RASMI MUDA HUU HAJI MANARA ATANGAZA VITA NA RAIS WA YANGA/ HUFAI KUIONGOZA YANGA UNAUPENDELEO...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 2 місяці тому +7

    Ukiona kwa adui yako kunawaka moto mwaga petrol

  • @kombofaraji3995
    @kombofaraji3995 2 місяці тому +7

    Manara tukana Tena Kama kawaida yako na huko kwa baba yako umefukuzwa ni kweli huna adabu na unkurupuka mno Kama vile Yanga unaidhamini wewe walikuwa wakutumia kuitukana Simba Kiko wapi Sasa anzisha timu yako.Simba hatukutaki hata kukusikia mlevi wa stand we,

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 місяці тому +2

    Hyu jmaaa kichwa chke nikibovu kweli kweli.Hji anamuhemuko waugomvi Kila akiguswa.

  • @GenerozaWilliamMalatwe
    @GenerozaWilliamMalatwe 2 місяці тому

    Wew ni mwandishi uchwara !pumbavu unamaliza mb tu.... hakuna uhalisia

  • @manarakassimmanara3132
    @manarakassimmanara3132 2 місяці тому +1

    Sasa ni muandishi au ni mbeya Fulani hivi, Sasa sijui watu mnaugonvi Gani na haji hata kama ataacha Hafiz njaa kama wewe , unaye tumwa haji mwinzio yeye anatuma watu kama wewe , Kwa hiyo ongea kama ilivyo sio Kwa kejei ipo hata wewe anaweza kukupa kazi kwake je utasemaje?

  • @NasraNasra-sd8hr
    @NasraNasra-sd8hr 2 місяці тому +3

    Kirjuani ya mahoma hio ndo imeanza mtajua hamjui

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 2 місяці тому

    Arudi CCM, akawaibie tena, mbwa koko hili

  • @RashidMwasiposya-ck6py
    @RashidMwasiposya-ck6py 2 місяці тому +1

    Kweli Simba ilionewa huyo anapenda utawala

  • @NzeyiwaboAbdul
    @NzeyiwaboAbdul 2 місяці тому +5

    Maskini manara amekonda kweli njaa nimbaya

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 місяці тому

    Haji ni mgomvi atamwonea Ali Kamwe. aende timu nyingine kwani lazima awe Yanga?amwachie kijana Kamwe.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 2 місяці тому +6

    Magoma atawanyoosha

  • @MonicaSimon-py3nx
    @MonicaSimon-py3nx 2 місяці тому

    Nyie wandishi wahabali acheni uongo

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 місяці тому +1

    Manara unataka kuiharib yg

  • @kaitesilaurent8997
    @kaitesilaurent8997 2 місяці тому +2

    Magoma atawapoteza

  • @SmilingDachshund-xv5si
    @SmilingDachshund-xv5si 2 місяці тому +2

    Haji weturia tu

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 2 місяці тому +1

    Alisema yanga ndo nyumbani kwao sasa imekuwaje tena!

  • @fidelisjoseph-tt9zl
    @fidelisjoseph-tt9zl 2 місяці тому +1

    Mumpe kazi ya kuwa mnara! Au arudi kwenye Viwanja vya dili

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 місяці тому

    ALI KAMWE HANA MATUSI NA KAMWE NDY NI BORA YANGA SANA INJINIA KAMWE NDY BORA SANA YANGA.

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 2 місяці тому +1

    Hamisa mobeto amemponza manara kahara

  • @mlawamangasini3836
    @mlawamangasini3836 2 місяці тому +1

    Manara anapenda kumpanda kila mtu.sasa ameyakanyaga

  • @SaidySalum-ne1bq
    @SaidySalum-ne1bq 2 місяці тому +1

    manala jamana vp msemaji kwisha manala

  • @tintz3157
    @tintz3157 2 місяці тому +1

    Magoma endelea kushindilia kurjuan mpk wanyokeeeee😅

  • @ashaomari-rb1uu
    @ashaomari-rb1uu 2 місяці тому

    Manara muache dogo Alliy apige kazi we kaa pembeni wakati wako umekwisha bhana

  • @SakinAthuman
    @SakinAthuman 2 місяці тому +2

    😅😅😅😅😅😅😅 hahahaha 😂😂🤣 aaaaaaaaaaaaaaaaa kwajiran kumekucha

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 місяці тому +1

    Manara wa nn hana busara ana maneno makali ,ally yupo vizuri yy si alifungukiwa kwahiyo wangemsubiri yy kazoea makelele

  • @albertshao4834
    @albertshao4834 2 місяці тому +1

    Magoma msimu huu atawapelikea motooo😂😂

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 2 місяці тому +1

    Hivi MAJILA ngio MAJIRA?

  • @iddyiddy7358
    @iddyiddy7358 2 місяці тому +1

    Jamaa alikuwa anamsema sana mwamedi sasa yamemshuka

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 2 місяці тому

    Mtangazaji kujiuzuru ndio kujiuzulu?

  • @AnarysisMkulas
    @AnarysisMkulas 2 місяці тому +1

    Manara atumtak

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 місяці тому +1

    Mambo ya kurujuani hayo. Heeeeheeh!

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 2 місяці тому

    Hivi wewe mwandishi unajitambua?manara alikuwa kifungoni ulitaka msemaji asitafutwe mpaka manara arudi?acheni uandishi wa habari za uchawa.

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir 2 місяці тому +1

    Magoma UBAYA UBWELA

  • @iddyiddy7358
    @iddyiddy7358 2 місяці тому +1

    Hawa wote ni wanachama wa simba wanalianzisha jangwani

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 2 місяці тому +1

    Idala ndio nini?? Hautoweza ndio nini? Zidiya ndio kiswahili gani?

  • @salumomar-ph8ht
    @salumomar-ph8ht 2 місяці тому

    Nyie kolozdad Amna alakufanya mmekua mnapambana kuivuruga yanga timu lenu ni bovu mashoga nyie

  • @Jean-marieNiyonzima-f3e
    @Jean-marieNiyonzima-f3e 2 місяці тому +2

    kamati ifanye wawili hawa wawekitukimojatuu😅

  • @RamadhanKhalifa-w6b
    @RamadhanKhalifa-w6b 2 місяці тому +3

    Kweli laisi wa yanga anaupendeleo manara ilipaswa kuwa msemaji

  • @muhammadkifakara2573
    @muhammadkifakara2573 2 місяці тому

    Young African ni matawi ya juu sana kwa sasa, levo zake ni Bundesliga Manara arudi tu kwa Makolo waliozoea migogoro, ktk udhaifu wa Manara ni kusahau fadhila baada ya mda kidogo tu, Ali Kamwe kueleweka Africa nzima na ndiye aliyeifikisha Young African hapo ilipo kwa maelekezo na ushirikiano bora sana kutoka Eng. Hersi katika mpira wa Africa Manara hana busara zaidi ya masifa ya kijinga na dharau hata kwa wazazi wake, Ali Kamwe piga kazi mwanangu

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 місяці тому

    Mwanamkeee nyotaaa.aacha make wa mtu

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me 2 місяці тому +1

    Uko TAYALI ndio NIKO TAYARI??

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 місяці тому

    KING IS BACK😂😂😂

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 2 місяці тому +1

    Manara ndo anafaa kuwa msemaji wetu wanayanga,kwa yanga hii manara anafaa

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 2 місяці тому +1

    Anakafagie jagwabi

  • @kaitesilaurent8997
    @kaitesilaurent8997 2 місяці тому +1

    Kama kamwe ni mpumbavu

  • @henericolinda
    @henericolinda 2 місяці тому

    Kaeni chini muyamalize yanga migogoro sio sehemu yetu

  • @abdallahomary4350
    @abdallahomary4350 2 місяці тому

    Waandishi wa habari mnapenda uchonganishi sana acheni uchonganishi

  • @jothamkibona2919
    @jothamkibona2919 2 місяці тому

    Mwandishi mpuuzi mbuzi wewe ndio unamsea manara Hana sauti mpuzi wewe

  • @KenedyMasuva
    @KenedyMasuva 2 місяці тому

    Manara fundi