@WendeMposola Fanya kitu hapo ingekuwa rahisi kama Simba ingekuwa haijacheza na Dodoma ungefanikiwa hapo hata Singida pia ingewezekana kama vipi jichange utakapopelea nambie nikuongezee ili ufike uwanjani na upate fursa ya kupiga picha kwa kumbukumbu nzuri za maisha yako na kizazi chako pia
@khalidmwakabuta Asante sana ngoja nijitafute siku nikionana nao nahisi ndo itakua siku ya furaha zaidi kwangu kuwah kutokea naomba Mungu anipe afya njema
TABORA WALICHEZA KWAKUTAKA KUWAUMIZA WACHEZAJI WA SIMBA. KRISTINA ALIACHA KUWAAMBIA WACHEZAJI WAKE WAACHE RAFU NA KIONGOZI WAO ANASEMA TUNAENDA KUCHEZA HI NI FAINARI KWA HY WALILENGA KUWAUMIZA WACHEZAJI. KIBU ALIUMIZWA NA MCHEZAJI WA TABORA REFA AKAJIFANYA HAJAONA.
Washatumizia mchezaji wetu kisa million50 mungu amsimamie kibu wetu
Mungu Akupe wepesi Kibu Denis,Amina 2:34
mungu azidi kuwafanya kuwa bora zaidi na zaidi na kibu apone halaka inshallah
Mm na Simba dam dam pakakufa saizi nimbelekwambele❤
pamoja sana@@KidoMoshi-h9g
Mungu ni mkuu atakuwa sawa ameeeen
Love u simba sc
Mungu ampe nguvu mwamba wetu Kibu dii tunamkubar sana Simba nguvu moja
Mwenyezi Mungu ampe ahueni ya haraka
Get well soon kibu❤
Tuna mshukuru mungu kibu wetu apone araka ❤❤❤ I Love Simba❤❤❤ mwaaaaaaaa❤❤❤
Waiting
Mungu ni mwema kwa kibu wetu,
Pole sn kibu❤❤
Mungu m❤kubwa
Mungu amueke swa
👏👏👏🦁❤️♥️❤️💪💪💪💪🙏🙏
Inshallah mwenyezi Mungu ataweka wepesi 🙏 atakuwa sawa
Allah amfanyie wepes
Mungu akusaidie mpambanaji uweze kupona nakuendelea kupigania chama kubwa
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤
Asante mungu kibu wetu apone haraka .
MUNGU amfanyie wepesi KIBU wetu apone haraka.....
Mungu azidi kumuafu inshallah 🙏
😢😢
Mungu akuponye haraka mwaamba
Naamin mungu atamsaidia atapona mapema na kurud kikosin
Will be oky
Kibu mungu amsimamie apone na aingie kucheza akiwa imara
Allaha amponye haraka kwa uwezo wake 🙏
Mwenyezimungu ni mkubwa atamponya kibu kwa haraka
Madaktari wanajua sanaa, ila ushauri wangu Kibu Denis asicheze zidi ya Fountain Gates ili asije akaumiya zaidi na kukaa nje muda mrefu.
Ivi naweza kufa bila kuonana na mchezaji hata mmoja Mungu naomba unisaidie nataman siku moja nionane na Ateba Mbidaaah na wachezaji wetu wa Simba wote
Uko Mkoa gani tukusaidie uonane na wachezaji wa timu yako pendwa ya SimbaSc
@khalidmwakabuta Niko Dodoma kwa sasa
@WendeMposola
Fanya kitu hapo ingekuwa rahisi kama Simba ingekuwa haijacheza na Dodoma ungefanikiwa hapo hata Singida pia ingewezekana kama vipi jichange utakapopelea nambie nikuongezee ili ufike uwanjani na upate fursa ya kupiga picha kwa kumbukumbu nzuri za maisha yako na kizazi chako pia
@khalidmwakabuta Asante sana ngoja nijitafute siku nikionana nao nahisi ndo itakua siku ya furaha zaidi kwangu kuwah kutokea naomba Mungu anipe afya njema
@WendeMposola Inshallah Mungu si mchoyo siku zote na anaemuomba Mungu humpa
Fanya hivyo nduguangu maana furaha yako ndio urefu wa maisha yako pia
Msilete njaazenu uwanjani mtatuvunjia wachezajiwetu mguu😠
Refa gani ambaye hakuona wakati Kibu alisimama na kutembea vizuri tu wala hakuchechemea.
Apone
InshaAllah Allah amfanyie wepesi Ameen Yarab
Ubaya ubwelaaaa kauli pendwa ya kibabee sana
TABORA WALICHEZA KWAKUTAKA KUWAUMIZA WACHEZAJI WA SIMBA. KRISTINA ALIACHA KUWAAMBIA WACHEZAJI WAKE WAACHE RAFU NA KIONGOZI WAO ANASEMA TUNAENDA KUCHEZA HI NI FAINARI KWA HY WALILENGA KUWAUMIZA WACHEZAJI. KIBU ALIUMIZWA NA MCHEZAJI WA TABORA REFA AKAJIFANYA HAJAONA.
jamaa amefanana na mufasa wa lion king
Mm nauliza iyo gam inachezwa lini dhiya fontgate?
tarehe 6 mkuuu
Talehe6
Tuna mwombea apone mapema zaidi