho ucheke

  • @syphroseshazala6854
    @syphroseshazala6854 3 роки тому

    Hiyo kicheko duuuh🤣🤣🤣

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 3 роки тому

    Sharon ni kama hajui anachotaka maishani.

  • @naysahope5399
    @naysahope5399 3 роки тому

    Huyu sharon alikuwa amezoea wanaume wengi achana naye jump into another relationship as doon as possible my brother

  • @josephinekhavai3340
    @josephinekhavai3340 3 роки тому

    Owa bana

  • @agaltoto.4577
    @agaltoto.4577 3 роки тому

    Bi Sharon akirudi mniambie

  • @leticianjeri1274
    @leticianjeri1274 3 роки тому

    Sharon kiburi jameni, weuh

  • @priscahnelimah5425
    @priscahnelimah5425 3 роки тому +3

    Yaa Ghost ako xawa tafuta mke uoe

  • @madamboss348
    @madamboss348 3 роки тому +1

    Elvis oa mwanamke wacha ufala sharon ataregret

  • @salomenjuguna6108
    @salomenjuguna6108 2 роки тому

    Huyu Sharon kwao ako free kwa bwana anaona kama anafungiwa but she will come 2 regret first huyo bwana kabla aowe adee huko taita waonge na farmikia kama n mahali atoe nakama. damu hataki jback itabidi aowe

  • @lioness8207
    @lioness8207 3 роки тому

    😕😕😕😡😡😡😡nmeskia tu kumpea slap ameniudhi.sasa kanaongea aje

  • @annemarcyannemarcy1574
    @annemarcyannemarcy1574 3 роки тому

    Aki mulee unaweza chekelea mtu alie aki😃😃😃

  • @nimuhsteve1079
    @nimuhsteve1079 3 роки тому

    Hahaha Gidi leo nakuambia ni kubaya